Familia moja ya Kigogo, Dar es Salaam, inaomboleza kifo cha mtoto wao nchini Afrika Kusini. Ericky Ismael Ngobei, 22, aliuawa kwa kupigwa risasi Alhamisi iliyopita usiku katika eneo la biashara...
Mfanyabiashara Maarufu Mkoa wa Arusha na Manyara na mmiliki wa kampuni za uchimbaji wa madini ya Tanzanite Azo Africa Limited na Germ and Rock Ventures, Joel Saitoti amepata pigo zito kwa kufiwa...
Mwandishi mkongwe wa habari za mazingira, Vedasto Msungu amefariki dunia kwa changamoto ya upumuaji huko Morogoro Hospitali ya Rufaa
Mwandishi Vedastus Sungu alikuwa akipatiwa tiba kwenye...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa BAWACHA Jimbo la Mufindi Kaskazini amefariki Dunia. IRENE MHAPA alikuwa mkufunzi wa shughuli za Ujasiriamali na Vikundi ndani ya Chama.
Mazishi yatafanyika siku ya Leo...
Aliyekuwa mkurugenzi wa shirika la Habari Tanzania SHIHATA na mhadhiri wa chuo kikuu cha mtakatifu Agustino, Nkwabi Ng'wanakilala amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Bugando...
Askofu George Chiteto wa Kanisa Anglican dayosisi ya Mpwapwa amefariki akiwa anahubiri katika misa ya mazishi ya mke wa askofu mwenzake mama Lugendo
Askofu Chiteto alisimikwa katika kitu cha...
Mwandishi wa habari wa TBC mkoani Manyara, Joachim Kapembe amefariki dunia Desemba 13, 2022 akishuka kutoka katika kilele cha Mlima Kilimanjaro.
Kapembe aliungana na Waziri Nape Nnauye na...
Wapendwa,
Kwa masikitiko makubws nawajulisha kuwa umempoteza mpendwa na ndugu Kanali Mstaafu Solomon Kichonge Mahende Masero.
Amefariki ghafla akiwa jijini Dodoma Desemba 13,2022.
Msiba upo...
Taarifa ambazo zimewekwa kwenye mtandao wa kijamii wa balozi Omari Kashera unathibitisha kufariki kwa Captein Aboubakar Ibrahim Nkya. Marehemu amefariki nchini India alipokuwa anapatiwa matibabu...
Mchambuzi nguli wa habari ya michezo maarufu kama mwalimu Kashasha amefariki dunia hivi punde alipokuwa amelazwa hospitali ya Kairuki.
Chanzo mimi mwenyewe niko eneo la tukio.
----
Mchambuzi...
Bariega amefariki usiku wa jana saa 2 huko Tabata huzuni imetawala
Jamaa amesumbua sana wakazi wa Ukonga yote ukiwa kwenye 18 zake hakuachi, hana huruma anakukata kata na mapanga mpaka ufe...
Ni usiku (saa nne) wa kuamkia leo Agosti 9, 2022.
Gari ndogo IST inatokea Kahama, inaelekea Tinde. ikaparamia trekta lililokua mbele limejaza kuni halafu halina taa za nyuma wala reflector. Watu...
Watu 20 wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha magari matatu na Trekta katika eneo la Mwakata barabara ya Isaka Kahama mkoani Shinyanga.
Mashuhuda wa ajali hiyo...
Dokta Anthony Mwandulami mganga maarufu kutoka Kijiji Cha Itunduma kitongoji Cha wangama Kata ya Mtwango mkoani Njombe Afariki Dunia usiku wa Jana jijini Dar es Salaam.
Mganga huyo aliyejipatia...
Wakuu Mmiliki wa Mabasi ya Tavavili Ndugu Max Komba Amefariki Dunia Jana usiku.
.
Bwana Komba alikuwa anasumbuliwa na Kisukari Kwa Mda Mrefu.
.
Bwana Ametoa na Bwana ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe...
Mtoto Rehema ambaye ni pacha aliyekuwa amesalia baada ya mwenzake waliyetenganishwa kufariki dunia, naye ameaga Dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), jana Agosti 11, 2022.
Mkuu wa...
Wapendwa habari za usiku, tunasikitika kutangaza kifo cha dada yetu Sharon Abu kilichotokea huko marekani siku ya leo. Hata hivyo taratibu za mazishi zinaendelea kufanywa kwa ndugu na jamaa...
Habari zalizotufikia hivi punde ni kuwa askofu mstaafu wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Zanzibar na askofu mkuu msataafu wa Kanisa Anglikana jimbo la Tanzania John Ramadhani amefairiki dunia...
Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia huku wengine wakijeruhiwa baada ya Lori kufeli breki na kugonga Magari madogo mawili, katika mteremko wa Inyala mkoani Mbeya.
Endelea kutufuatilia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.