Inajulikana Rais Trump katika kipindi kisichozidi siku 100 maamzi yake yameathiri watu wengi na Taasisi nyingi duniani kote,najua Tanzania siyo kisiwa lazima kuna watu wameathirika na maamzi ya...
Naomba msaada kwa Tanzania Benki gani inatoa huduma hii ya Recurring Depost?
Nimejaribu kutafuta maelezo kwenye mtandao sijapata.
Nahitaji sana hii huduma
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga, ameizindua rasmi namba mpya ya bure ya huduma kwa wateja wa TANESCO, 180. Uzinduzi huo umefanyika leo, Machi 12, 2025 ambapo Mhe. Kapinga alipata...
Kwa sasa naandika kwa kifupi sana, ila nitaleta andika kamili kesho au baadae.
Nitaanza na Francophone Africa. mnafahamu kwamba Ufaransa iliwasainisha makoloni yake yote mkataba unaoitwa...
Nliposikia serikali imetoa kiasi cha Tsh Bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati Uwanja wa Hayati Mkapa nlipigwa na Dafrao kwanza nikiamini hizo bilioni 30 zilikua na uwezo wa kujenga kiwanja standard...
Hii picha sio ya kuigiza. Ni picha halisi ilipigwa na camera ya simu ambayo haikuwa na spidi sana ndio maana unaona kuna sehemu za picha ziko out of focus, kuonyesha zilikuwa zina movement ya kasi...
Heri ya siku ya Uhuru Watanganyika wote.
Habari za saa wanachama wote natumai ni njema, moja kwa moja niende kwenye dhumuni la mada hii.
Mada hii inazungumzia Muafrika na akili , kama ambavyo...
Ni ajabu sana mpaka leo, wanasayansi hawajaweza kujua idadi kamili ya nywele za mtu. Wana-estimate tu.
Scientists and researchers estimate the average number of hairs based on hair type and...
UFAFANUZI KUHUSU TOZO YA WHARFAGE
JUMAPILI MACHI 10, 2024
DAR ES SALAAM
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandnari Tanzania (TPA) inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu tozo ya Wharfage kwa Wateja na Wadau wa...
Kesi inayomkabili mshtakiwa Derick Derick Junior, ambaye alionekana katika kipande cha picha jongefu (video) kilichosambazwa katika mitandao ya kijamii, akimshambulia mtu mwingine kwa mateke na...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Japhet Maganga, na wenzake 10 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kufanya fujo kwenye mkutano wa Baraza Kuu la chama hicho...
Asilimia 90 ya magari hasa mashangingi ya serikali yana namba mbili mbili?
Yaani ni hivi namba Moja utakuta inasoma vizuri tu STL/SU/W/NW/DFPA n.k lakini ukitazama kuna namba nyingine FEKI huwa...
Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi.
Tukio la kutisha lilitokea jana usiku (26.10.2024) katika klabu maarufu inayojulikana kama 1245 Lounge, Bar and Restaurant...
MH JAJI Mkuu
Shikamoo Baba Yangu habari za uzima naamini Mungu ametuamsha salama kusaidia wananchi wako
Baba yetu mzee wetu leoo nimeona nikujuze tu kwa yanayaoendelea mahakama za mwanzo
MH JAJI...
Wakuu hii ni kwa mujibu wa nguli wa mambo ya imani mzee wa upako.
Anasema huyo mama yetu aliumbwa sambamba na Adamu
Jina lake aliitwa Lilith
Baadaye alizinguana na Adamu akasepa zake kwenda...
KITABU CHA ENOCH KINAWATAJA MALAIKA 200 WALIOASI AMBAO NDÎO WALIIBA WALIIBA SIRI NA TEKNOLOJIA ZA MBINGUNI KISHA WAKAMFUNDISHA BINADAMU
Anaandika Robert Heriel
Mtibeli
Kwa Wakristo na waumini wa...