Dkt. Elineema Kisanga lecturer wa shule ya Uchumi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam amefariki Dunia Leo asubuhi.
Taarifa zinasema kuwa mauti yamemfika akiwa mazoezini, Leo asubuhi ambapo alianguka na...
Mmiliki wa Shirika la Ndege Nchini Tanzania la Precision Air, Michael Ngaleku Shirima, ameaga dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya AgaKhan, Jijini Dar es Salaam
===========...
AFANDE RPC (R)RCO(R)STAFF OFFICER (R)OPP OFFICER (R)OCD MABWEPANDE
YAH: TUKIO LA KIFO CHA MASHAKA
GBA/IR/142/2021
MLAL: O.A.MSHANGAMA - ASP
Mlalamikaji anaeleza kuwa mnamo tarehe 16/1/2021...
Mfanyabiashara maarufu wa Zanzibar na Mwanasiasa ambaye aliwahi kuwa Mwakilishi Jimbo la Uzini Mkoa wa Kusini Unguja, Mohamed Raza amefariki leo hii wakati alipokuwa akipatiwa matibabu, Allah...
Polisi mjini Dallas wameomba msaada wa kumpata mtuhumiwa wa mauaji ya mhamiaji kutoka Tanzania, Johnson Mdoe Mchaina ambaye alikuwa anafanya kazi usiku kusaidia familia yake iliyopo Tanzania...
Huyo Mzee ni Mstaafu (82) alikuwa anaishi Ukonga stakishari, mie ni mjomba wangu na yeye ndiyo alikuwa Mzee wa familia kwa ukoo wa Majebele kwahiyo kila jambo mfano, harusi, misiba nk lazima ash...
Aliyekuwa Mbunge wa Musoma Vijijini na Butiama na pia Wakili maarufu Nchini Nimrod Mkono amefariki asubuhi ya leo kwa saa za Marekani.
Akiongea na @ayotv_ kwa njia ya simu Mdogo wa Marehemu...
Kwa wale wakaazi wa Arusha bila shaka maeneo ya mjini mtakuwa mnamkumbuka mwalimu Bill Mushi ambaye alikuwa akifundisha sana masuala ya Muda na Ujasiriamali, hasa maeneo ya Stand ya Mkoa na...
Buriani brother.
Jana tumekutana Msasani Flats tukipanga mipango mingi na mipangilio kuhusu safari ya leo kwenda kwenye mashindano ya mbio za magari Sao Hill Iringa zinazo dhaminiwa na CMC...
NAIBU KATIBU MKUU WA JUMAZA ZANZIBAR AFARIKI DUNIA KUZIKWA KISUTU DAR.
Na Saimu Gwao.
Jumuiya ya Maimamu Zanzibar Jumaza kwa huzuni inatoa Taarifa ya Kifo cha Naibu Katibu wa Jumaza Skh. Khamis...
Emmanuel Reuben Mbiha
Emmanuel Reuben Mbiha was born in Kasulu, Tanzania. He was Associate Professor of Agricultural Economics at Sokoine University of Agriculture, Morogoro, Tanzania and was...
Engineer Joseph Malongo, aliyewahi kuwa mfanyakazi hatimaye Msajili wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi, amefariki dunia asubuhi leo, katika hospitali ya Mlonganzila.
RIP Eng Joe Malongo.
Hiki ni kisa cha kuhuzunisha, Mwenge Kijijini jijini Dar inalia, misiba ya watu wawili marafiki John Simba na Patrick a.k.a Masu a.k.a Masumbuko marafiki chanda na Pete.
Issue iko hivi...
Sijui wangapi walikuwa wanamfahamu Odemba, kifo kimetokea siku nne zilizopita.
Alikuwa anasafiri ndani ya basi kwenda Arusha, alipofika Mombo akaugua, akapata low blood pressure, akapelekwa...
GEITA.
Kuna tukio la mauaji limetokea Mkoa wa Geita Wilaya ya Geita.
Mwalimu Emmanuel Peter Chacha wa shule ya msingi Igaka iliyoko halmashauri ya Wilaya ya Geita ameuawa Leo March 15 Kwa...
Nimehuzunishwa na kifo cha Balozi Paul Milyango Rupia Aliyekuwa na umri wa miaka 84. Mauti yalimkuta Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa. Paul alikuwa miongoni mwa wanadiplomasia wabobezi wa...
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imeeleza kwamba Ofisa huyo amefariki Dunia.
Kwa wenye kumbukumbu nzuri huyu ndio yule ofisa wa polisi aliyehakikisha kwamba viongozi wa Chadema wanaokamatwa...
Aisha Madinda wakati wa Uhai wake
Aliyekuwa Mnenguaji na Muimbaji wa Bandi ya Twanga Pepeta Aisha Madinda amefariki dunia hivi punde Jijini Dar es salaam. Habari imethibitishwa na mmiliki wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.