Wakuu tunatangaza msiba wa mtanzania Prosper Prosper ambaye alikuwa anaishi Marekani, amefariki kwa ajali ya gari.
Mtanzania huyu alikuwa anaishi Sugerland - Texas
Taarifa zaidi kukujia.
Askofu mkuu wa makanisa ya Methodist,Joseph Bundala amejinyonga ofisini kwake kwa kutumia waya wa simu.
---
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Methodist Tanzania, Joseph Bundala (55), amekutwa amejinyonga...
SHEIKH DOGA AMEFARIKI DUNIA
Kutoka ukurasa wa Sheikh Ibrahim Ghulaam
إنا لله وإنا إليه راجعون
INNAA LILLAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN
Mmoja wa Masheikh Maarufu na bobezi mno katika fani ya...
Aliyekuwa mjumbe wa magroup ya whasap ya globify na dj maarufu mbeya amefariki jana jijini mbeya ndugu Mozart Mbena Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele poleni sana wana Mbeya. Kwaheri rafiki ...
Wadau wote tumepata msiba mzito kwa kuondokewa na Shehe maarufu nchini aendaye Kwa jina la Salim Mubaaraka (Daruwesh Mtu Mkavu) ambaye amefariki Dunia alfajiri ya Jumatano tarehe 21 / 08/ 2024...
Mama mzazi wa mbunge wa viti maalumu Halima Mdee, Bi.Theresa Mdee amefariki dunia leo katika hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma
Taarifa hiyo imetolewa na Mbunge Ester Bulaya ambaye amethibitisha...
Wakili wa Kujitegemea Maria amefariki ghafla akiwa ukumbi wa mikutano huko Dodoma kwenye vikao vya mawakili.
Inasemekana ni shambulio la moyo, heart attack lililoshahihishwa na presha ya kushuka...
Mwandishi wa HabariLEO, Theopista Nsanzugwanko amefariki dunia leo majira ya saa 3 asubuhi wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa Muhimbili, familia imesema.
Theopista amekuwa...
TANZIA:
MWANA JF MIGUU YA KUKU/ MPAUKO HATUNAE DUNIANI
Kwa mujibu wa rafiki yake wa mitandaoni ni kuwa Mpauko / MIGUU YA KUKU alifariki tarehe 23 /01/2020.
Chanzo cha kifo chake ni kujinyonga...
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, Mzee Ramadhani Nyamka anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara kuanzia Mwaka 1983 hadi 1992...
Kwa wale waliomaliza Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam mwaka 2004 hasa kitivo cha elimu mlisoma naye. Waliomaliza Jitegemee sekondari kuanzia 2001 mtakuwa mnamfahamu.
Wale wa kazi maalum mtakuwa...
TAAZIA: PUDENCIANA TEMBA
Majonzi.
Inachoma sana moyo.
Ikiwa mtakumbuka miezi michache sana hapa hapa niliwekewa kumbukumbu ya kifo cha Dr. Edith Kitambi nami kwa kuwa sikupata taarifa ya kifo...
MRATIBU Msaidizi Baraza la Usalama wa Taifa, Brigedia Jenerali Vitalis Andrew Chakila amefariki dunia.
Taarifa ya kifo chake imetolewa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda...
Sheikh Said Nyange amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 48 usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua ghafla akiwa Makka nchini Saudi Arabia alipokwenda kuhiji na tayari ameshazikwa hukohuko baada ya...
Mchungaji na mwalimu Dkt. Peter Mitimingi wa Kanisa la Ghala la Chakula au kwa kimombo “Warehouse Christian Centre(WCC)” amefariki dunia, usiku huu. Mchungaji Mitimingi alizaliwa mwaka 1975...
Prof. Aminirabi Erasto N. Kweka, Provost Mstaafu wa SMMUCo. Ameitwa na Bwana, Juni 8, 2024, JKCI. Mwili wake umesafirishwa kwa maziko kwenda Moshi baada ya Ibada fupi, Muhimbili Chapel.
Ayubu...
Mhasibu wa Idara ya Mapato ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Amon Joseph (41) amefariki dunia katika ajali ya gari akienda kwenye maziko ya baba mzazi wa mhasibu mwenzake, yaliyotarajiwa kufanyika...
Ninatoa pole sanaa Kwa familia ya Ndg. PATRICK NGILOI ULOMI Kwa kuondokewa na Mama Yao mpendwa hakika wamekuwa kati majonzi makubwa ya kuondokewa na muhimili na nguzo imara ya familia nawapa pole...
🇿🇦🇿🇦 MZEE BABA🇿🇦🇿🇦
Ndugu watanzania mabaharia watafutaji na wanaharakati.......
Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu manzania mwezetu Michael aka Mike......
Mike Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.