Mashahidi upande wa Jamhuri katika Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam, Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi - Africana...
Hali ya kuwaficha watoto wenye ulemavu, kama vile wale wenye ugonjwa mfanano(Down syndrome) na usonji (autism), ni suala linaloathiri haki zao za msingi, ikiwa ni pamoja na haki ya elimu, kucheza...
Katika kile kinachosemekana ni kuficha ukweli pengine kwa sababu ya nyadhifa zao ama kuhakikisha hakutokei matatizo ya kifamilia, Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni, Freeman...
Ibara ya 12(1 )ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Binadamu wote huzaliwa huru, na wote ni sawa, pinga ubaguzi.
Ubaguzi kwa msingi wa haki za binadamu ni tendo la kutendea mtu au...
Yani unaweka kila chaneli ya muziki ni vibinti viko nusu uchi na kibaya zaidi hata lyrics za siku hizi ni matusi ya wazi wazi.
Yani unaingia tu insta, msambwanda huo, tuuuuu!!. Yani ni vibinti...
Wadau habari ya wakati huu.
Mwaka jana nilikuwa Dar maeneo ya tabata kisukulu. Nilienda kumsalimia mjomba.
Katika moja ya maongezi alinieleza mjukuu wake mmoja ambaye hasikii sana na anatabia...
Rushwa kwa sasa tanzania ipo nje nje na tena inasemwa hadharani as if hatuna takukuru tena.
Ona chama cha chadema kinavyojaa rushwa tena nyingine kutika kwa abdul lakini takukuru kimya.
Rushwa...
Zaidi ya wakazi 200 wa Mtaa wa Yombo Dovya, wilayani Temeke wameathirika kwa kubabuka ngozi katika maeneo mbalimbali mwilini baada ya kudaiwa kutumia mafuta ya kula yenye sumu.
Mafuta hayo...
Baba ndo chanzo chako yeye ndo mbegu na yeye ndo amesababisha wewe kuzaliwa.
Lazima ukae vizuri na baba yako ili akubariki.
Ni kosa kubwa kumtenga baba yako na kumkimbia utazokosa baraka.
Mama...
Serikal ilipoanzisha Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (Commission for Mediation and Arbitration - CMA) na sheria mahususi ya Ajira na Mahusiano Kazini Sura 366 ya mwaka 2019 pamoja na Mahakama Kuu...
Kufuatia taarifa za kupotea katika mazingira yanayodaiwa ‘kutekwa’ kwa Shadrack Chaula ambaye ni Msanii wa Sanaa ya Uchoraji, baba mzazi wa kijana huyo, mzee Yusuph Sisala Chaula amesema anaomba...
Baada ya siku kadhaa tangu Mwananchi kuripoti kuhusiana na taarifa za kutoweka kijana, Shadrack Chaula (24) aliyetuhumiwa kuchoma picha ya Rais Samia Suluhu Hassan, Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
(1) Hupunguza hamasa ya uzalishaji kwa kuwafanya watu waamini kuwa wanaweza kupata pesa kwa kucheza kamari tu.
(2) Husaidia sana kuongezeka kwa idadi ya masikini na idadi ya matajir na hivyo...
Salaam, Shalom!!
INTRODUCTION
(Matendo 2:17-18) na (Waefeso 1:3)
MTU ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI. Roho inapoungana na mwili, kinaumbika kitu kinachoitwa NAFSI.
Mwili una...
Itoshe tu kusema katika Dunia hauwezi kupendwa na kila mtu. Mtume alipigwa na kung'olewa jino. Yesu alitundikwa msalabani na akapigwa bila kosa. Na Mitume yote ilikuwa unapigania haki.
Vizazi vya...
Barabara hii ipo njia ya Songea Njombe inamongonyoka upande, sehem ya kona kali hivyo ni hatari kwa watumiani wa magari mazito, kama Malori, mabasi na magari ya mizogo.
Mamlaka ichukue Hatua za...
Wakuu Kama mmesoma threads zangu za nyuma, ni wazi kwamba napitia kipindi kigumu kimaisha. Sasa wiki hii Kuna kibarua nilipata hapa Arusha wakahitaji kadi ya nida na ya chanjo ya Corona, nikawapa...
Mtu mmoja anayefahamika kwa jina Mbaruku mussa anayekadiriwa kuwa na miaka 47 makazi wa mtaa wa olmoti kata ya olimoti mkoani Arusha anahofiwa kufariki baada ya kudaiwa kupewa Dau la fedha...