Sisi Wakazi wa Pemba kuna jambo limekuwa likitutesa kwa muda na kutuathiri sana sisi Wananchi wa eneo hili.
Miaka ya hivi karibuni Serikali imekuwa ikijenga masoko ya kisasa katika kila Wilaya...
Sisi watumiaji wa barabara ya kutoka Njelela kupitia Miva na Uwemba Wilayani Ludewa Mkoani Njombe tunasikitika kutelekezwa kwa vifusi vilivyomwagwa kwenye barabara hiyo.
Tunaelewa lengo zuri za...
Ijiumaa hii mpaka Muda huu Saa nane kasoro usiku nipo hapa Chantabull na hakuna mpango wowote wa kufunga mageti.
Nina uhakika Hamna night club yenye kibali hapa Manispaa, basi muwaambie wenye...
Mimi ni Mkazi wa Manispaa ya Iringa, Kata ya Ilala, Mtaa wa Kajificheni kwa niaba ya wenzangu tunaomba msaada wa kusemewa kuhusu shimo lililotelekeza kwa dhumuni la kutengeneza ‘kalavati.
Kuna...
Wanabodi, kuna tabia inayozidi kuonekana ambapo bodi ya mikopo inatembelea ofisi za watu ikiwa na orodha ya wadaiwa wa mikopo.
Cha kushangaza, orodha hii mara nyingi inajumuisha majina ya watu...
Tanesco Tanesco Tanesco
Nimewaita mara tatu kuomyesha Msisitizo.
Hii wilaya ya Nachigwea mkoa wa Lindi kwanini mnakata umeme mara nyingi kiasi hiki na Bila Taarifa kamili.
Mfano leo mshakata...
Wakuu habari ya muda..mdogo wangu amehitimu ualimu miaka minne nyuma sasa punde baada ya kuhitimu huwa wanapewa mapema ACADEMIC CERTIFICATES kuliko vyeti vingine..kwa hiyo alifanikiwa kuipata...
Tangu Mwaka 2024 umeanza hakuna mtu kapitishiwa ombi lake kwenye Mfumo wa ESS, sasa Watu tunashangaa nini kinaendelea wakati maelekezo ya Waziri ni kuwa kila Mtu apitishiwe maombi halafu Wizara...
Leo Jumatatu tarehe 2 Dec 2024, muda huu ni saa tatu na dakika 45 usiku Mitaa ya Forest Mpya kwa Mwamnyange kuna gari la matangazo linatoa tangazo kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji kuhusu mauzo...
Kwa wauzaji wa reja reja wa soda hulazimishwa na Kampuni ya Pepsi, kununua soda wasizotaka kununua wala wasizo na wateja nazo Ili wapewe soda aina ya Pepsi.
Huu ubabe wa Kampuni ya Pepsi unakera...
Ni zaidi ya saa nne sasa hakuna huduma kwasababu ya mtanndao! Kila Mgonjwa anayefika hapo anaambiwa kirahisi rahisi tu kuwa hakuna mtandao
Cha kusikitisha zaidi ni majibu tunayopewa ni wakavu...
Hili ni Bomba la Maji ambalo lina miaka kadhaa sasa halifanyi kazi, tunategemea maji ya kwenye visima.
Wananchi wa Kwa Pengo, Sheya ya Sizini Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba tuna...
Shida ya maji Kata ya Pangani, Halmashauri ya Kibaha Mji Mkoa wa Pwani.
Ndugu Admin/moderator naomba kutoa malalamiko yangu juu ya wizara ya Maji, kwani pamekua na shida ya maji miaka nenda rudi...
Habari JamiiForums,
Ni miaka minne sasa tangu DAWASA Kibaha walivyositisha huduma ya maji Kibaha - Pangani - Mtakuja.
Mara ya mwisho maji yalitoka November 2020 hadi leo maji hayatoki na hakuna...
Suala la Umeme CHATO, imekuwa ni kama anasa vipi huko Msoga na Kizimkazi hali ni hii pia?
Kwakeli sijui Wanachato wameikosea nini Serikali hii. Adha ya umeme niliyoikuta huku ni kubwa mno, muda...
Sisi Wafanyabiashara na wakazi wa Geita, kwa miaka mingi sasa stendi yetu imekuwa na miundombinu mibovu.
Miaka nenda rudi kilio chetu kimekuwa ni uboreshwaji stendi yetu lakini hakuna kitu...
Wapiga Debe katika Stendi ya Daladala ya Mbezi Luis wamekuwa kero kubwa kutokana na yale wanayoyafanya kila siku kutuoni hapo kwa nia ya kutafuta Abiria wanaoelekea katika Kituo cha Mabasi cha...
Sisi Wananchi wa Mtaa wa Nyabulogoya, Kata ya Nyegezi tuna changamoto ya kukosekana kwa chombo imara cha kuweka taka katika maeneo yetu licha ya kuwa tumekuwa tukitoa taarifa kwa Mamlaka...
Muda mwingi mifugo wanakaa juani. Hakuna kivuli cha kuwakinga na jua, ama eneo maalumu la kulishia.
Wanakaa pamoja na kuficha vichwa kwa kujikusanya pamoja, kukwepa makali ya jua.
Pia, mfereji...
Asilimia kubwa ya sisi Wafanyabiashara Kisiwani Pemba tunapata wakati mgumu kuhusu suala la kodi na ushuru mkubwa tunaotozwa katika Bandari ya Unguja pamoja na Bandari ya Pemba
Hali hiyo imekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.