Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

MAREKANI: Mwili wa Mtanzania Abraham Mgowano aliyekuwa akiishi na kufanya kazi katika Kampuni ya Google kama Mhandisi wa Programu Endeshi (Software Engineer) umepatikana ukielea katika Mto Miami...
30 Reactions
334 Replies
32K Views
Mwana harakati mahiri wa kutetea haki za watu weusi wajitambue na warudi kwenye asili yao Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya amefariki dunia huko Sengerema mkoani Geita 🇸🇪. Kissendi aliugua muda...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Brigadier General(Rtd) Martin Mwankanye amefariki muda mfupi uliopita pale Lugalo General Military Hospital. Si watu wengi wanamfahamu marehemu, lakini wale tupo karibu na Jeshi tunajua kuwa...
17 Reactions
110 Replies
19K Views
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Nkunda ametangaza Kifo cha Luteni Jenerali Mstaafu Balozi Martin Mwakalindile kilichoteka Januari 28, 2024 nchini India alikokuwa akitibiwa.
3 Reactions
45 Replies
5K Views
Salaam Wakuu, John Dotto na Mwanahabari Raphael Waryana mwenye fulana ya blue. Wamepoteza Uhai. Waryana aliyekuwa mtumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni na kiongozi mwandamizi wa timu...
5 Reactions
114 Replies
15K Views
Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi amefiwa na Kaka yake Hassan Ali Hassan Mwinyi Leo Mazishi yatafanyika leo Alasiri Mangapwani Zanzibar ambapo watu pamoja na Mwili wa Marehemu wataondoka...
11 Reactions
99 Replies
13K Views
Ni siku yako ya kwanza leo umelala katika udongo wa ardhi toka jana zoezi la kukuhifadhi katika makaburi ya Ununio likamilike. Janken umekwenda kaka tuna imani Mungu amekupokea kwa furaha baada ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Songea Boys,Iyunga na Mkwawa kwa vipindi tofauti S.S.Mbao amefariki dunia. Wadau mliopita mikononi mwa Mbao katika Shule hizo imenipendeza kuwajuza...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa Halmashauri Wilaya ya Korogwe, Kwame Daftari amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.
17 Reactions
165 Replies
16K Views
Meneja wa Tanroad mkoa wa Ruvuma, mhandisi Mlima Ngaile amefariki asubuhi ya leo baada ya kuanguka ghafla wakati akifanya mazoezi ya kukimbia maarufu kama marathon Songea mjini! Baada ya kuanguka...
5 Reactions
40 Replies
22K Views
Mwendeshaji na Mmiliki wa Mtandao wa MASWA YETU BLOG, Innocent Lugano Mbwaga maarufu Blogger Boy amefariki dunia. Innocent mkazi wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu ambaye ni Afisa Lishe Halmashauri...
20 Reactions
109 Replies
9K Views
Mashaka Matongo (Abiola) makazi yake ilikuwa Yombo kwa Abiola amefariki leo mchana katika hospitali ya Temeke jijini Dar-es-salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu. Baadhi humu wanamfahamu aliwahi...
7 Reactions
57 Replies
8K Views
Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo tarehe 12 Juni, 2021 baada ya kupata ajali eneo la Kawe. Kwa wale wakongwe, utamkumbuka Fredwaa kwa lipi? ==== Dar es...
44 Reactions
354 Replies
68K Views
Arusha. Mfanyabiashara maarufu jijini Arusha ambaye pia ni mmiliki wa hoteli kadhaa za kitalii , ikiwepo Snow crest , William Mollel amefariki Dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi. Akizungumza na...
4 Reactions
35 Replies
6K Views
"MWAMBA" MWALIMU NDOSI KENDE MALAMU! "Mwalimu Ndosi alikuwa mwalimu wa hesabu. Alikuwa si mchezo. Alikuwa akikohoa tu wanafunzi wote mnakufa". Bi JOYCE, Aprili 18, 2023 1. Wiki iliyopita...
22 Reactions
100 Replies
9K Views
#BREAKINGNEWS: Watu 10 wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya Lori la Polisi kugongana na gari dogo la mizigo (KIRIKUU), katika eneo la Datch Conner, Siha mkoani Kilimanjaro. Mkuu...
1 Reactions
51 Replies
6K Views
😭😭TANZIA TANZIA TANZIA 😭😭 Ndugu zangu ninawaletea taarifa ya msiba mwingine. Tumempoteza ndugu yetu Mtanzania mwenzetu bwana Mohammed Ramadhani aliyekuwa akiishi South Africa katika jiji la...
5 Reactions
75 Replies
7K Views
Daudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia. We will update this. Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted. Amekufa kwa ajali ya gari Arusha, mchana huu...
16 Reactions
168 Replies
32K Views
Mtu mmoja amefariki dunia akiwa kwenye harakati za kugombea daladala alasiri hii ya leo. Tayari polisi wamefika na jitihada zinafanyika za kuuupeleka mwili wa marehemu Mwananyamala Hospitali kwa...
19 Reactions
123 Replies
12K Views
Taarifa kamili hii hapa. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Bw. Charles E. Kichere anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Geofrey Lawrence Makonyu, Mkaguzi Kitengo cha Walipa Kodi...
11 Reactions
232 Replies
29K Views
Back
Top Bottom