Tumepoteza msomi wa kujivunia Tanzania. Professor Maliyamkono ni kati ya wasomi wachache waliobobea kwenye kuandika vitabu na kufanya research za uhakika kwa nchi nyingi za Afrika
RIP Prof
====...
Kwa niaba yangu Mwenyewe na kwa niaba ya Wapenda haki wote wa Tanzania, natoa Pole kwa Baba Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kwa kupoteza Mama yake Mzazi.
Namuomba Mwenyezi Mungu amtie nguvu. Amina
Hatimae yametimia! Apumzike kwa amani! Huyu ni Lt General Benjamini Msuya! Alikuwa kinara wakati wa vita ya Kagera!
Aliongoza utekaji wa Jiji la kampala na kuwa Meya wa Kampala, na pia kama Rais...
Mwana JamiiForums mwenzetu Charity Kasubi ametwaliwa.
Taarifa zaidi zinafuata. Marehemu pia alikuwa ni mfanyakazi wa TBC ambako alikuwa akitumika kwenye nafasi ya Uhandisi wa Mawasiliano. Buriani!
Waheshimiwa wana Kagera NASIKITIKA kuwajuza Leo hii tumepata pigo zito kuondokewa na Msomi, mpenda maendeleo na Mbunifu Profesa Dr. Erasmus Kaijage (PhD Sheffield) Muda haitoshi kuelezea CV yake...
South Africa sio nchi ya Kuishi mtanzania tena maana sio salama kabisa Usiende South Africa ni Hatari watu wanatumia sana Visu.
Mtanzania huyu Anaitwa jumanne Ameuwawa Kwa Kuchomwa kisu nchini...
Aliyekuwa Afisa Usimamizi wa Fedha Mkuu Daraja la Kwanza wa Kitengo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), Profesa Handely Mwafwenga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ( CCM) kata ya Ulowa wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Safari Manjala amejiua kwa kujipiga risasi shingoni asubuhi ya leo.
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga...
Aliyekuwa mmiliki wa mabasi ya Sumry, Humud Sumry, amefariki dunia Alfajiri ya leo Jumatatu Agosti 09, 2021 jijini Dar es Salaam.
Chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika na anatarajiwa kuzikwa...
RIP Mzee Beda Amuli, mbunifu na mchoraji wa majengo likiwemo soko la Kariakoo, DSM. Masasi imekupoteza lakini vijana wako hatutakuangusha ili ndoto ya Masasi itimie. Mzee Amuli ulipigania elimu ya...
CHAKI (JAFFAR KASMALI) MCHEZAJI WA COSMOPOLITAN NA TIMU YA TAIFA AMEFARIKI LEO NEW YORK
Chaki alikuwa golikipa hodari wa Cosmo katika miaka ya 1960 wakati huo wachezaji wenzake ninaowakumbuka...
Mwanamke anayefahamika kwa jina la Blandinda Fredi Mkazi wa Kijiji cha Ilkrevi Kata ya Olturoto Wilayani Arumeru Mkoani Arusha anatuhumiwa kumuua Erick Adam ambaye ni Msanii wa Bongofleva na...
TANZIA -JIMBO KATOLIKI LA BUKOBA
Askofu Method Kilaini, anawatangazia kifo cha padre Asterius Mutegeki, kilichotokea tarehe 18 Agosti 2023 kwa jali ya pikipiki. Padre Asterius ni kijana...
Hivi South Africa kuna nini, mbona Watanzania wanakufa sana? Kwa mnaoifahamu South africa je, ni vibaya kwa Watanzania kwenda kutafuta maisha huko na je, ni mitaa ipi ambayo ni salama kwa Kuishi...
Wakuu, Mpelelezi Mkuu wa PCCB ndugu John Minyenya afariki dunia usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Hindu Mandal baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Bwana Minyenya alikuwa miongoni mwa viongozi wa juu...
Maneno sio mengi sana.
Napenda kutoa pole za dhati kwa familia kwanza ya Musoma Food, ndugu, jamaa na marafiki, kwa kumpoteza mfanyabiashara huyu mkubwa wa nafaka kanda ya ziwa na pengine...
Karatu jana kuna jamaa saa saba usiku ameenda Kanisani kumgongea mlango Paroko amuombee, Paroko alivyofungua Kanisani jamaa aingie amuombee kumbe alikuwa na chuma akapiga sana. Paroko ameenda...
Habari zilizopatikana hivi punde ya kuwa aliyekuwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ukiwaona Ditopile amefariki dunia kwenye Hospitali ya mkoa wa Morogoro.
Mbali ya brother Dito ambaye amefariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.