Good Morning wadau wa JF.
Visa vya rafiki kuwa adui ni vingi mno na vimeandikwa sana humu na sehemu zingine mbalimbali. Je, adui yako anaweza kuwa rafiki? Au aliyewahi kuwa rafiki kisha akageuka...
Juzi tarehe 2/2/2023 Mjumbe wa Shina namba 9 Mbezi Beach B Bw. Daudi anasema alipigiwa simu akiambiwa kuna mtu ambaye amefia kokoni, ambapo alipofika eneo la tukio akakuta kichwa cha mwanaume huyo...
Matukio ya kinyama yametokea dhidi ya wanawake wawili katika Mtaa wa Chinyika jijini Dodoma ambao miili yao imeokotwa huku mmoja ukionekana kujeruhiwa na kitu chanye ncha kali.
Kwa mujibu wa...
Mbuni ni ndege, tena MKUBWA aliyejaa minofu inayovutia. Nimemuangalia na kumtafakari, hakika amenona.
Nimeona huko kwa wenzetu, nyama yake inauzwa bei mbaya na inatajwa kwamba ni nyama yenye...
KAMA HIVI NDIVYO UNAVYOISHI MJINI NI BORA URUDI TU KIJIJINI UKAISHI KULINGANA NA KIPATO CHAKO.
Yawezekana hii isiwe makala nzuri kwa waishiyo mijini huku wakijisifu kila siku na kuwabeza waishiyo...
Wakuu kwanza Nawatakia sabato njema upendo na Mwanga ukatawale katika maisha yenu.
Nina ndugu yangu Ana umri wa miaka 33 kazaliwa 1992
Elimu yake darasa la saba.
Ndugu hana Kazi ya kudumu ...
Naomba JamiiForums itazame yafuatayo.
Je, ni sahihi kwa mkandarasi kutaka kupunguza kilomita za barabara kwa kuchepusha barabara karibu na vyanzo maji eneo la Kitulila huku akijua kufanya hivyo...
Hili suala limekaaje kitaalamu, mfano benki kama NMB ukitaka kutuma pesa kwa mtu kutoka kwenye Akaunti ya benki kwenda kwa namba yake ya simu Cha mtema Kuni utakiona. Je hii ni sawa wakuu? Kwanza...
Wakuu
Anaitwa Mussa Mkama mhariri wa zamani wa gazeti la Dira ya Mtanzania na baadae Fahari Yetu, mwenye namba zake anipe, kuna habari yake aliiandika, nataka kumpa vielelezo, nadhani itasaidia...
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amewataka Viongozi wa Chama cha Msingi Kisuke katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama kusitisha utunzaji wa nyaraka za ofisi katika Jaba...
Kichwa chahusika.
wanajamvi, serikali kwa ujumla na watu wa haki za binadamu, tumuunge mkono raisi trump kwa kupinga ushoga na usagaji, tuone hao wa haki za binadamu watapitia wapi labda...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kusafiri...
Hima ni kundi la watu wa asili ya Kibantu na Nilo-Hamitic linalopatikana hasa katika maeneo ya Afrika Mashariki na Kati, hasa Uganda, Rwanda, Burundi, Tanzania, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
Shaloom Shaloom
Katika pitapita zangu kwenye barabara ya Morogoro nimekumbana na tatizo kubwa la foleni kutoka ubungo mpaka Kimara kuelekea Mbezi. Foleni ni kubwa na haisogei kutokana na shughuli...
Nikiwa nataka kujua kuhusu nchi huwa natembelea page zenu IG na X. Hamna upande mko upande wa wananchi. Kipindi ambacho habari za kijamii zimekuwa zikikwepwa na vituo vingi nyie mmekuwa...
Habarini,
Mliowahi kutoka nje ya nchi hii basi mkuje kutuhabarisha kuhusu hili. Nini mmeona? Nini mmefanyiwa ili tunaohangaika kutoka tujue mapema.
Kuna mmoja alisema yeye aliwahi kuvutwa pua...
Licha ya awali usafiri wa Mwendokasi kuvutia watu wengi lakini kwa siku za hivi karibuni abiria wengi wamekuwa wakilalamikia changamoto mbalimbali ambazo zinajitokeza kwa nyakati tofauti.
Kwa...