Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Jambo la kuzingatia: Nitatumia DAKTARI kumaanisha wahusika wote wa sehemu za huduma za afya. Pia Nitatumia HOSPITALI kumaanisha sehemu zote zinazotoa huduma za afya Ujue tumezoea kwenye majeshi...
0 Reactions
4 Replies
201 Views
Ndugu zangu wanaJF, huu ni mwaka wa sita sasa mtanzania mimi nahangaika kupata huduma hii muhimu lakini mpaka sasa nahisi kukata tamaa kwa maana kila nikiuliza naambiwa bado mfumo mpya...
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Anonymous
,🥲🥲 Mimi ninaishi kata ya Saranga, kwa Mpapula jijini Dar es Salaam. Jamani huku tunahangaika maji hakuna, hatujaona maji mwaka umeisha sasa, mabomba hayatoi maji tunaishi kwa taabu sana , Kuna...
1 Reactions
3 Replies
248 Views
Sifahamu, ni tatizo la kiufundi, mifumo mbovu au mazingira ya rushwa? Ukitaka kufanya malipo kwenye taasisi hizi za umma kama Tanesco, Duwasa kwa Dodoma na nyingine kama hizo, ili upatiwe huduma...
0 Reactions
2 Replies
180 Views
Anonymous
Mapato yanayopatikana kwenye malipo ya maji si yangeboresha upatikanaji wa maji, na kama inawezekana wafanye utafiti wa kuchimba visima vikuu vya kila wilaya kuliko kusubiri maji ya mto Ruvu maana...
0 Reactions
1 Replies
134 Views
Anonymous
Kelele za matangazo zimekuwa kero na zinaongezeka siku hadi siku katika maeneo ya makazi. Ubaya wa matangazo haya hayajari muda wa kupita. Asubuhi na mapema kuanzia saa kumi na moja na nusu...
1 Reactions
1 Replies
138 Views
Anonymous
Habari muda huu, natumaini nyote ni wazima wa afya, mimi ni mmoja kati ya maopareta vibarua katika bandari ya DSM ambapo kwa sasa ipo chini ya Dp World. Kiuhalisia tunapitia mazingira magumu ya...
0 Reactions
1 Replies
157 Views
Anonymous
Kwa kipindi hiki cha miezi miwili iliyopita usafiri wa meli umekuwa mgumu sana, mpaka sasa meli hiyo haifanyi kazi imesimama pale Nyamisati na raia tunapata sana shida ya usafiri mpaka...
0 Reactions
4 Replies
177 Views
Anonymous
Naomba Serikali isiendelee kufumba macho na kushindwa kutatua tatizo hili ambalo linaweza kupelekea vifo huko mbele. Mtaa wa La Leo kuna barabara ambayo Ina sehemu ya kuvuka kwenda Tandika...
0 Reactions
1 Replies
150 Views
Anonymous
UTARATIBU MBOVU WA UREJESHAJI ADA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM: Nilifanya application ya kusoma evening program chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) college ya Journalism and Mass communication...
0 Reactions
1 Replies
249 Views
Anonymous
Sekretarieti ya ajira imetoa majina ya afya ya USAILI wa kuandika, ila cha kusikitisha ni kwamba usaili wa kuandika unafanyika mkoani unapoishi ila usaili wa mdomo unaenda kule ulipoombea kazi...
2 Reactions
10 Replies
835 Views
Anonymous
Habari, Halmashauri ya Mkalama kwa muda mrefu Barabara za mitaa hazijachongwa kwa baadhi ya maeneo na hii imepelekea kero hasa kwa wakazi Wa maeneo hayo hata kupata ugumu wa kupita na mizigo...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Anonymous
Kumekuwa na kero ya muda mrefu sasa katika daladala za Mbweni jambo ambalo limekuwa usumbufu kwa abiria Kwa mujibu wa LATRA route ya daladala za Mbweni ina Njia mbili 1. Kuna daladala...
1 Reactions
4 Replies
528 Views
IGP WAMBURA, sisi wakazi wa mtaa wa Isere Kinondoni tunaleta malalamiko yetu kwako yahusuyo vijana wa kihuni kufanya maskani za kuvuta bangi na unga kwenye mtaa wetu. Vijana hawa Wala siyo wakazi...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Kiukweli haya maeneo mawili ya Oysterbay na Masaki ndio yanabeba taswira ya nchi kwa sababu ofisi nyingi za kidiplomasia na makazi yao zipo maeneo hayo. Mashirika na taasisi karibu zote za...
8 Reactions
51 Replies
1K Views
Kwanza nimpongeze sana mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa jitihada zake za kusaidia wananchi; Naamini na hili lipo kwenye mpango kazi wake ila kwa kuchangia tu; Kuna vipande vitatu vya Barabara VIFUPI...
3 Reactions
11 Replies
667 Views
Wahusika kama ilikuwa muda bado wa kujenga mliona haja gani kukwangua barabara na kuicha hivo wiki ya 4 sasa. Mnatupa kero sana na vumbi na foleni isiyo na sababu. Kipande hiki tokea mzunguko wa...
0 Reactions
3 Replies
323 Views
Salamu Wakuu. Niende moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Hili suala la Redio na Tv na kamari sasa ishakua kero yaani unakuta kipindi cha Redio au kipindi cha Televisheni...
5 Reactions
14 Replies
749 Views
Anonymous
Habari wanafamilia wa JF, Niende moja kwa moja kwenye hoja: Kumekuwa na shida ya makusudi ya upatikani wa Maji katika eneo la Ubungo Kibangu na maeneo jirani kama Riverside. Hapo awali maji...
3 Reactions
10 Replies
477 Views
Hili jambo linalosikitisha sana,maji hayatoki zaidi ya mwezi sasa, wakazi wa eneo la Ubungo Kibangu tunanunua dumu la maji elf moja kwa fresh na yenye chumvi Tshs 200-500. Imekuwa ni kawaida kwa...
0 Reactions
23 Replies
579 Views
Back
Top Bottom