Juzi kati hapo baadhi ya walimu wanaojitambua halmashauri ya Muleba mkoani Kagera walimwendea mkurugenzi kudai haki yao kuhama CWT kwenda CHAKUHAWATA kwenye makato nafuu (elfu 5 tu haijalishi...
Baada ya Treni ya SGR kukwama awali asubuhi ya leo, Desemba 4, 2024, mimi ni mmoja kati ya abiria ambao walikuwemo kwenye treni hiyo, nikaona JamiiForums imeripoti kuhusu tukio hilo.
Mpaka muda...
Habari wakuu jamani naomba kutoa kero yangu kwa barabara ya bagamoyo. Kwa hapa maeneo ya bunju B panatokea ajali za mara kwa mara kwa maana kuna mkusanyiko mkubwa wa watu na hakuna taa wala arama...
Wananchi wa mtaa wa Nyeburu uliopo kata ya Buyuni ILALA, Dar es salaam wameilalamikia mamlaka ya maji safi na mazingira DAWASA Kisarawe kwa kushindwa kufikisha huduma ya maji kwa zaidi ya miaka...
Haya habari mwana JF.
Najua kuna stendi nyingi za mabasi nchini Tanzania na nyingi mno zina changamoto zake. Changamoto nyingi NI hawa vijana wapokea abiria kwa ajili ya kwenda kuwaonesha ofisi...
Jamii, hii Barabara inayotoka Tengeru sokoni kuelekea Chuo cha maendeleo ya jamii na Chuo cha mifugo (LITA) Tengeru NI mbaya Sana, viongozi hebu tupieni jicho hii barabara inatesa Sana Kwa kweli.
Ubungo kuna shida ya maji sio poa
Usijichanganye ukapanga Ubungo kibangu, kajima,makoka, Rivaside juu au Msewe, maeneo mengi ya Mbezi
Mfano Ubungo kibangu huwa ni kawaida ya watu kukaa miezi...
Suala la matuta barabara ya Cheka - fery eneo la shule ya Meka na Dege centre. Pale shule ya Meka ndio kuna zebra kwa ajili ya shule ile yenye wanafunzi wengi tu wanaotoka mpaka Pemba, Mnazi na...
Leo nimebahatika kupita katika Kivuko cha Kigongo - Busisi Mkoani Mwanza, nikiwa abiria nimekuta hali ni mbaya, ni kero Kwa kila mtu.
Foleni ya magari ni kubwa sana, foleni ya abiria ni kubwa...
Tanesco tunaomba mtupe taarifa rasmi wakazi wa Kigamboni kuna shida gani mnakata umeme kila siku bila ratiba yoyote ili kufanya na sisi wananchi tujipange kuwa kuna mgao maana mnakata umeme saa 3...
WASALAAM,
Napenda kumpongeza meneja wa NHC urafiki kilipokuwa kiwanda cha nguo zamani cha kanga.
anafanya kazi nzuri sana ya kurekebisha miundo mbinu na kukarabati majengo ya flats za urafiki...
Mwanza kata za Isamilo na Kiloleli hazina maji kwa zaidi ya wiki mbili sababu ukarabati miundo mbinu, maji tunapa ziwani . Hatujui yata rudi lini je huo ni utaratibu wa ukarabati maana imezoeleka...
Nawakumbusha tu wenye kipaji cha kusifia hali ya upatikanaji ya maji inazidi kuwa mbaya, kwani maji yamegeuka kuwa anasa vilory vya maji vimerudi kwa Kasi kubwa na maji hutoka mara Moja kwa wiki...
Hivi hii Kampuni ya TTCL sasa hivi inashida gani? Ni mwezi sasa unaisha huduma za kutuma pesa kwa mitandao mengine haipo. Ukiwapigia simu kitengo cha huduma kwa wateja kupita 100 wanasema...
Toka nimehamia hapa nimeshaenda butcher zote ila kila sehemu mizani yao imechezeshwa.
Kila sehemu nilikuwa nikienda nikiona nyama pungufu nilikuwa naondoka.
Ila leo nimeenda buchani mwenye bucha...
Zoezi la uandikishaji Wananchi kwa ajili ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) limefanyika katika Kata ya Goweko huku kukiwa na mwitikio mkubwa unaoonekana kuzidi idadi ya Watendaji na vifaa...
Imekuwa ni kawaida na mazoea makubwa sana sasa kwa madereva bajaji mkoa wa Mbeya kupakia abiria wawili mbele na wengine wakiwa wamening'inia na dereva kuendesha bajaji huku akiwa amechuchumaa tena...
Jiji la mwanza na wilaya ya ilemela hasa maeneo ya kuanzia mabatini mpaka nyakato hatuna hduma ya maji toka jana siku ya Alhamis tarehe 27/2/2925 mpaka leo Ijumaa ya tarehe 28/2/2025.
Maji...
Habari ya asubuhi wanabodi kijana wangu anahangaika kuomba ajira katika jeshi la zimamoto na uokoaji ila cha ajabu portal yao inasumbua inakataa taarifa inaandika processing tu kwa aliefanukiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.