Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Huu ni ukweli ambao wengi hawaujui kwani umejificha ya kuwa lugha ya kiarabu ndio lugha iliyotumika kuufikishia ulimwengu elimu karibu zote. Lugha ya kiarabu ambayo ndiyo lugha iliyoteremshiwa...
8 Reactions
184 Replies
5K Views
Nashukuru wanajamii forum Kwa kuniombea nimemaliza kazi salama nimeona kweli hii forum ni kama familia asanteni sana wakuu tuendelee kupendana humu milele hatujuani Kwa sura ila tuendeleze upendo...
4 Reactions
22 Replies
436 Views
Wakuu. Nimekuja kwenu hapa wale wenye ujuzi wa leseni za magari nina maswali naomba majibu kupatiwa majibu, najua natakiwa kwenda kuwauliza askari wa barabarani au TRA Tanzania ila sasa naomba...
1 Reactions
21 Replies
832 Views
Hello JamiiForums, ni Kainetics hapa ivi. Kwenye thread hii fupi nitaongelea mambo ambayo ukiyazingatia, basi itakua ngumu sana Kutapeliwa mtandaoni kwa namna yeyote ile. Mtandao ni sehemu kubwa...
1 Reactions
3 Replies
668 Views
Waasi wa 23 wanasema lengo lao ni kufika Kinshasa na kuiangusha serikali ya Tshisheked, je wataweza. JE IPI nafasi ya Tanzania km nchi yenye nguvu ya kijeshi afrika mashariki na rafiki wa...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Wafanyakazi wa wanaojihusisha na ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) Mkoani Singida wamedai haki zao katika Mifuko ya Jamii (NSSF) pamoja na kodi wanayokatwa ifike katika...
0 Reactions
0 Replies
414 Views
Anaitwa mama Habi. Anaishi maeneo ya Makazi Mapya Mbezi Beach Serikali za mitaa wanamjua na wananchi walishapeleka taarifa zote juu ya mtandao wa huyu dada Huyu dada anaishi na wahuni wa Kawe...
32 Reactions
109 Replies
4K Views
Anonymous
Hii Kampuni ambayo inaonyesha kusajiliwa Tanzania, ina dalili zote za kitapeli kama makampuni mengi yahayojitangaza kufanya biashara ya Sarafu za kidigitali (BITCOIN). www.titmining.com Wameweka...
1 Reactions
0 Replies
430 Views
Kila mwaka Februari 04 huwa ni siku ya kuadhimisha saratani duniani kwa lengo la kutoa elimu, takwimu na uelewa kuhusu Saratani. Na kwa takwimu za mwaka 2024 zimeonesha kuwa bara la Asia ndo...
3 Reactions
12 Replies
518 Views
Hili zoezi gumu sana ingawa KAMISHNA wetu anajitahidi kupambana naloooooooo MH KAMISHNA WA Madawa ya kulevyaaaaaa KUNA haya mabasi yanatokea Kenya na ugandaaaa Fanyaaaa showe wiki nzimaaa...
8 Reactions
22 Replies
1K Views
Kuna tangazo moja la kampuni ya Yas,Mtu mmoja anadai ni mkazi wa kijiji kimoja kule wilayani Mkinga,Tanga anajinadi kwamba ameshinda bahati nasibu ya kampuni ya Yas kupitia promotion ya Giftishe...
3 Reactions
22 Replies
578 Views
Sasa ARV's zinakwenda kuwa big deal, wachuuzi wadogo hawatazipata tena. Hofu yangu ni kwamba kwenye maghala ya dawa ya MSD watu wanaweza kujizolea na kuzificha ili wakatajirike siku za machoni...
0 Reactions
1 Replies
118 Views
Usimwanike mtoto wako mtandaoni. Usimwanike mwenzi wako mtandaoni. Usianike mali zako mtandaoni. Usianike bata zako mtandaoni. Kuna siku utatamani kufuta itakuwa too late wenzako wameshadownload...
41 Reactions
116 Replies
2K Views
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiitaka Mahakama kutenda haki kwa usawa na wakati, watoto wa aliyekuwa Jenerali Tumainieli Kiwelu wanaomba shauri lao la kuondolewa kwa wasimamizi wa mirathi ya...
0 Reactions
1 Replies
330 Views
Kuna watu wanaitafuna Nchi, Serikali ni sikivu, watu kama hawa hawatufai kwenye jamii yetu BOSI TRA ANAVYOITAFUNA NCHI Wakati kashfa ya baadhi ya watumishi wa umma kutajwa katika ripoti ya...
13 Reactions
98 Replies
11K Views
Soko la sido jijini Mbeya linaungua moto muda huu. Taarifa zaidi zitakujia kadri zinavyopatikana. Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka kwa Ripota wetu jijini Mbeya,zinaeleza kuwa Soko la...
5 Reactions
193 Replies
36K Views
Huwa kuna mdogo wangu ambaye tumezaliwa mama mmoja baba tofauti . Huyu mtoto yupo bright Sana na very humble. Huwa nikitoa hela za shule na mahitaji kumpatia , basi huwa nafanya madili mengi...
13 Reactions
70 Replies
2K Views
Kufahamu zaidi kuhusu tuzo hiyo ingia hapa: Rais Dkt. Samia apewa Tuzo ya Gates Goalkeeper Award
1 Reactions
3 Replies
182 Views
Hapa mtaani kwetu kuna changamoto ya kimazingira inaendelea huu ni Mwaka wa tatu sasa maeneo ya Msasani Mikoroshini yanaathiriwa na maji taka yanayotoka kwenye makazi ya mtu mmoja ambaye ni kama...
1 Reactions
8 Replies
458 Views
Wadau hamjamboni nyote? Siku ya furaha,siku ya kukumbukwa HAPPY BIRTHDAY SAFARI LARGER Tarehe 4 Februari 1977 siku kama ya leo bia ya SAFARI LAGER ilizinduliwa na kampuni ya bia Tanzania...
3 Reactions
8 Replies
262 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…