Leonard Mambo Mbotela enzi za uhai wake
Mwanahabari mkongwe Leonard Mambo Mbotela, anayejulikana kwa kipindi chake maarufu cha "Je, Huu Ni Uungwana?" amefariki dunia.
Ikithibitisha kifo chake...
Mwigizaji Olivia Hussey maarufu kama Juliet , aliyepata umaarufu kupitia filamu ya Romeo and Juliet ya mwaka 1968, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73.
Mwigizaji huyo ambaye amewahi kuuvaa...
Nimepita kwenye mitandao nikakutana na Taarifa ya Msiba wa SACP Beatus Silla ambaye mauti imemkuta akiwa MOI hapo jijini Dar. Kilichonifikirisha ni aina au namna watu/ wachangiaji wengi...
BBC Swahili wanaripoti kuwa mwandishi wao wa zamani na mchambuzi wa siasa hasa za Mashariki ya Kati (Middle East) Mzee Ahamed Rajabu ameaga dunia muda mfupi.
Ahamed Rajabu alikuwa kinara wa...
Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi, aliyepotea tangu Desemba 11, 2024 amekutwa amekufa na mwili wake kukutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam.
Ulomi aliyekuwa...
Taarifa inayosambaa mitandaoni inaeleza kwamba, Mtangazaji wa TBC, Sued Mwinyi amefikwa na Umauti leo, kwenye Hospitali ya Mloganzila ambako alilazwa kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua...
Wanajamii Forums mwalimu M waipopo Nwaka amefariki dunia 12/1/2025 Muhimbili hospital alipokuwa anapata matibabu. Mwalimu katika uhai wake alifundisha shule mbalimbali za secondary...
Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, na Mwanachama wa JamiiForums William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam.
Taarifa za...
Ni taarifa ya kusikitisha kuhusu kufariki kwa kingunge wa sheria, Jaji Mstaafu na Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Tanzania. Amefariki Leo.
He has closed his case in this world. Rest in peace the...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda ametangaza kwa masikitiko kifo cha Meja Jenerali Martin Shiminzi Busungu (Mstaafu), kilichotokea tarehe 24 Disemba, 2024 majira ya saa 10:15...
Wakuu, Habari zilitufikia hivi punde ni kwamba aliyekua mkuu wa Kitengo cha EU, Wizara ya Fedha Leopord Lwajabe Amekutwa Amefariki huko Mkuranga.
Lwajabe alitekwa na watu wasiojulikana Akiwa...
Mtangazaji mashuhuri wa muziki wa dansi, Sunday Mwakanosya, anayefahamika kwa kazi zake kupitia Chanel Ten na Magic FM, amefariki dunia leo alasiri.
Kwa mujibu wa maelezo ya mmoja wa wanafamilia...
Memba mwenzetu ametangulia mbele ya haki. Pengine nisingejisumbua kuripoti huu msiba lakini mazingira ya kifo chake ni ya kuhuzunisha na yenye mafunzo. Sijui username yake ya JF kwani tulikutana...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs C. Mwambegele, kwa masikitiko makubwa ametangaza kifo cha Mjumbe wa Tume hiyo, Mhe. Jaji Rufani Mwanaisha A. Kwariko...
Mfanyabiashara mkongwe wa Japan na Mwenyekiti wa zamani wa kampuni ya Magari ya Suzuki Motor Bw. Osamu Suzuki (94), amefariki dunia.
Suzuki aliyeiongoza Kampuni hiyo kwa zaidi ya miaka 40...
Hii imetokea Desemba 24 kijijini Butiama ambapo Richard (Nyerere) Masanza mtoto wa dada yake Mwalimu Nyerere amefariki Dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Richard amesoma shule ya msingi hapa...
Hii imetokea jana asubuhi.
Mzee huyu amefariki baada ya pressure ya mawazo iliyotokana na kuhuzunika mke wake alipougua.
Interest yangu na Ephraim Kibonde ni kwamba yeye ndiye aliyesabsbisha...
Habari za hivi punde ni kuwa mtangazaji maarufu wa Clouds FM, Ndugu Ephraim Kibonde amefariki dunia alfajiri ya leo tarehe 7 Machi 2019.
Kibonde alianza kusumbuliwa na presha akiwa katika msiba...
Ni Mjasiriamali maarufu Mlowo Mbozi mkoani Songwe ambaye pamoja na mambo mengine alikuwa anamiliki kiwanda cha kukoboa kahawa ktk mji wa Mlowo kafariki kwa ajali usiku wa kuamkia leo Morogoro...
Pale Mwanga Tower, Makumbusho limetokea tukio la mtu asiyefamika kujirusha kutoka gorofani, ambapo inasemekana tukio hilo limetokea mapema leo majira ya saa kumi na moja asubuhi.
Mpaka majira ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.