Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Anonymous
Nipo Mpanda mjini, Kata ya Shanwe, mtaa wa Kilimahewa. Kuna eneo kama kaya 40 au 50 zilirukwa na Umeme muda mrefu, na hili suala ni muda wananchi wamejaribu kulifuatilia, hadi engineer...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Naomba Serikali iangalie kuna changamoto katika kivuko cha Busisi - Kigongo ambapo kuna vivuko vitatu yaani MV Mwanza, MV Misungwi na MV Sengerema lakini kwa sasa kivuko kinachofanya kazi ni...
1 Reactions
5 Replies
600 Views
Malimbe asilimia kubwa ya wakazi ni wanafunzi wa chuo cha SAUT kwa asilimia 75 haichukui zaidi ya KM 10 kwa mkazi yeyote wa malimbe kufikia ziwa victoria lakini changamoto ya maji ni kubwa sana...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Anonymous
NMB Njombe madiridha yako mawili tu ya kuchukulia pesa na ndiyo yanahudumia mji mzima wa Njombe, yaani unafika saa tatu asubuhi ujue kuondoka saa sita hiyo ndo upate huduma. Unaweza Kuta katika...
0 Reactions
0 Replies
41 Views
Habari wana JamiiForums, napenda kuiomba Serikali kufuatilia kero na kelele inayosumbua sana maeneo ya (kwa Vice, Mnadani). Kumekuwa na makanisa mengi maeneo hayo, lakini kuna kanisa ambalo lipo...
5 Reactions
17 Replies
392 Views
Aisee nilipata dharula nikakopa kwenye moja ya hizi app siku ya marejesho, sikuwa na kiasi husika. Walichokifanya wamegawa namba zangu kwa watu hata siwafahamu kwa siku, napigiwa simu hata Mia na...
10 Reactions
30 Replies
992 Views
Mfumo wa OLAMS ukiweka verification number kutoka RITA inagoma kabisa. Shida ni ipi!!?
0 Reactions
1 Replies
93 Views
Anonymous
Mamlaka ziangalie usafiri wa mabasi ya Jiji la Arusha kwenda Mbeya kwani mabasi yale ni machakavu hayafai kusafirisha abiria sehemu yoyote ndani ya nchi hii ukizingatia yanatoka Arusha Jiji kwenda...
0 Reactions
0 Replies
45 Views
Anonymous
Wahitimu wa Chuo Kikuu cha St. John's, Dodoma, mwaka 2023 bado hatujarejeshewa ada tuliyolipa, ingawa HESLB ilikuwa imelipa ada hiyo kwa chuo. Pamoja na tangazo la chuo la 06/09/2023 kuwa fedha...
0 Reactions
0 Replies
37 Views
Moja kwa moja kwenye mada! Kuna muda mpaka unajiuliza hivi huu mkoa kweli una viongozi au ni vile wako bize na timu yao ya Pamba Jiji. Barabara ya Kona ya Bwiru kuelekea Kitangiri na inayounga...
0 Reactions
1 Replies
297 Views
Anonymous
Sisi Wakazi wa Kata ya Buhembe katika Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera tunaomba Mamlaka ya Maji Bukoba (BUWASA) kushughulikia suala la ukosefu wa maji kwenye Kata ya Buhembe. Serikali imewekeza...
0 Reactions
1 Replies
342 Views
Anonymous
Mwenyekiti wa Mtaa wa Kambarage, Kata ya Igogo, Wilaya ya Nyamagana amekuwa akiwafungia na kuwaamuru Wafanyabiashara kufunga biashara zao akitumia nguvu bila sababu za msingi. Amekuwa akitumia...
0 Reactions
3 Replies
140 Views
Mimi ni kijana Mjasiriamali,miongoni mwa vijana wanaostahili kupata mikopo hii kwani Ninakidhi vigezo vyote. Lengo la kutoa mikopo hii lilikuwa ni kutuwezesha sisi wajasiriamali kuinuka kiuchumi...
6 Reactions
15 Replies
457 Views
Mitaa ya Mbeya kuna “njemba” zimepewa tenda za kukusanya taka kwenye kila kata lakini zinaweza kupita siku tatu hadi nne gari ya taka haijapita kubeba taka sasa sijui pesa za taka wanakusanya kwa...
1 Reactions
23 Replies
854 Views
Anonymous
Posho ya madaraka kwa waganga wafawidhi. Kwa muda mrefu sasa, waganga wafawidhi wa zahanati na vituo vya afya nchini wamekuwa wakitekeleza majukumu mengi mazito ya kiuongozi bila kutambuliwa...
3 Reactions
12 Replies
382 Views
Weledi wa kazi umepunguwa, watu wamegeuka miungu watu , yaan fulu tafurani. Kuna Mahali nilikuwepo kama wiki tatu, watumishi wanaingia kazin kuanzia mishale ya saa tatu mpaka nne Asubuhi . Saa...
9 Reactions
39 Replies
915 Views
Anonymous
Maji yanatoka usiku wa manane na yanachuruzika kidogo sana inachukua takriban dakika 10 kujaza ndoo kubwa. Tunashindwa kutambua tatizo ni line za maji au ni sisi. Pia bill ya maji inakuja kubwa...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Hakuna maji Ubungo riverside maeneo yote kuanzia daraja la Kijazi mkono wa kushoto .. no mambo ya AIBU sana Hakuna taarifa yoyote watu tunaishi kama tuko dunia ya miaka ya 40tatizo ninini.. Bili...
2 Reactions
11 Replies
351 Views
Hii hospitali kama serikali na uongozi hautachukua hatua za haraka watanzania wengi wataendelea kufa kwa uzembe wa madaktari wanafunzi ambao hawasimamiwi ipasavyo na wakuu wao kazi. Nimeshuhudia...
24 Reactions
71 Replies
13K Views
Jamani hivi suala la kujengea wanafunzi vyoo ni jukumu la nani? maana Kuna shule moja wilaya ya Missenyi mkoani Kagerainaitwa Mugana A kwakweli hali ya vyoo sio salama kwa watoto wale kwani...
2 Reactions
1 Replies
155 Views
Back
Top Bottom