Wapenzi wa muziki wa dansi, wana Twanga pepeta tutakukumbuka kwa mchango wako mkubwa katika utunzi na nidhamu ya kazi wakati wote wa utumishi wako.
Utunzi wako katika wimbo wa “Kisa cha Mpemba”...
Jenerali Musugiri ambaye amewahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania [JWTZ], amefariki dunia leo Oktoba 29, 2024 jijini Mwanza alikokuwa akitibiwa. Mazishi yanatarajiwa kufanyika...
Mfanyabiashara mwenye maduka ya vinywaji vya jumla na rejareja Mjini Babati, Peter Mushi amekutwa ndani kwake amefariki dunia baada ya kujinyonga.
Afisa Mtendaji wa mtaa wa Sawe, Simon Majura...
Meja Jenerali Mstaafu Charles Mbuge amefariki dunia leo October 12,2024 alfajiri akiwa Nchi India alipokuwa akipatiwa matibabu.
August 02, 2024 Mbuge aliagwa rasmi Jeshini baada ya kulitumikia...
NIKI MBISHI.
Na ukitaka ganja kali ni Sinza kwa #KAPACHINO....R.I.P RASTA
"Sshh, jiheshimu joh, weed tutachoma
Kimya kimya, we msomeshe "#Kapachino" kwenye kona
Akupe kitu cha Arusha, mi nnacho...
Kwa majonzi makubwa nachukua nafasi hii kuwatangazia ya kwamba dada mama na ndugu yetu mwanaJamiiForums mwenzetu dada niah ametwaliwa kutoka maisha haya..! Amefariki juzi tarehe 2 Dodoma General...
Ni habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.
Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.
Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba...
Nipo hapa kwenye foleni mwanza nimempa lift mwanamke mmoja sasa nasikia anaongelea hayo mauaji kwenye simu. Na siwezi kumuuliza.
Ila kwa anavyoongea inaonekana huyo mwanamke alikua anatongoza...
Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni, leo Oktoba 22,2024, amesema basi hilo limepata ajali majira ya alfajiri, wakati likitokea Jijini Dar es Salaam kuelekea Machame, Wilaya ya Hai kwenye...
Mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili na Askofu wa Hossana Assemblies of God Ephraim R. Mwansasu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (29/08/2021). Mwasasu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo...
Aliyekuwa msajili wa Vyama vya michezo nchini Riziki Majala afariki .
Chanzo cha kifo inasemekana ni ugomvi kati yake na mwanae ambae inadaiwa ana shida ya akili baada ya kukataa kumpa hela...
Aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa hospitali ya KCMC, na makamu mkuu wa kwanza wa chuo Kikuu Tumaini Makumira Profesa John Shao (80) aliyefariki Oktoba 6 mwaka huu amezikwa.
Profesa Shao ambaye ni...
Tutakukumbuka milele milele yote, hakikanulikuwa mtu mwema na mwalimumwema.
Daima ulituonya, kutukanya na kutuasa.
JamiiForums watakukumbuka kwa ucheshi na vibweka vyako. Uliniasa nisi disclose...
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024.
Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa...
Anaanfika Prof M. Martin Mhando
Profesa Ikaweba Bunting ni mtu wa kukumbukwa kweli.
1. Kama mtengeneza filamu alikuwa katika crew iliyotengeneza filamu ya kwanza kubwa Tanzania, Fimbo ya...
Aliyekuwa mtangazaji wa StarTv, Muhsin Mambo Alias MC Hammer afariki dunia siku ya leo tarehe 8 Februari nyumbani kwake nchini Marekani.
Pia soma > Muhsin Mambo yuko wapi?
Mwanahabari Mukhsin...
Taarifa zilizotufikia leo asubuh ni kuwa mmiliki wa Kampuni za usafirishaji abiria ya Tashrif Hamoud Said amefariki Dunia
Innalillah wainna ilayhi raajiuun
=====
Mfanyabiashara maarufu jijini...
Aliyekuwa Mtangazaji wa kipindi cha Lovers Rock ya EastAfrica, Baba T amefariki dunia leo katika Hospitali ya Rabininsia iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam
Taarifa zaidi kuhusu taratibu za...
Wanabodi.
Mwandishi Mkongwe wa TBC Benjamini Rwegasira aliyekuwa katika kituo cha Bukoba na baadaye kuungua ugonjwa wa kiharusi kwa kipindi kirefu amefaiki dunia na kuzikwa katika kata ya Gera...
KOKNI MUSLIM JAMAAT of DAR ES SALAAM, TANZANIA
DEATH ANNOUNCEMENT
إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون
"Surely we belong to Allah and to Him shall we return".
It is with sadness that we...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.