Ndugu zangu niwasalimu kwa jina la mizimu ya mababu wema walio itunza asili ya kiafrika, mizimu iwalaani mababu waovu walio rubuniwa kupoteza uafrika na kutuletea Imani za ajabu zisizo kuwa na...
Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuber amekabidhi kiasi cha Tsh Milioni 20 za rambirambi kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwenda katika familia ya...
Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya
Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo...
TCRA matapeli wa tuma kwa namba hii dawa yao ni moja Ban NIDA iliyosajili hizo namba, pamoja na ku Ban namba zote zilizosajiliwa na hiyo NIDA
TCRA chukueni ushauri wangu mtateketeza matapeli wote...
Wadau nahitaji Showcase/display fridge ya lita 300-380, kwa ajili ya biashara..
Nikinyoosha sana mkono Naishia 1.5M, kulingana na Brand na ujazo.
Brands ninazoziwaza ni kati ya
Midea
Haier...
Haki za kiraia ni haki za msingi zinazohakikisha kila mtu anatendewa kwa usawa na ana uhuru wa kushiriki katika jamii bila kubaguliwa. Haki hizi zinamlinda mtu dhidi ya ubaguzi na unyanyasaji kwa...
Jamani Wana jF naomba kuuliza haya mabando ya halotel yanayouzwa
6000/= _5gb
10,000/=_10gb
20,000/= _20gb
yanapatikana wapi kwa bei ya jumla na unaanza kununua GB ngapi ili itusaidie sisi content...
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Mambo ya Walawi 15:19 9 Mwanamke ye yote, kama anatokwa na kitu, na kitu chake alichokuwa nacho mwilini mwake ni damu, ataketi katika...
Rais Samia amesema kuwa Ujasiriamali litakuwa somo la lazima kwa wanafunzi wa sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne ili kuwaandaa kujitegemea. Akisisitiza kuwa mabadiliko haya ni...
https://www.youtube.com/watch?v=gVEY5kDgETg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya maonesho kuhusu masuala mbalimbali ya Elimu kabla ya...
Rafiki yangu amefiwa na mama mzazi na mdogo wake siku moja kwenye ajali. Anaumia sana, imepita wiki sasa, ila bado analia kila siku na kuongea peke yake mpaka tunaogopa.
Kama umeshawahi kufiwa na...
Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, Mkoa wa Katavi, Dkt. Thadeus Makwanda ametoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyeeleza kuwa Hospitali ya Wilaya ya Mlele Mkoa...
Haabari wadau..!
Maisha ya UDSM enzi hizo yalikuwa powa sana sijajua kwa sasa.
Tuanzie wapi ,ngoja tuanze na Boom enzi hizo lilikuwa 4000/= kwa siku ila tulivyoingia chuo ikabidi tufanye mgomo...
Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya Mbarak alhaj Batenga, ameagiza kuundwa kwa mfuko maalumu utakaoshughulikia majanga ya asili na moto ambao utasaidia kupunguza hasara inayawapata wakulima wa...
JamiiForums imeboresha mwonekano kwenye Kurasa za Mitandao ya Kijamii ili kukupa Mwonekano wa Kisasa na rahisi kwenye kuthibitisha Maudhui yake
Mwonekano huu mpya unalenga kuwapa wananchi nafasi...
Kituo cha Bajaj Ferry hapa Dar es Salaam, zile Bajaj zinazoelekea Kibada, Kisiwani n.k. wahusika wamekuwa na kawaida ya upandishaji holela wa nauli.
Nauli inajulikana ni shilingi mia saba lakini...
Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Umeaply umechaguliwa eti siku ya interview unawaeleza umepoteza original lakini ipo kwenye mchakato lakini bado hawakuruhusu kufanya intetview as if serikali...