Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Yaani huku mtaani ni shida sana, nchi yetu imekuwa kama haina kiongozi mkuu wa kukemea yaani. ...wageni (wahindi, wachina n.k) wanazidi kuongezeka mitaani. wamegeuka mamachinga wanazungusha...
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Habar za saiz wakubwa.. Akili bandia (kwa Kiingereza: Artificial Intelligence, AI) ni teknolojia inayohusisha utengenezaji wa mashine au mifumo ya kompyuta yenye uwezo wa kufanya kazi ambazo kwa...
4 Reactions
42 Replies
879 Views
Ndugu yangu anaitwa Ester Wilbard, nilipotezana nae mwaka 2012 akiwa Katoro Geita, alikua anajihusisha na kazi ya mama ntilie ila kwao ni mzaliwa wa Ngara. Lengo la kumtafuta aliacha mtoto wake...
11 Reactions
35 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Poleni ndugu zetu wa kkoo na wahanga wote ambao mmepta mtihani huo, Leo ngoja niwakumbushe vitu muhimu ambavyo vinatakiwa tuvifanye katika...
39 Reactions
60 Replies
3K Views
Hauna makosa! Hauna mawaa kwa kizungu tunaweza kusema no errors no faults. ...najua utasema kuwa Mungu kasema hakuna mkamilifu! Kumbuka kasema hakuna mkamilifu la hata mmoja akimaanisha...
76 Reactions
217 Replies
31K Views
Wandugu Habarini, Binafsi Kila Nikiamka Asubuhi Baada Ya Kumaliza Ratiba Za Kawaida Hua Naingia Kwenye Mitandao Mitatu Ya Kijamii Kwa Muda Wa Masaa Mawili. Hua Naanzia WhatsApp, Nakuja...
8 Reactions
26 Replies
695 Views
CCm ndio Serikali yenyewe Kitendo cha awamu hii ndani ya miaka 5 mmeshindwa kuwaletea wananchi mabasi ya mwendokasi watu wanapata mateso alafu nakuja kuona yutong za ccm kma 30 na ushee...
6 Reactions
28 Replies
967 Views
Dar ni Jiji la kwanza kwa maendeleo Tanzania na yamkini Afrika Mashariki. Dar imejaa Fursa mbalimbali za kujikwamua Kiuchumi kwa kijana mtafutaji na mpambanaji hasa ambae ana lengo la kutoboa...
19 Reactions
244 Replies
6K Views
Sina shaka hata kidogo na utendaji wa Mkurugenzi Waziri Waziri Kindamba. Hakuna chembe ya ubishi ndiye aliyeleta mapinduzi katika utendaji wa kampuni ya umma ya TTCL ambayo kabla ilikuwa...
1 Reactions
4 Replies
873 Views
Join RSTMH & who on #WorldNTDDay for a free webinar exploring climate change, malaria, & NTDs. 📅 30 Jan, 12:30–1:30 PM GMT Highlights: insights from a major scoping review + expert speakers...
1 Reactions
0 Replies
82 Views
Leo tunaona 13% ya population ya Marekani ikiwa ni ya watu weusi wengi wao kwa asilimia maradufu ni kizazi cha watumwa waliochukuliwa kutoka west africa. Hivi wale waliokuwa wanatekwa wakina...
7 Reactions
152 Replies
4K Views
Wewe una mzazi wako halafu unaenda kukaa hapo mlangoni usiku kumpigia maombi ya kuomba ada au hela ya kununua daftari au kalam au pesa ya mtaji wa biashara. Usiku kucha unampigia mzazi...
5 Reactions
27 Replies
632 Views
Kweli hakuna jipya chini ya jua, Kwa jina anaitwa Onani. Yuda akamwambia Onani, Uingie kwa mke wa nduguyo, ukamwoe, ukamwinulie nduguyo uzao. Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake...
6 Reactions
51 Replies
2K Views
Kwa siku za karibuni Tabata imekuwa sehemu ya kula bata sana tofauti na kipindi flani ilijulikana Sinza ndio kuna mambo mengi lakini hivi sasa Tabata ndio inashika namba moja. Ukianzia 40 40...
20 Reactions
123 Replies
17K Views
WEMA BADO WAPO 1. Nilipo pata ajali, ndipo nilipofahamu Wachache wanaojali, tena wasonifahamu Jaribu ni ja jabali, lahitaji utimamu Watu wema bado wapo 2. Walojidai mapenzi, tele ningali mzima...
5 Reactions
2 Replies
153 Views
KUWA MMBEA UTATAKIWA : 1.Uwe na habari nyingi za watu ( za kweli au uongo) 2.Ujuane na watu wengi 3.Uwe na salio la kutosha kwenye simu 4.Uwe na nguvu ya kuongea kwa muda mrefu. 5.Usiwe na hasira...
2 Reactions
2 Replies
115 Views
NEMC KANDA YA KASKAZINI YABAINISHA NAMNA ILIVYOSIMAMIA MIRADI Na Mwandishi Wetu BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Kanda ya Kaskazini limetaja mafanikio kadhaa...
1 Reactions
2 Replies
126 Views
Katikati ya mahojiano yaliyofanywa na kituo cha televisheni cha Clouds mapema leo na Tundu Lissu ambaye ameonekana akimkosoa mwandishi wa kituo hicho Kijakazi Yunus ambaye katika uulizaji wake wa...
19 Reactions
92 Replies
5K Views
Serikali ya Congo imewaua wanaume wapatao 102 kwa njia ya kunyongwa wiki iliyopita, na wengine 70 wanatarajiwa kuuawa. Waziri wa sheria wa nchi hiyo alisema Jumapili katika taarifa kwa Shirika la...
0 Reactions
64 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…