Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wakuu, Kama utakuwa umefatilia speech za huyu mzee utakuwa umegundua kitu. -Anaongea kwa masihara lakini ujumbe unaokuwepo ni mzito na unaleta sense. 📌Sikia akiongelea mgogoro wa waarabu wa...
2 Reactions
19 Replies
612 Views
Ijumaa Novemba 22, 2024: Waziri Mkuu aunda Tume maalumu ya watu 21 - Kwa mujibu wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Tume maalum ya wajumbe 21 ambao wamebobea...
35 Reactions
883 Replies
81K Views
Kwa mujibu wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Tume maalum ya wajumbe 21 ambao wamebobea kwenye masuala ya ujenzi kuchunguza chanzo cha tukio la ajali ya jengo...
4 Reactions
71 Replies
4K Views
Wakazi wa Mtaa wa Ginery maeneo ya Singida Sekondari tunaomba tusaidiwe barabara. Hali ni mbaya sana hasa msimu huu wa mvua. Watoto wanaenda shule kwa tabu maji na matope ya kutosha. Wanakwenda...
1 Reactions
3 Replies
331 Views
Wakuu, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua Kamati ya Wataalamu ya Uchunguzi wa Jengo lililoporomoka katika eneo la Kariakoo ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Rais Samia ya kuchunguza chanzo...
2 Reactions
16 Replies
896 Views
Ukipata hela umepata vyote! Ukikosa hela umekosa vyote! Kosa vyote lakini kamwe usikose njia za kupata hela na kuimudu hiyo hela ikae na wewe! Akili kubwa kuliko zote ni jinsi ya kuipata hiyo hela...
11 Reactions
44 Replies
768 Views
Kwa mujibu wa ripoti za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Fedha, hadi kufikia Septemba 2024, zinaonesha Deni la Serikali lilifikia Tsh. Trilioni 98.5 ambapo kwa kipindi cha miaka 9 Deni...
1 Reactions
6 Replies
807 Views
Thamani yako ipo kwenye namna unavyojiwekea mipaka katika maisha yako kulinda nguvu zako, marifa yako na muda wako. Watu la asili yao hupenda kuwatumia wenzao Kwa maslahi yao, ukizubaa utatumika...
7 Reactions
3 Replies
229 Views
Katika miaka ya hivi karibuni, Ulinzi wa Taarifa Binafsi ni muhimu sana maana taarifa za mtu zinaweza kutumika vibaya muda wowote bila ya muhusika kujua. Leo nimewaza sana zile Hotel, Lodge, au...
4 Reactions
15 Replies
674 Views
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema uunganishaji wa umeme kwenye maeneo ya Vijiji ni shilingi 27,000/- na...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Anonymous
Barabara ya Mbezi Msumi kutoka Mbezi mpaka njiapanda ya mbopo na Msumi imeharibika sana, daraja toka lilipo bomoka mwaka 2023 January tukaambiwa litatengenezwa ujenzi wa barabara utakapoanza mwezi...
1 Reactions
0 Replies
131 Views
Ni matumaini yangu mpo salama kabisa. Wakuu hii tabia ya kuwa kwenye kusanyiko lolote au unakutana na watu tofahuti Kila mara halafu wananambia nimefanana na mtu eidha aliyewahi kumuona au...
3 Reactions
26 Replies
352 Views
Habari zenu wakuu. Nilikua na mpango wa kuanza biashara ya pocket option trading. Ila kabla ya kuanza ningependa kujua kama sheria za hapa Tanzania zinaruhusu
0 Reactions
2 Replies
223 Views
Kuna mchezo hupo kupitia jeshi la polisi hapa Tanzania na ukikutwa na makosa hua ndio mpinzani unaweza kupoteza uhai au kutengenezewa kesi kulingana na pesa utakayokutwa nao. Hii tabia imejivisha...
22 Reactions
50 Replies
2K Views
TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linathibitisha kutokea kwa vifo vya watu wawili kwa athari za maji yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Vifo hivyo vimetokea katika...
1 Reactions
2 Replies
238 Views
Mkuu wa Wilaya Nkasi, Peter Lijualikali amefanya maamuzi magumu kwa kuzuia Waalimu kulima mashamba ya shule kwa Matumizi Yao binafsi na kutaka mashamba hayo yatumike kulima mashamba ya shule Ili...
1 Reactions
1 Replies
205 Views
Nimefika Shule ya Msingi Sinza iliyopo Sinza, Dar es Salaam, kwa ajili ya kumuandikisha Mtoto wa Dada yangu ili kuanza masomo ya Darasa la Kwanza, lakini nasikitika kusema nilichokutana nacho ni...
1 Reactions
34 Replies
1K Views
CHADEMA mnafeli padogo sana katika harakati zenu za kisiasa mnadhani kwamba mkiikaba serikali ndio mtafanikiwa serikali Inanguvu sana hamuna uwezo wa kushindana nayo Hivi nyinyi ni wanasiasa gani...
5 Reactions
23 Replies
398 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…