Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mazingira ya Chuo Kikuu Huria, Kampasi ya Singida yanasikitisha sana kutokana na kuonekana kuwa duni. Majani yameota hovyo hovyo.... mazingira mabovu hayavutii wala hamna hadhi ya 'Chuo Kikuu'...
0 Reactions
0 Replies
390 Views
Kila uchwao tabata wanakata umeme, I am comfused, what is wrong nothing going at all. Wiki mbili sasa kila siku lazima wauondoe kwa saa karibu 5-7, leo hii tarehe 18/11 toka saa 4, asubuhi hatuna...
0 Reactions
9 Replies
248 Views
Nilipata nafasi ya kutembelea Soko la Makangarawe lililoko Buza, soko ambalo kwa nje linaonekana limejengwa kisasa, lakini hali ndani inasikitisha na kuzua maswali mengi. Soko la Kisasa, Lakini...
2 Reactions
13 Replies
653 Views
Kwema wakuu? Asee Latra mtuhurumie watanzania wenzenu, toka mwaka huu uingie nimeona wananchi wa Mwasonga wanateseka sana nauli inapanda bila sababu za msingi. Zamani nauli ilikuwa 500 tu hadi...
8 Reactions
40 Replies
1K Views
Habari za muda huu waungwana, kutokana na ujenzi unaoendelea wa upanuzi wa barabara kutoka Ubungo mpaka Kimara mwisho haya mataa ya hapa Korogwe, Bucha (kwa Thomas) nasikia hili jina lilikuja...
0 Reactions
0 Replies
190 Views
Anonymous
Hii sasa imekuwa kero kubwa kwa wateja wa wanaopata huduma katika Ofisi ya TANESCO Tukuyu. Mwanzo huduma ya kubadili matumizi ya umeme kutoka matumizi makubwa kwenda madogo ilikuwa inatolewa...
0 Reactions
2 Replies
251 Views
Anonymous
Kumekuwa na ukiukwaji wa sheria za Mipango Mji katika mji mdogo wa Bomang'ombe Wilaya ya Hai, mkoa wa kilimanjaro. Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Mazingira wakishirikiana na ofisi ya biashara na...
0 Reactions
2 Replies
161 Views
Wana Jf hamjambo??? Hapa Msasani ni siku ya 5 leo taka zimetolewa na Gari halionekani. Watu wametangaziwa kwamba watoe taka gari linapita jioni kubeba taka, mbaya ni kwamba mpaka Leo zipo na ni...
1 Reactions
4 Replies
360 Views
Hapa ndani kuna umati wa watu wanasubiri kuvuka na boti ndio moja na zile ndogo. Hivi kwanini hapa wasipewe tu wawekezaji, jamani Kigamboni tunateseka sana.
7 Reactions
39 Replies
1K Views
Zaidi ya wiki sasa Maji katika Mtaa wa Sabasaba Gula Road karibu na Uwanja wa Ndege yamekuwa yakimwagika kama hayana mwenyewe. SUWASA wamejulishwa ila hadi leo hawajafika na kuna maeneo mtaa...
0 Reactions
0 Replies
309 Views
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) tunaomba mtusaidie katika hili maana sasa imekuwa mazoea Kwa madereva daladala. Daladala za Nsalaga kwenda Stand kuu zimekuwa zinakatisha ruti kwa...
2 Reactions
9 Replies
555 Views
Moja kati ya madereva wa hovyo ni wanaoendesha bajaji Kati kati ya foleni wanapita katikati kama boda Anaweza akajipenyeza.mbele yako kwa kushtukiza na hazina balance ukizigonga tu zinapinduka
0 Reactions
0 Replies
192 Views
Kumekuwa na utaratibu usio rasmi wa walimu hasa wa shule zilizopo maeneo ya vijijini kuvunja ratiba za masomo na kupeleka wanafunzi kulimia mashamba yao. Mfano shule ya msingi Nyamagana na shule...
0 Reactions
0 Replies
135 Views
Anonymous
Wiki Moja iliyopita Chama kikuu cha ushirika Tunduru kiliendesha mafunzo kwa viongoz wa vyama msingi yaani AMCOS zote za wilaya hii, jumla ya wajumbe waliohudhuria mafunzo ya walikuwa 586 na...
0 Reactions
1 Replies
144 Views
Naomba nitumie jukwaa hili kuwasilisha dukuduku yangu nikiwa naamini ujumbe utawafikia wahusika kama ambavyo tumekuwa tukiona kwenye baadhi ya kero ambazo zimekuwa ziibuliwa hapa jukwaani. Ni kwa...
0 Reactions
7 Replies
515 Views
Wakazi wa kata ya Kidongo Chekundu Manispaa ya Tabora wanaoishi karibu na shule ya msingi ya Mpepo wamekubwa na hofu kubwa kwa watoto wao kufa maji pamoja na kubomoka kwa nyumba zao baada mtaro...
0 Reactions
0 Replies
196 Views
EWURA hii tabia ya wamiliki wa vituo vya mafuta kuuza nishati ya mafuta ya Petrol na Dizel kwenye madumu mtaikomesha lini huyu? Huyu kwenye picha ni mmoja kati ya Wananchi wanaonunua mafuta kwenye...
2 Reactions
46 Replies
2K Views
Habari zenu, Leo mimi kama member of JamiiForums nimekuwa na muda kupita ofisi za RITA halmashauri ya wilaya ya Kongwa, kiukweli nimesikitishwa na namna watumishi wake walivyo kosa weledi wa...
1 Reactions
3 Replies
301 Views
Sisi Wananchi wa Mtaa wa Mwananyamala Kisiwani Kwa Kidile tuna kero yetu ya takataka, zimekusanywa sehem ya makazi, zina wiki sasa kiasi kwamba funza na wadudu wengine wameanza kusambaa Bila...
1 Reactions
0 Replies
235 Views
Anonymous
Mimi ni mmoja wa wadau wa JamiiForums, kuna kitu nataka nishauri au kukemea kabisa. Kuna vitu hawa Mama Lishe au Mama Ntilie wanafanya siyo kabisa kwa afya ya Wateja wao kupitia vitafunwa...
1 Reactions
10 Replies
499 Views
Back
Top Bottom