CHADEMA tumefanikiwa kuvuka mtihani mgumu wa uchaguzi mkuu na kufanya mabadiliko ya safu za uongozi kwa mafanikio makubwa huku kikibaki kuwa chama chenye umoja na mfano wa kuigwa wa demokrasia...
Hi!
Binadamu mwenye akili timamu au mwenye standard IQ anapaswa awe na aibu na utu.
Nilomsaidia brother mmoja kumnunulia simu baada ya kuona simu yake ina matatizo. Sasa anataka nimsaidie kununua...
Jaman marafiki zangu, nilikutana na habari sijui ni za kweli au uongo kwamba Rais amezungumzia CM trading kwa kuinvest laki 7 sawa na dollar 300.
Nikaingia kwenye website nikajaribu kufanya...
Salaam wakuu.
Hii inakuaje!?
Pale unapounganishwa na huduma ya matangazo mtandaoni yenye malipo na ambayo hujaiomba,unakuta tu ujumbe umeingizwa kwenye Cm yako kwamba "umeunganishwa bure na...
Imekuwa kawaida katika dunia ya leo kwa wasichana kuufaidi usichana bila kuangalia future yao. Wengi wamepoteza future zao kwa kujiona ni warembo sana na kujiona tayari wao ni watu maarufu...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka watanzania kuziwasilisha noti za zamani za shilingi ya Tanzania katika ofisi za BoT pamoja na benki zote za biashara na kupatiwa malipo yenye thamani ya kiasi...
Tangazo ni hili
--
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUONDOA KWENYE MZUNGUKO NOTI ZA ZAMANI ZA SHILINGI YA TANZANΝΙΑ
Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuhusu zoezi la kuondoa kwenye mzunguko...
Tangu kuanza wiki hii TANESCO wamekuwa wakikata umeme bila taarifa kabisa kwa wananchi wa maeneo husika Boko magengeni, Bulemawe, Chama,Calfonia, Ndogondogo center na Mtambani.
Mfano jumatatu...
Wakuu, especially waajiriwa wa serikali.
Hivi Na nyie ofisini kwenu pakavu kama kwetu au ofisi yetu ndio imekua mfano? Maana kusema kweli 2023 na 2024 hii miaka imekua migumu sana.
Posho...
Siku ambayo hawa maafisa wanavyishwa hivi vyeo walisema ni vyeo vya kijeshi.
Je, Mkuu wa Jeshi la TANAPA ni nani ?
Je, vyeo vyao vinafanana na JW au vina utofauti?
🚔
Wakuu wa wakuu wa wakuu nimekuja huku nikitweta na kuhisi kuishiwa pumzi dakika za mwanzoni tu.
Hivi ni mimi tu ambae 2025 ni kama ishaanza kunipelekea moto kwa spidi ya ngiri mkia juu in kasongo...
Kuna kamsemo huwa kanasikika sana mitaani hasa pale katika uchaguzi mkuu ambapo unakuta Mgombea mwanamke anapata kura asilimia 0.2 ilihali wapiga kura zaidi ya 50% ni wanawake..
“Wanawake...
Naomba Kuulizia Kwa Hapa Bongo ni Kweli Kuna Watu Wanauza Nafasi zao Ili Kupata UTAJIRI na Je Wanamwuzia Nani Au Wote Wameishia Kutapeliwa na Wajanja wa Mjini??
Wanandugu wa bodini...
Nawasalimu kwa salamu yangu binafsi, uposondi...?? Mwaweza itikia... ndinandii..
Nimepata tashtwiti ya kuwashauri Chadema, hasa huu uongozi mpya...
Katika njia ya...
Habari zenu mabibi na mabwana?
Nichukue nafasi hii kukipongeza chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kwa kuhitimisha tukio adhimu sana katika kutekeleza ilani ya chama chao kwa kufanya...
Amini usiamini 2025 Dkt.Emmanuel Nchimbi ataipeperusha bendera ya CCM uchaguzi wa uraisi 2025.
Najua wengi hawajaelewa ila kwa sisi wataalamu wa masuala ya siasa za kikanda na kimataifa tunajua...
Kwa wale wenye interest na mambo ya anga za mbali, huko angani kwa sasa kuna kitu kinaitwa planetary alignment na siku chache zijazo kutakuwa na eclipse kadhaa.
Hii inaweza kuwa nzuri kwa walimu...
Kiukweli nimeumizwa na ushindi wa TUNDU LISSU hapa mjini Dar eSalaam tutaishi vp?je pombe na nyama tutapata wapi? Je pesa za kutanua kitambaa cheusi tutapata wapi? Madili yangu yalikuwa...