Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Katika vitu ambavyo Kila nikifikiria nakosa majibu ni gharama ya kuchimba kisima na Ile mitambo yao kiujumla, Sote tunajua kuwa katika mitambo inayouzwa bei ghali ni mitambo ya kutengeneza...
54 Reactions
260 Replies
29K Views
Hongera kwake kwa kuzindua Jizzo Sound. Sawa. Ila swala la bei ni jambo jingine. Kuna Michina mingi kwenye hii price range na ina muziki mnnene, itaweza kucompete? Bei inayofuatia Laki 4.8...
13 Reactions
93 Replies
3K Views
Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja. Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na...
63 Reactions
299 Replies
12K Views
Wakuu baada ya life kuninyoosha nimekumbuka nina 600k NSSF,2019/2020 nilifanya kazi kampuni moja kama security officer baada ya Covid sikuongezewa mkataba. Kwasasa sina mawasiliano na mwajiri na...
2 Reactions
4 Replies
87 Views
Habari JF, Baaada ya maisha ya chuo kuwa magumu hapa Dar es Salaam, sasa nimeamua kupostpone masomo mpaka second semester Next Year, pia nimepostpone pesa HESLB mpaka Next Year. Ajira hakuna, so...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Mabinti wa wa tz bwana ikifika hiki kipindi wote wanavaa majuba wanajifungia ndani wanakwambia tumefunga tutakutana eid au pasaka sasa nikajiuliza mienzi mingine ndio ya kuzini ila huu ndio...
9 Reactions
21 Replies
220 Views
Sisi wakazi wa Igunga ambao tumekuwa tukifanya shughuli zetu kutoka Wilayani hapa kueleke Mbeya tumekuwa tukikutana na changamoto kubwa ua ubovu wa Barabara. Kwanza kabisa kabla sijaingia katika...
4 Reactions
14 Replies
489 Views
  • Redirect
1 Reactions
Replies
Views
1. Ushahidi wa Kibiblia Yohana 1:1 – "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu." Tito 2:13 – "Tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa...
27 Reactions
376 Replies
4K Views
Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMENT) pamoja na Kituo cha Sheria na haki za binadamu LHRC wameendelea kuisisitiza Serikali kuhusiana na kufutwa kwa adhabu ya viboko shuleni badala yake kubuniwe kwa...
1 Reactions
6 Replies
136 Views
Hivi serikari yetu inatuchukukiaje wananchi, hivi ni kweli kabisa tumeshindwa kuzalisha umeme wetu wenyewe, Tusichukulie mazoea kwamba sio mala ya kwanza kununua mbona tunanunua zambia umeme wa...
3 Reactions
9 Replies
263 Views
========================== Tangu Maharage pale TANESCO alipotoa tamko lisilo na mantiki na linalo-defy all logical reasoning, kwamba eti hata baada ya Megawatt 2100 kuanza kuzalishwa kwenye bwawa...
53 Reactions
224 Replies
13K Views
  • Redirect
1 Reactions
Replies
Views
Kwa mujibu wa taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa 2022 kutoka NBS, Mkoa wa Pwani ndio unaongoza kwa kuwa na viwanda vingi Tanzania. Lakini licha kuwa na viwanda vingi, Pwani ni kati ya Mikoa 10...
4 Reactions
88 Replies
8K Views
Kuna wageni wanalalamika kuwa zaidi ya wiki sasa kila wakijaribu kuomba e-visa wanakuta website ipo down; wahusika tunaomba mcheki tafadhali Mwingine kaandika hivi "May I please ask for your...
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Yani mnapangiwa bei utafikiri anakuja yuko sealed wakati anakuja huku amekuwa fabricated siku nzima na anakutungia hisia kuwa umemuweza alafu baada ya wazungu kushangilia, unavaa zako suruali huku...
5 Reactions
11 Replies
181 Views
Sitashangaa sana popote napomuona Said Mtanda akivunja utaratibu wa wazi! Huyu jamaa alishawahi kuja ofisini kwetu kutaka huduma kama mteja! Kwanza kabisa alikataa kupaki gari yake sehemu ya...
19 Reactions
49 Replies
2K Views
  • Redirect
7 Reactions
Replies
Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…