Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Hivi inakuaje mtu mnafanya kazi moja ,mnalinda mnyama mmoja, wote mnatumia silaha moja, mnadeal na majangili wanaofanana alafu mtu anaeajiriwa TANAPA (askari) tena form 4 mwenye div 4 anaanza kwa...
4 Reactions
11 Replies
9K Views
Habarini! Kama ni mtu uliyezunguka angalau robo tatu ya hii nchi na ukiangalia biashara kubwa kubwa zinazoingiza mapato ya pesa nyingi serkalini basi kama siyo mmiliki ni mchaga basi wachaga hao...
11 Reactions
52 Replies
947 Views
Pato la China la mtu mmoja mmoja ni USD 12,614 kwa mwaka. Hiyo ni sawa na Tsh 32,333,075 kwa mwaka. Pato la mchina kwa mwezi ni Tsh 2,694,422. Tunaweza kusema pato la asilimia kubwa la wachina...
1 Reactions
45 Replies
551 Views
Kumekucha Wadau. Leo asubuhi wakati nawahi kwenye Mitikasi yangu nimejikuta nimenasa katikati ya foleni ambayo hata kusogeza tu mguu ilikiwa shida na ni mchezo wa kila siku hasa kwenye barabara...
0 Reactions
6 Replies
398 Views
Serikali imesema kuwa inafanya jitihada ili Kituo cha Forodha cha Pamoja (OSBP) Kabanga, kinachotoa huduma kati ya Tanzania na Burundi, kiweze kutoa huduma saa 24 ili kuongeza ufanisi. Hayo...
0 Reactions
0 Replies
131 Views
Niwaombe wahusika muongeze mataa ya kuongozea magari aseee.. Hii imekuwa kero kubwa ktk makutano yote ya barabara hapa Dodoma hususani ktk maeneo ya Bunge, Kisasa, Majengo, Emous njia panda...
0 Reactions
2 Replies
475 Views
Kwa Niaba ya Wadau wananchi wa kawaida kabisa nadhani ni wakati sahihi wa kupazia sauti kadha hii ambayo imefumbiwa macho kwa muda mrefu na vyombo vyetu husika. Week chache zilizopita niliamua...
1 Reactions
6 Replies
984 Views
Moment of Silence katika Mkutano wa 156 wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kumkumbuka Mkurugenzi Mkuu Mteule wa WHO AFRICA, Marehemu Dkt. Faustine Engelbert Ndugulile. Leo ni siku ya kihistoria...
2 Reactions
9 Replies
257 Views
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Elibarick Kingu imeitaka Serikali kupitia Wizara ya Afya kuimarisha huduma za afya ya akili na kuhakikisha...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
SHAIRI JANGA LA KUBETI 1. Kipo kilio cha wazi, kingine kimefichika Mfano kuchunwa buzi, huwezi wazi kuweka Kwetu kama fumanizi, kilio kimetufika Kubeti nalo ni janga, limeteka watu wengi 2...
3 Reactions
8 Replies
480 Views
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amepiga marufuku wataalamu wa afya mkoani humo kutoza fedha wala vifaa tiba kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure, na kuwataka kufuata...
9 Reactions
45 Replies
1K Views
Dodoma: BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Kanda ya Kati kwa kipindi cha Julai, 2024 hadi Januari, 2025, limekagua na kutembelea miradi 603 ya uwekezaji katika Mikoa ya...
0 Reactions
2 Replies
146 Views
Nchi yetu, Tanzania, imebarikiwa kwa utajiri mkubwa wa madini na maliasili. Dhahabu, almasi, tanzanite, gesi asili, chuma, na mengine mengi yamehifadhiwa ardhini, yakisubiri kuchimbuliwa na...
0 Reactions
1 Replies
128 Views
Kumeanza kuchangamka sasa. Slogan ni ile ile tetea ugali wako mapema. Sisi Watanzania hakika tulirogwa. Makofi tafadhali.
1 Reactions
17 Replies
343 Views
1. Hivi karibuni imeripotiwa Walimu wa kiume wa Madrassa kulawiti watoto huko Mafia, Zanzibar na Sumbawanga. Soma: Mkuu wa Wilaya ya Mafia: Watoto 15 wamelawitiwa na Ustadhi wa Madrasa Kisiwani...
13 Reactions
100 Replies
8K Views
Ikulu ya Kinshasa DRC, Rais Felix Tsheked baada ya kushika kiti aliwahi kuwaalika Wachawi maarifu wote Nchini DRC kufika Ikulu na kusaidia kuongeza nguvu kuwakabili M23 muhula wake wa pili...
6 Reactions
36 Replies
1K Views
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa tahadhari ya uwepo wa majanga baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kuripoti uwepo wa mvua za wastani na juu ya wastani katika baadhi ya mikoa nchini huku...
0 Reactions
3 Replies
455 Views
Mtu mmoja ambaye ni family friend na Koffi Olomide aliniambia kuwa Mzee Koffi kwenye mkataba wake wa kazi kaweka kipengele cha kutoongeleana vibaya baada ya mkataba kufikia tamati au kuvunjwa...
7 Reactions
9 Replies
412 Views
Leo Nilikuwa nipo katika maktaba yangu ya simu nasoma kitabu kinaitwa "the power of karma" Katika kusoma nimekutama na neno la kifaransa linaitwa Dejevu likimaanisha already seen. Hii nimewahi...
15 Reactions
70 Replies
2K Views
Hii ni kwa watafutaji na wazee wa fursa. Leo tumalize mzizi wa fitina,ni Mji gani Kati ya Kahama na Tunduma uko vizuri kiutafutaji? Tunduma-Ina wakazi zaidi ya laki 2 na ni Mji wa mpakani...
7 Reactions
253 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…