Barabara ya Tabata Chang’ombe ni barabara kongwe sana kiukweli inatia aibu sana zaidi ya miaka 30+ haina lami kabisa na wala mbunge wala viongozi hawaangaiki ikikaribia uchaguzi hapo wanafika...
Hii hali ipo kwenye Eneo la Zahanati ya Kijiji Cha Mjughuda, kata ya Ikhanoda wilaya Singida vijijini mkoani Singida. Ambapo wahudumu wa Zahanati hiyo wanatoza hela na kuwalipisha wananchi hela...
Maji huku Mwanza imekuwa ni kero kubwa sana, wanachuo tunaishi kwa tabu sana tunapata shida kubwa ya maji ilihal tuko karibu na ziwa Victoria
Sijui mnatusaidiaje kuepukana na hili. Tunalipia bili...
Leo hii naandika haya ni tarehe 20 takriban siku saba sasa kila unapowasiliana nao wanakuambia suala lako tunalishughulkia, ndani ya saa 24 usipowatafuta tena ndo inakuwa imeisha hiyo. Ukiwatafuta...
Sijui ni viongozi wa MWAUWASA wanataka kumgombanisha mama na wananchi kwa makusudi au ni vipi.Yaani maji yanaweza kukosa mwezi mzima na viongozi wapo tu ofsini.
Wizara ya Maji chini ya AWESO em...
BUHONGWA KAMA JANGWANI
Wakazi wa Buhongwa jijini Mwanza hatuna maji ya uhakika. Kutoka vyanzo visivyo rasmi inasadikika wafanyakazi wa idara ya maji wana miradi yao ya kuuza maji ambapo hukata...
Nina fanya kazi kazi katika Mgodi wa Magesa Gold mine uliopo Nyamatagata wilaya ya Geita mkoani Geita.
Changamoto iliyopo ni kwamba; tuna zaidi ya miezi mitatu (3) hatujapata mishahara, mgodi...
Habari wanajukwaa wenzangu na Mamlaka zote zinazohusika.
Kumekuwa na sintofahamu sasa ya muda mrefu kuhusu nini hatima ya Wakazi wa Nachingwea katika upatikanaji wa Maji na Salama.
Tunaomba...
Rejea mada tajwa hapo juu.
Shule ya sekondari Mawindi ambayo Inafanya Vizuri katika matokeo ya Kidato cha nne kwa Miaka mitatu mfululizo wameweza kufuta Division Zero.
Lakini pamoja na Uwepo wa...
Huenda ni mimi nilifanya makosa kwa kutopitia terms & conditions vizuri ila hawa jamaa walicho nifanyia ni uzalilishaji mkubwa sana.
Kuna app moja mtandaoni (play store) inaitwa "PESA M FINANCE"...
Kwa kipindi cha hivi karibuni kwenye maeneo mbalimbali nchini hususani ndani ya Jiji la Dar es salaam kumekuwepo na wimbi kubwa la kuenea kwa taka za chupa za plastiki za rangi hasa zinazotokana...
Kumekuwa na Kero ya kusuasua kwa mfumo wa PEPMIS kwa kitambo Sasa. Mara mtandao umefungwa, mara uliweka taarifa huzioni. Na mbaya zaidi hata huduma zile za kuunganishwa na Taasisi za fedha ni...
Sasa ni mwezi wa 7 hatujawahi kupata maji ya Dawasa. Mateso tunayopata ni makubwa mno! Majirani zetu wote wanapata maji ila sisi hatuyapati hayo maji kabisa. Tangu kipindi hicho tunanunua maji tu...
Ubungo Kibangu mtaa wa Kajima kuna shida sugu ya maji, na Mbunge ni Profesa Kitila Mkumbo lakini hamna kitu ametusaidia
Suluhisho la maji alileta mradi wa matenkI yaani matenki yanajazwa maji...
Zimekuwepo jitihada za Serikali na wadau wa Sekta ya Afya kusambaza Magari ya kubebea Wagonjwa (Ambulance) na sasa ukienda hospitali nyingi unakuta magari hayo, lakini kwa hapa Shinyanga licha ya...
Kwenye app ya simbanking kuna sehemu ya Taarifa ya akaunti, ukichagua taarifa fupi ya miamala 10 iiyopita, utaandikwa jumla ya makato ni shilingi 0.00
Ajabu ukithibitisha kuangalia miamala...
Hapo awali nlileta kero kuhusu kukosekana kwa huduma za kimtandao katika kata za Kikio na Misughaa ,mkoani Singida.
Kuhusu kero za mnara wa shirika la TTCL,mnara unatumia mitambo ya umeme wa jua...
Mimi ni mfanyabiashara wa dawa za binadamu (pharmacy) katika Wilaya ya Bagamoyo. Ningependa kuwasilisha changamoto kubwa inayowakumba wagonjwa wanaotibiwa katika hospitali ya wilaya hiyo...
Wakuu,
Wizara ya Maji nawasalimu.
Bunju A maeneo ya Dogodogo Center hamna maji hii ni wiki ya 2 sasa, yalitoka siku moja tu ndio ikawa kimoja hadi leo. Mbona mnataka kutufanya ngamia wenzenu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.