Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Aisee mimi bora nijenge, ni mara mia ujinyime upange ijikusanye uje ujenge kuliko kununua nyumba alokua anaishi mtu kama family residence kisha uhamie humo. Sababu ni kwamba wengi wetu wana fikra...
11 Reactions
42 Replies
2K Views
Tangu TV zianze nchini, ni vipindi viwili tu ukuacha taarifa za habari amavyo vilikuwa na viewers wengi. Kitimoto na Ze comedy Show. Paskali Mayalla akiwa katika ubora wake alijuak utukalisha...
10 Reactions
42 Replies
931 Views
Mapema usiku wa tarehe 16/3/1996 viongozi wa Rwanda, Uganda, Sudani kusini na Ethiopia pamoja na kiongozi wa AFDL Laulent kabila walisaini “Makubaliano ya mkataba wa Lemera”. Mkataba huu ulikuwa...
12 Reactions
23 Replies
2K Views
Bwana Baltazar wa Njombe amemtoa mwanamke utumbo Kwa kuingiza mkono wake kwenye haja kubwa kisa kunyinwa papuchi. Haijaeleweka kama marehemu alikula hela zake au laa ila Polisi wamemtia nguvuni...
16 Reactions
113 Replies
5K Views
Kule marekani huwa wanaitwa donors, mtu anajiandikisha kwenye orodha maalum ambapo anatoa ridhaa yake mwenyewe kwamba pindi atakapofariki basi immediately viungo vya mwili wake kama ini, moyo...
3 Reactions
53 Replies
7K Views
Nipo Marangu msibani nimemsindikiza best wangu aliyefiwa na shangazi yake na mazishi ni kesho. Sasa basi asubuhi ya leo tukiwa hapa msibani kuna mtafaruku mkubwa umetokea baada ya mzee mmoja...
24 Reactions
85 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa Wakili wa Masoud Kipanya, amesema Mtangazaji huto maarufu kwasasa anapata shida kujitokeza mbele ya watu kutokana na tuhuma za kujihusisha biashara haramu zilizotolewa na Mwijaku...
22 Reactions
211 Replies
12K Views
ULOKOLE UKIUNDESHA Kwa hisia tu Unageuka kichaa ama chizi anayejua anavaa nguo nzuri na kwenda kwenye jengo fulani kukutana na wenzake. YAANI paka anaweza pita nyumbani kwako,kisha akakutizama...
6 Reactions
19 Replies
472 Views
Kabla ya ndoa kufungwa,watarajiwa hulazimika kufanya vipimo vya afya zao hususan ukimwi.Hii imekuwa ni kanuni na imezoeleka hivyo. Kutokana na yanaondelea huko ndoani watu kufanyiani mambo ya...
6 Reactions
25 Replies
460 Views
Mwigizaji Li Lianjie 'Jet Li' amewaacha mashabiki wake midomo wazi baada ya kufunguka kuwa amemkabidhi mke wake Nina Li Chi utajiri na fedha zake zote. Mwigizaji huyo mwenye utajiri unaokadiliwa...
27 Reactions
107 Replies
3K Views
Kuna wanawake na mabinti wanazunguka mtaani hasa maeeneo yenye shughuri za kazi mbalimbali kama masoko,workshop,gerejeji nk wakiuza hasa matunda . Kunatabia ambayo imeota mizizi naweza kusema ni...
24 Reactions
90 Replies
2K Views
Kila mtu huwa yupo na hofu ya kupitia kipindi kigumu sana kifedha.Watu maarufu yaani "Celebrity" na watu wenye fedha nyingi sana kama bilionea huwa wanaishi kwa "Stress" sana kuliko kundi lolote...
6 Reactions
12 Replies
531 Views
Mr presidaa bounjour, Mr presidaa nayua Kiswahili inakusumbula sana, lakini nayua kuna batu yako ya karibu humu JF bataweza kukuelezea hii massage yangu kwako na utaelewa kila kitu ninachokwambia...
11 Reactions
15 Replies
491 Views
Nakuomba sana Marekani Afrika bado inakuhitaji sana, Sisi ni kama watoto bado hatuwezi wenyewe unajitoa unajipeleka wapi Marekani? Marekani baba kama kuna mahali tumekukosea tunaomba utusahamee...
2 Reactions
28 Replies
508 Views
Kwema wakuu!!!! Leo nina kisa kidogo hapa cha kupotezea potezea muda. Mida ya jioni leo nikasema nikatembelee mitaa flani kuwachek washkaji tubadilishane mawazo. Nipo zangu road kuelekea kwa...
2 Reactions
9 Replies
420 Views
My Take Hii mikutano iwe inapelekwa Arusha na Zanzibar ndiko hakuna uhaba wa Hoteli,hapo Dar kumejaa ma Bar na Hoteli za Kawaida ambazo Hazina hadhi ya Kimataifa. == Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
1 Reactions
11 Replies
680 Views
Kampuni ya Ulinzi (HOMASA SECURITY) inapata bahati ya kuingia mkataba na Bilionea ANDRON MENDES Mkataba huu unahusisha kumlinda Bilionea huyu nyumbani kwake na Pia kulinda kwenye ofisi ilipo...
70 Reactions
374 Replies
41K Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Elimu Kazi yake kûbwa ni kumkomboa Mtu ndiye Mwanamke na Mwanaume kifikra. Haiwezeniki Mtu kafika chuo Kikuu, amesoma degree au katika chuo cha Kati akasoma...
7 Reactions
47 Replies
1K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tamko la THBUB kulaani mauaji ya Bw. Jumanne Juma Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Bw. Jumanne...
0 Reactions
2 Replies
257 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…