Hivi jamani ndugu zetu tatizo la umeme na sehemu nyingine mnazoishi ni hivi hivi kama huku tulipo sisi maana huku Wilaya ya Liwale Mkoa wa Lindi siku umeme ukiwaka kutwa nzima kuanzia asubuhi hadi...
Mimi ni mkazi wa Mbagala, Mbande, na kwa kweli hali ya umeme katika maeneo haya ni ya kutisha. Maeneo yote yanayozunguka Chamanzi, Mbande, na Kisewe yanakumbwa na matatizo makubwa yanayohusiana na...
Kuna shule ipo Morogoro mjini inaitwa shule ya msingi Bungo Mlimani.
Hii shule ni kipengele sana yaani mtoto wa darasa la pili anatoka nyumbani saa kumi na mbili asubuhi anarudi nyumbani saa kumi...
Mbeya city council viongozi wamekosa uwajibikaji kabisa baada ya kuwasilisha kero ya ubovu wa miundombinu ya barabara ndani ya stand ya nane nane , kumekuwa na vifusi vilivyo mwagwa ndani ya stand...
Hivi karibuni tatizo la kukatika kwa umeme mkoa wa Mtwara limekuwa kubwa na kero kwa wananchi.
Mkoa wenye gas asilia na makaa ya mawe lakini tatizo la umeme limekithiri. Najiuliza wakazi wa...
Imekuwa ni kama fashini sasa
Mtoto mdogo kabisa mwenye miaka 9 au 12 anakuletea barua kutoka shuleni inasomeka mtoto aanze kwenda boarding kwasababu masomo yanaanza saa kumi na mbili asubuhi...
Ndugu zangu, kuanzia Mbezi mwisho kwenda Goba na mitaa yake (Kwa Robert, Muhimbili, Mageti n.k) maji ni changamoto karibia wiki ya pili sasa.
Na hili joto tunaishia kuoga jasho tu, mamlaka husika...
Hii tabia yenu ya kufunga barabara kuingia coco beach mpaka tanzanite Bridge mnatuletea wengine kero.
Bora mtafute maeneo mengine mkafanyie mazoezi yenu, mazoezi yenu wengine mnatuletea kero tu...
Wakuu,
Leo nimetoka Mwanza kwenda Nairobi kwa ndege ya Air Tanzania. Ndege hizi zinakera sana.
Kwanza kutoka Mwanza ilichelewa kwa nusu saa. Tukavumilia
Kasheshe imetokea tena usiku huu hapa...
Air Tanzania mlichonifanyia mmebadilisha safari yangu ya ndege ya saa kumi jion hadi saa tano usiku. Cha kushangaza hamjibu email wala namba yenu ya simu ambayo ni 0748773900.
Simu inaitaa mpaka...
UGUMU WA MAWASILIANO YA BARABARA NA MADARAJA NDANI KATA YA KIBATA WILAYA YA KILWA NI WA KUTISHA.
Kibata ni miongoni mwa kata 23 ndani ya Wilaya ya Kilwa. Kata hii Ina vijiji vinne. Kata hii Ina...
Siyo kwamba Traffic haziona la hasha wanaziona na wanaingia Hadi ndani mwezi wa kwanza mwishoni nimepanda gari ya kwenda Geita ikitoka kakola hiki ndo nilicho jionea!
Kwanza unapotola tu stend ya...
Hali ya barabara hii, kwa kweli ni aibu.
Miaka nenda miaka rudi hakuna anayeliona hili. Tuna viwanda vikubwa katika barabara hii ya Kilwa kuanzia Mbagala kokoto barabara haifaii aibu, kila...
Ndani ya Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) kuna majengo yanayotumiwa na baadhi ya wizara. Majengo haya ni hosteli za Chuo kutaja Wizara chache zilizopo mpaka sasa ni Kilimo, Viwanda, Maendeleo ya Jamii...
Wakuu,
Nadhani tutakubaliana pande zote kuwa maji sasa hivi ni changamoto. DAWASA walishauri watu wafunge pump, maji hata yasipokuwa na presha sana inaweza kusaidia!
Arooo, sasa hivi kwanza maji...
Licha ya sisi Wananchi kulalamika kila mara lakini ni kama Mamlaka zinazohusika zimeziba masikio, kwa kuwa haitusikii, wanatatuaje kilio chetu.
Kwenye kata yetu ya Kijombe, Wilaya ya Wanging'ombe...
Wiki ya pili sasa kuna foleni kubwa sana, MWAUWASA mabomba yamepasuka na baadhi ya mitaa maji hakuna. Daraja halina njia ya watembea kwa miguu.
Njia za michepuko za Mabatini ni mbovu na zina...
Sura ya mji wowote hujionesha kwenye maeneo makuu ya kibiashara (business center), soko kuu na stendi kuu ya mabasi...
Kwa wakazi wa Tabora na wasafiri kama mimI mnaofika ktk mji huu wa Tabora...
Stendi ya Mabasi na Daladala ya Nanenane iliyopo Mbeya imekuwa na barabara zenye ubora mdogo kutokana na uwepo wa mashimo mengi ambayo yamekuwa yakisababisha usumbufu kwa Watumiaji iwe wa Vyombo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.