Kuna suala linawaumiza kichwa sana madereva walio wengi wanaondesha vyombo vya moto vyenye uzito kuanzia tani 3.5 au zaidi,
Labda nianze kwa kusema mizani mingi sana Tanzania iliwekwa sensa na...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameiagiza Idara ya Uhamiaji kuboresha ushirikiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa kuondoa urasimu wa kuwazungusha Wananchi...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Nimeona taarifa zikienea mitandaoni juu ya raia wapya wale wanne walioomba na kukubaliwa na hawa tisa wanaoomba,
Kwa wasomi wetu naombeni ufafanuzi juu ya hili...
Habari ndugu kaka zangu na dada zangu wa Jf kwema habari za mida hii, poleni na majukumu ya kujenga TAIFA
Natumaini ni wazima kwa afya na mwenye changamoto MWENYEZI MUNGU ASAIDIE! ndugu zangu...
Habari zenu jamani! Mimi kuna rafiki yangu kanipigia leo akilia sana kwa sababu katapeliwa na hii account inaitwa @unlimited_bundlez instagram. Namba yake ya simu ni 0698128458. Mkiiona hio...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa, akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari Wakili...
Wakuu,
Akizungumza hivi karibuni, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa yuko mbioni kuhakikisha kuwa biashara zinafanyika Dar Es Salaam masaa 24.
Chalamila amesema kuwa...
Kiufupi anasema UDSM ni kama Sekondari ya Kata, hakina hadhi ya Chuo Kikuu tena maana kimehama kutoka kwenye tafiti na mijadala na kuwa extended school 😂😂
Naunga mkono hoja ya ulimwengu.
Hizi dawa zilikuwa vizuri miaka minne iliyopita ila hali ya sasa kwa kweli ni UTAPELI wa wazi.
1. Haiui MBU kwa kiwango kinachopaswa yaani katika Mbu 50 watakufa watatu (3).
Yaani mpk mbu afe ni...
Wasalaam,
Moja kati ya changamoto ambayo imekuwa ikinisumbua sana ni changamoto ya mbu nyumbani kwangu, ingawa kwa sehemu kubwa hili ni tatizo la maeneo mengi ya hapa Dar.
Nimekuwa nikijaribu...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemkabidhi tuzo na zawadi ya Tsh. milioni 5, Mkazi wa Tegeta Jijini Dar es salaaam, John Malole ambaye aliwaokoa Watumishi wa TRA walioshambuliwa Tegeta...
Ifike mahali sasa serikali ifanye uamuzi wa busara.
1. Ipunguze umri wa mwanamke kuruhusiwa kuingia katika ndoa kutoka miaka 18 hadi ( 14 & 15) kwa watu wa dini zote sio waislamu pekee maana...
Wewe ambaye umeajiriwa au unajitolea au unafanya kazi yoyote na unajitafutia na wewe riziki
Naomba ushauri hivi unafanyaje kushinda uonevu au chuki eneo la kazi?
Pindi Fulani mtu anakuchukia au...
Zamani ilikuwa ni kawaida Kwa sisi watu wa wa mkoa wa Kagera kuishi na Wanyarwanda na wamesoma hapa Tanzania na Sasa wana kazi kubwa serikalini na likizo Huwa wanaenda kwao Rwanda kusherehekea na...
Ilikuwa majira ya saa Tatu asubuhi ndani ya NMB KAHAMA BUSINESS CENTER. Nilienda kudepost pesa zangu za mazao ghafra nikaona dogo mwenye umri usiozidi miaka 21 anaingia nabegi la roller anasukuma...
Miaka 2 nyuma niliandika sana mitandaoni kuwa serikali impe uraia Mayele . Mayele ni hazina.
Kuna wachezaji majuzi wamepewa uraia kuna watu wanakwazika. Hii ni roho ya kichawi. Tanzania ina mapori...
Musa Solela Ngasa (40), mkazi wa Kijiji cha Nhobola, Kata ya Talaga, Wilaya ya Kishapu, Mkoani Shinyanga, amenusurika kifo baada ya kupigwa ubavuni na kitu chenye ncha kali kinachodhaniwa kuwa...