Mkurugenzi wa Kampuni ya Fresho Investment Company (1999) Ltd ya Mjini Shinyanga Fredy Shoo maarufu Fresho amefariki dunia siku ya Jumatano Julai 28,2021 wakati akiendelea kupata matibabu jijini...
Mwanafunzi Wa Chuo kikuu Cha SAUT Campus ya Mwanza Amefariki Dunia Alipokuwa Ameenda kuogolea Kando Kando Kando ya Ziwa Victoria Maeneo ya Sweya Beach.
Taarifa hiyo ilitolewa Na Wenzake Ambao...
Msanii mkongwe na miongoni mwa washairi wakubwa nchini na Afrika Mashariki, Amir Sudi Andanenga amefariki dunia usiku wa Mei Mosi, 2024.
Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na Chama cha Usanifu wa...
Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL.
Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta...
Hassan Wakasuvi enzi za uhai wake
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora na Mjumbe wa Kamati Kuu Ndugu Hassan...
Mwalimu wetu/Rafiki yetu Mr. Mtegetwa Mng'ala amefariki Siku ya Leo katika Hospital ya Mloganzila, alipokuwa akipatiwa Matibabu.
Kwa Sasa Msiba upo Nyumbani kwake Ukonga- Bomba Mbili Ila...
Habari nilizozipata ni kuwa aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu sa Serikali CAG Prof Assad amefiwa na mkewe ghafla usiku wa leo
Msiba upo nyumbani kwake Tegeta na maziko ni leo saa 10...
Watu tisa(9) wafariki papohapo na wengine 19 kujeruhiwa vibaya baadhi yao baada ya basi kampuni ya Lujiga walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es salaam kwenda Mwanza kugonga Loli kwa nyuma...
Nimempoteza baba yangu mzazi
Sijui hata nisemeje
Baba ndo alikuwa kila kitu kwangu[emoji22]
Roho inaniuma baba kafa kanipambania mwanae nisome leo baba kafa ikiwa hata hajala mkono wangu nikiwa...
Nimepokea taarifa, mfanyabiashara maarufu nchini, Mustafa Sabodo amefariki Dunia. Sabodo ametokea mkoani Lindi na alijenga shule maarufu kule pia alifadhili chama cha upinzani cha Chadema
======...
Mwandishi mkongwe wa habari nchini, aliyekuwa akiandikia Gazeti la The Citizen linalochapishwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) mkoani Arusha, Zephania Ubwani amefariki dunia...
Mwaka 2016 niliingia ofisini kwake pale CoICT nikitaka aniandikie reference letter nilipokuwa naenda kusoma University of Manchester.
Sasa nikakuta amefungua JamiiForums, anatoa michango yake...
Mwenyekiti wa CCM TAWI la Uninio Kata ya Kunduchi mh Kambi amefariki jana na kuzikwa leo kwenye Mji Mkuu wa Ununio.
Mazishi yameongizwa na Shehe wa mkoa wa DSM alhad Walid.
Chama kimeongozwa na...
Gwiji wa muziki wa dansi na Kiongozi wa bendi ya Msondo Ngoma, Saidi Mabera amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne Septemba 29, baada ya kuugua kwa zaidi ya miezi miwili. Mazishi yatafanyika...
Mwanamke wa Uingereza aitwaye Demi Agoglia (26) amefariki dunia siku chache baada ya kufanya upasuaji wa kuongeza shepu (BBL) nchini Uturuki, Magazeti ya Uingereza yameripoti.
Demi ambaye alikua...
Wakuu,
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kufariki dunia kwa ndugu yetu na mwanachama wa JamiiForums, Sanctus Mtsimbe, mchana wa tarehe 13 Machi 2024.
Sanctus alikuwa Rais wa kwanza wa...
Wakuu nina huzuni sana samaki amesababisha ajali kwa baharia wangu tulikuwa tunarudi Zanzibar kwa kutumia jahazi tukatosa Mshipi kwa ajili ya kutafuta kitoeleo tulipokuwa Karibu na mafia samaki...
MwanaJF mwenzetu Rubawa amefariki jana nchini Marekani!
Marehemu alikuwa akiishi Dar na Cape Town, Afrika Kusini kabla ya kwenda Marekani miezi michache iliyopita.
Rest easy bro, Hamidu Rubawa!
Waungwana
Yule kijana aitwaye Ibrahim Said almaarufu Sultan mkazi wa Mabibo Loyola amefariki dunia asubuhi hii
Marehemu alijipatia umaarufu kutokana na kitendo chake cha kumchapa kibao mzee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.