Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Taarifa zimekuja hapa Mwanyamala Hospitali kuwa aliekuwa mwandishi nguli wa magazeti ya Global Publisher bwana Shakoor Jongo Amepata ajali pale Maasai Kinondoni na kufariki hapo hapo Alfajiri hii...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Breaking News Watu watano wamepoteza maisha hapo hapo na wengine 36 wamejeruhiwa vibaya kwenye ajali iliyohusisha basi la kampuni ya Najmunisa T 413 DAY kugongana uso kwa uso na Fuso T 123 DJH...
9 Reactions
75 Replies
6K Views
Ajali zimekua nyingi msimu huu. Poleni wote .
1 Reactions
4 Replies
918 Views
Wakuu. Mwanachama mwenzetu wa JF aitwaye Ta Muganyizi amefariki dunia na amezikwa katika kata ya Kashasha, tarafa ya Kiziba, wilaya ya Missenyi mkoani Kagera. Chanzo cha kifo ni ugonjwa wa Figo...
36 Reactions
151 Replies
9K Views
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwalimu Mstaafu wa Kwaya Kuu Habari Njema Arusha Mjini Kati Ndugu John Lusungu Nusurupia Myavilwa. Atakumbukwa kwa kazi ya kutunga na...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Tawi la WanaYanga Wilayani Sikonge, Mkoani Tabora Wameondokewa na shabiki wao aliyekuwa na mapenzi ya dhati na Timu ya Yanga ambaye alifarikia siku ya jana katika ajali ya basi iliyotokea wilayani...
0 Reactions
4 Replies
772 Views
Taarifa zinaeleza kwamba amefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Muhimbili alikolazwa tangu tarehe 13 June ======== MWIGIZAJI wa Kikundi cha Maigizo cha Kashkashi kinachorusha...
23 Reactions
132 Replies
19K Views
Kwa wale Wana fasihi NA WANA UDSM TUMEPATWA NA MSIBA MKUBWA SANA LEO EDWIN SEMZABA mwandishi wa kitabu maarufu cha Ngoswe penzi kitovu cha uzembe amefariki dunia leo. Bwana ametoa na Bwana...
3 Reactions
95 Replies
23K Views
Mchezaji wa zamani wa Simba na timu ya taifa Iddy Suleiman kibode (Meya), amefariki usiku wa kumkia leo jtatu, katika Hospitali ya Muhimbili. Awali Iddy alilazwa katika hospitali ya Mwananyamala...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Aliyekuwa kiongozi wa Jumuiya ya Freemason Tanzania na Afrika Mashariki, Sir Jayantilal Keshavji 'Andy' Chande afariki Dunia. Sir Andy amekuwa mwanachama wa Freemasons kwa takribani miongo 6...
17 Reactions
424 Replies
101K Views
Tumepokea kwa masikito makubwa taarifa za kifo cha mwenzetu jikeshupa ambaye alikuwa mwanachama wa JF. Tunatoa Poleni nyingi kwa Familia yake pamoja na marafiki zake na ndugu na Jamaa ambao...
91 Reactions
336 Replies
29K Views
Mwanamama maarufu na mrembo Hidaya Khamis Mtumwa almaarufu Hidaya wa Pepe Kalle amefariki Dunia leo asubuhi jijini Arusha, msiba upo nyumbani kwake Kaloleni. Hidaya alitamba miaka ya mwanzoni mwa...
22 Reactions
103 Replies
34K Views
Mtoto mmoja kati ya waliofanyiwa upasuaji wa kutenganishwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Neema amefariki dunia wakati akiendelea na matibabu Jumapili Julai 10, 2022. Taarifa ya Mkuu...
5 Reactions
133 Replies
8K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Samia Suluhu Hassan amemtumia salaam za pole Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF ) Profesa Ibrahim Lipumba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MWANAHABARI nguli na mkongwe wa siku nyingi Dkt.Gideon Shoo ambaye pia alikuwa mchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa, kijamii na kiuchumi ndani na nje ya Tanzania amefariki. Kwa mujibu wa...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Ndugu wana JamiiForums nawasalimu. Kwa masikitiko makubwa, jabali kubwa kwenye construction industry Arusha - muanzilishi na mmiliki wa the biggest hardware shop in the northrern zone - Bulk...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna Msiba mkubwa umetokea MSD na mwenzetu alikuwa JF member wa miaka mingi. Poleni sana sana JF , familia na ma rafiki kwa Msiba mkubwa uliopo kwa..
13 Reactions
79 Replies
8K Views
Mbunge wa zamani wa Morogoro Kusini Mashariki, Semindu Pawa amefariki dunia leo Februari 17 Pawa amewahi kushika nafasi mbalimbali ndani ya CCM na hadi anakutwa na mauti alikuwa mjumbe wa baraza...
5 Reactions
40 Replies
9K Views
Ninayo masikitiko makubwa kuwataarifu msiba wa mwenzetu Erick Kalemela uliotokea nchini India jana tar 23 Mei 2022 saa 3 asubuhi majira ya India, alipokuwa anapokea matibabu. Mwili unatarajiwa...
34 Reactions
182 Replies
15K Views
Huyu ni moja ya member tuliyekuwa naye humu kwa muda mrefu. Ni moja ya watu walionifanya niijue JF miaka ya 2013 huko ingawa yeye alichelewa kidogo kujiunga. Na kwa Mara ya mwisho kuonekana humu...
53 Reactions
190 Replies
16K Views
Back
Top Bottom