Kuna changamoto ya miundombinu ya Barabara katika eneo la Igogo inayopita Soko la Wafanyabishara Wadogo la Mchafu Koga.
Changamoto hiyo inasababisha vyombo vya usafiri hasa Daladala kutopita...
Hili ni moja ya majengo yanayomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika zamani Mpanda DC yaliyopo Manispaa ya Mpanda, Jambo la ajabu jengo hili limetelekezwa kwa sababu mazingira yake...
Habari viongozi na wadau wa TANESCO, hii shida narudia tena kuitandika hapa, njia hii ya umeme kutoka kimara baruti kwa miaka mingi haishi matatizo, toka enzi zile transfoma ipo juu hadi...
Habari,
Natumani tunaendelea vizuri katika ujenzi wa Taifa letu, pia ningependa kuwapa pole wale wote waliofikwa na maafa na watanzania wenzangu kwa ujumla kwa tukio la kuporomoka kwa jengo...
Eneo la Iyumbu NHC Dodoma limekuwa na tatizo sugu la maji kwa zaidi ya mwaka sasa, mwanzo sababu mbalimbali zilikuwa zikitolewa ikiwamo kutumia kisima kimoja cha maji na chuo cha UDOM hivyo...
Naandika hapa nikiwa na jazba kwasababu sina access ya kuzungumza na mtoa huduma moja kwa moja wa Vodacom huduma kwa wateja.
Kila nikipiga namba 100 napokelewa na sauti ya computer na hakuna...
Habarini ndugu zangu,
Naomba nisiwachoshe, bali niingie moja kwa moja kwenye swala la msingi. Kuna mtaa hapa Iringa mjini unaitwa Mashine Tatu, ambao ni mtaa wa pili kwa idadi kubwa ya...
Vodacom wamekuwa na makato yasiyoeleweka kwa mawakala wa mitandao ya kifedha hasa mkoa wa Mbeya, inapokaribia mwisho wa mwezi wanakata pesa kwenye faida ya wakala ambayo angeipata, ukiwapigia na...
Wakuu inaumiza, inakoroga na kukata maini kabisa. Fikiria kwanza vyoo vya umma vinavyoshughulikiwa kila baada ya dakika 6. Masizi, michanga, matope na chembechembe za vinyesi zinayotapaa pale...
Maeneo ya Buza, hususan Mwembeyanga, yamegeuka kuwa kitovu cha changamoto kubwa za kimazingira.
Mtaro wa maji machafu unaoanzia Mwembeyanga hadi karibu na Kituo cha Daladala cha Usalama...
Taarifa iwafikie Idala ya Maji safi na maji taka mkoa wa Mbeya.
Hivi huwa mnautaratibu wa kukagua chemba za maji taka hapa jijini maana mji mzima umekuwa ukinuka harufu ya maji taka.
Mwanzo...
Ucheleweshaji wa Pasipoti: Changamoto na Maswali Yasiyojibiwa
Mnamo tarehe 23 Septemba 2024, nilikamilisha hatua ya kwanza ya maombi ya pasipoti ya kawaida kwa kujaza fomu namba 24ER-Y091-Q020 na...
Ni wazi kuwa BRELA imefanya kazi kubwa katika kusaidia usajili wa majina ya biashara na kampuni hapa Tanzania, lakini changamoto ya mtandao wao kusumbua inazidi kukatisha tamaa wengi, hasa nyakati...
Habari Zenu,
Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam na ni mtumiaji wa barabara ya Bagamoyo Road. Kila siku napita kwenye barabara hii kwenda katika majukumu yangu ya kila siku, lakini aisee, mataa ya...
Wadau habarini,
Mimi ni mwalimu katika moja ya vituo binafsi vya mitihani kwa private candidates (Mufindi DC). Tuna wanafunzi wa kike waliokuja kwa programu maalumu ya serikali (SEQUIP) ambao...
Mimi ni Mwanafunzi wa degree, nipo Mwaka wa Pili katika chuo Cha Abdurahman Al-Sumait kilichoko Zanzibar.
Mimi na wenzangu tulipata ufadhili wa masomo (Scholarship) kutoka Taasisi ya Direct Aid...
Basi la VIP Dar kwenda Arusha inakuwaje muhudumu wenu ajipulizie Manukato wakati ndani ya gari kuna air conditioning na madirisha yamefungwa.
Ni usumbufu Kwa abiria na wengine Wana matatizo ya...
Naomba kuwasilisha kero sugu iliyopo katika Halmashauri ya Nachingwea upande wa Idara ya Utumishi, kumekuwa na mikingamo mingi na mazingira tata katika utoaji wa barua za uthibitisho na barua za...
Katika kata ya Ubungo Makubuli baadhi ya vijiji vyake ikiwa Kibangu, Wanaichi kwa wiki tatu sasa wamekosa huduma ya Maji kutoka DAWASA hivyo kupata shida na kuhofia mlipuko wa magonjwa na hawana...
Kumekuwa na shida sana kwenye Namba za Huduma kwa wateja kwenye baadhi ya Wizara za Serikali, kama namba ya huduma kwa wateja Wizara ya Ardhi , mwananchi unapata shida ili upige simu upate msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.