Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Anonymous
Machinjio ya Kimara yanatupa wakati mgumu majirani. Maji yanoyotiririshwa kwenye mitaro yanafanya uchafuzi wa hali ya hewa. Serikali iangalie upya suala hili
1 Reactions
1 Replies
123 Views
Vyoo vya upande wa juu yanakotokea mabasi katika Stendi Kuu ya Mabasi Singida maarufu kama Stendi Mpya (vyoo vya kiume) havifai jamani..... ni vichafu vinatia kinyaa. Ushuru tunaolipa getini na...
2 Reactions
7 Replies
573 Views
Mimi ni mdau natokea Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu, naishi hapa makao makuu ya Wilaya, Mjini Mhanuzi. Sisi Wananchi wa makao makuu ya Wilaya hapa Meatu Mjini Mhanuzi, tunayo mashaka makubwa na...
0 Reactions
2 Replies
501 Views
Kumekuwa na changamoto ya kununua LUKU kupitia mitandao ya simu. Ukinunua hupati token na wenye mitandao wanajua kuna shida kwasababu ukiwapigia wanakiri. Lakini bado unakatwa pesa! Kwa nini...
1 Reactions
0 Replies
225 Views
Anonymous
Uongozi wa chuo wajibikeni kwa hili au mamlaka husika wasaidieni watoto na wazazi walionza fika to wiki iliyoisha hakuna malazi kama vile mahali pa kupata chakula. Uongozi wa chuo wajibikeni au...
2 Reactions
13 Replies
434 Views
Anonymous
Licha ya chuo pia kuwa na mazingira mabovu lakini uwepo wa mapori kuzunguka chuo imekuwa ni hatari kwa usalma wa wanafunzi. Wanafunzi wanakabwa, lakini chuo kimekuwa kinatoa matamko bila...
1 Reactions
8 Replies
448 Views
Hizi App zimekuwa ni changamoto kwa jamii hasa unapopata shida ukikopa kwao ujue umejiingiza kwenye mtihani Moja ya changamoto zinazoikumba jamii au watu wanaokopa ni kulazimishwa kulipa deni...
1 Reactions
5 Replies
298 Views
Dodoma inazidi kukua kwa kasi, baadhi ya vinavyochangia ukuaji huo ni uwepo wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tangu Mwaka 2007 na Serikali kufanya maamuzi ya kuwa Makao Makuu kwa vitendo. Ukuaji...
3 Reactions
7 Replies
769 Views
Mwezi Septemba mwaka huu bull dozer ilikuja mtaani kwetu na kutifua barabara tangu siku hiyo halijawahi kurudi japo kusawazisha. Barabara mbaya ina matuta haijawasazishwa tunapita kwa tabu sana...
0 Reactions
4 Replies
216 Views
Siku za hivi karibuni eneo la Mbezi Beach Africana kutokea Tegeta mpaka Mataa ya njia panda ya Kawe kumekuwepo na foleni kubwa ambayo imekuwa kero kwa watumiaji wa 'Bagamoyo Road' hasa wanaoelekea...
0 Reactions
0 Replies
181 Views
Jiji la Dodoma linaendeshwaje katika upande wa utunzaji wa mazingira. Hali ilivyo naona kabisa kuna uwezekano wa kuibuka kwa magonjwa ya kuambukiza ikiwemo Kipindupindu kutokana na mfumo wa maji...
0 Reactions
3 Replies
460 Views
Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia...
0 Reactions
4 Replies
535 Views
Mazingira ya choo kwa ajili ya Abiria kwa Wanawake katika Kivuko upande wa Magogoni hayana privacy’ na pia kuna muda hakuna usalama kwa watumiaji hasa wakati wa Usiku. Kero ya kwanza, wakati wa...
3 Reactions
5 Replies
413 Views
Mpaka mjirekebishe ndiyo nitaacha kuwasakama. Halmashauri ya Jiji la Mbeya kama inawezekena badilisheni mfumo wa kukusanya taka au tafuteni kampuni nyingine ya kukusanya taka. Hawa JKT wamefeli...
0 Reactions
2 Replies
403 Views
Hapa Manispaa ya Songea, ni kama viongozi wameweka pesa mbele kuliko kuwajali Wananchi kutokana na mazingira yalivyo. Binafsi sijui wanazingatia nini au vigezo gani kumpa tenda mtu ambaye kazi...
2 Reactions
8 Replies
588 Views
Kahama Mjini kuna laini moja ya umeme ambayo imeunganisha maeneo ya Nyihogo, Mhungura, Dodoma hadi Shunu. Miezi miwili au mitatu mfululizo pamekuwa na changamoto ya ukataji wa umeme pasipo...
1 Reactions
2 Replies
198 Views
Maeneo ya Daraja la Masai Daraja la Masai Moja ya changamoto kubwa wanayoipata wakazi wa eneo hilo ni wakati wa mvua kubwa au mafuriko, inapokuwa hivyo Daraja la Salamani na Daraja la Uhuru...
0 Reactions
5 Replies
306 Views
Kwa siku za hivi karibuni kivuko hiki kimekuwa ni changamoto kubwa. Kwa sasa wananchi wengi walio na haraka kuelekea kazini wanalazimika kutumia bodaboda kupitia Daraja la Nyerere ambayo hii ni...
2 Reactions
7 Replies
324 Views
Ni nani mmliki wa kampuni ya ukopeshaji mtandaoni ya EasyBuy? Inadhalilisha watanzania. Tunaomba ifutwe na mmliki akamatwe. Ukikopeshwa Tsh. 98,000 riba ni Tsh 42,000. BAAADHI YA MICHANGO...
6 Reactions
71 Replies
4K Views
Anonymous
Serikali ya Tanzania haijawahi kuwa serious na kazi zake hata siku moja nimeshangaa sasa utaratibu uliopo hapa Kivukoni Ferry (Dar es Salaam) ukitaka kwenda kupanda Panton kuvuka kwenda Kigamboni...
0 Reactions
3 Replies
386 Views
Back
Top Bottom