Wazee mambo vipi Mnyunguli hapa.
Aisee hali ni mbaya ubebari ni balaa watu wanajali pesa tu takwimu zinaonesha vijana na magonjwa ya figo ni kama chupi na sehemu za siri...hii inachangiwa na...
Waziri Mkuu wa Canada anayemaliza muda wake, Justin Trudeau, ametangaza kuundwa kwa baraza la uhusiano wa Canada na Marekani kukabiliana na tishio la Rais mteule Donald Trump la ushuru wa 25% kwa...
Wakuu heshima mbele.
Nimetoa elfu 40 kwa sim banking kuja kwenye lain yangu ya simu ili niweze kulipia huduma fulan ambayo nimeshaitumia na ndio nataka kuondoka.
Pesa imekatwa kwenye CRDB...
Wanajamii Forums mwalimu M waipopo Nwaka amefariki dunia 12/1/2025 Muhimbili hospital alipokuwa anapata matibabu. Mwalimu katika uhai wake alifundisha shule mbalimbali za secondary...
Heri ya mwaka mpya wadau wote.
Tafadhalini naomba msaada wa dawa ya kudhibiti wadudu wanaokula mbao za paa la nyumba.
Nyumba yangu ina miaka 6, ila Mafundi wamepanda darini kufanya marekebisho...
Leo tarehe 16 Januari 2025 muda huu tuko road kuelekea makaburini kumzika dogo mmoja mtoto wa dada ambaye alikufa kwa ajali ya pikipiki almaarufu bodaboda.
Huyu kijana alikuwa bodaboda, jana...
VIAMBATANISHO MUHIMU WAKATI WA KUOMBA MKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU.
Barua ya maombi ya Mkopo ikitaja kiasi cha fedha kinachoombwa na kikundi.
Nakala ya katiba...
Tukiachana na vyoo vya umma bado miji yetu inakosa kitu muhimu sana. SEHEMU ZA WATU KUVUTIA SIGARA.
Inakera sana kuona watu wakivuta sigara popote pale katikati ya mji na kuleta kero kwa...
Familia ya Abeid enzi za uhai wao
Habari wakuu ujumbe huu nimeupata kutuko group moja nikaona ni vyema kushare wa Watanzania wenzangu Ili tuchukue tahadhari[emoji24][emoji24][emoji24] Inauma Sana...
Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na...
Kama sio asili inachukua mkondo wake kwamba haya yanatotokea hayana budi/ yana budi kutoka, basi kuna genge la watu lina nia mbaya sana na Tanganyika huko mbeleni
Ama la linafanya haya yote kwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Wagalatia hamna nafasi peponi labda muamue kumuabudu Mungu wa haki pekeyake yaani Allah
Jioni njema
Kabla ya Wakoloni hawajaanza kutawala Africa baada ya mkutano wa Berlin wa 1884/1885 Africa ilikuwa haijawahi kuwa na hospital, shule, reli, barabara, mfumo wa sheria, mahakama na umeme. Hivi...
1. Los Angeles ni nyumbani kwa wakazi wengi zaidi wa Wenyeji wa Hawaii nje ya Hawaii, kutokana na uhamaji mwanzoni mwa karne ya 20.
2. Ishara ya Hollywood awali ilisomeka "Hollywoodland" na...
UNAUFIKIAJE UTAKATIFU?.
Katika mambo ambayo, watu wamefungwa na kuona ni ngumu ni hali ya kufikia utakatifu.
Kanisa katoliki wamebaki kutangaza watu fulani, kuwa ni wenye heri na watakatifu...
Ongeza Maarifa Yako! JE, WAJUA?❓
Ndege hawakojoi.
Farasi na ng'ombe hulala wakiwa wamesimama.
Popo ndiye mamalia pekee anayeweza kuruka. Mifupa ya miguu yake ni myembamba sana kiasi kwamba...
Wadau hamjamboni nyote?
Nauliza nipate kujua, nipate ilimu na maarifa
Swali lijibiwe bila mihemuko au hisia au chuki au kutegemea ushahidi wa wengineo
Leteni ushahidi wenu Wasabato...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeanza mchakato wa kuboresha sekta ya usafiri wa bodaboda kwa kusajili madereva, kuwapatia namba za...