Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wakuu za usiku. Nina TV na madishi ya azam na mengine. TV mbili. Nawaza hapa, enzi zetu hatukuwa na TV hivi sasa watoto wanapoteza muda kwenye katuni na movies. Hii inanipa picha najenga kizazi...
12 Reactions
43 Replies
1K Views
Pamoja na umachinga wangu, bado nikasema nisaidie nchi yangu kwa kulipa kodi, nimechukua tin namba nikakata leseni nikafungua kiosk, nikakadiriwa nilipe laki nne kwa mwaka, kila miezi mitatu...
33 Reactions
138 Replies
5K Views
Rais Magufuli alikuwa ni Rais mpenda Mazingira na uhifadhi hasa. Wakati anaingia madarakani mwaka 2015 idadi ya Tembo Tz ilisadikika kuwa 43,000. Hadi anafariki mwaka 2021 inasemwa kuwa tembo...
0 Reactions
5 Replies
191 Views
Mbele yenu ni kijana wa kitanzania mpambanaji ninayechukia kukata tamaa, Kwani kukata tamaa ndio mwanzo wa umaskini. Leo nimeona nishare visa tunavyokumbana navyo wagonga ulimbo hasa graduates...
8 Reactions
49 Replies
1K Views
Polen najua n MAKOSA ya kibinadamu Si mbaya tukayasahihisha Nimeangalia tangazo linasema kutakuwa na mkutano WA kamati kuu ccm Dodoma ANGALIEN mwishoni mmeandika tar mwezi sawa Mwaka 2024...
0 Reactions
2 Replies
125 Views
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Bariadi Magharibi mkoani Shinyanga (CCM), Andrew Chenge Zulfa Mfinanga, Shinyanga na Ramadhan Semtawa, Dar MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Bariadi Magharibi mkoani...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Ni wazi kwamba toka Tanzania ipate uhuru, Nabii Mkuu Mheshimiwa Dr Geor Davie wa Ngurumo ya Upako na Msemaji Mkuu wa Serikali na Ufalme wa Mungu hapa Duniani ndie mtu maarufu kuwahi kutokea katika...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Mwanamke Mmoja jijini Arusha amechora picha yenye jina la mtumishi wa Huduma ya Ngurumo ya Upako anayefahamika kwa jina la Nabii Mkuu Geor Davie. Mwanamke huyo alipoulizwa kwa nini amechora tatoo...
14 Reactions
176 Replies
20K Views
Naomba nipate kujua juu ya kibali cha ujenzi maana nimeendeleza ujenzi pindi nikipata pesa kama inavyojulikana ujenzi aumaliziki Sasa ninani ametoa mamlaka ya kuchora kuta za watu kisa kibali...
0 Reactions
6 Replies
250 Views
Wakuu, kuna mwenye update kuhusu progress ya Starlink kupata leseni ya kuoperate Tanzania? Nimeapply fiber TTCL ipo meter 50 kutoka nilipo mwezi sasa unakata kila siku napigwa kalenda na kupewa...
-1 Reactions
5 Replies
217 Views
Baada ya Mdau wa Kata ya Kabondo Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu kuomba Serikali kupitia kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa kufuatilia madai ya ‘upigaji’ wa...
0 Reactions
0 Replies
205 Views
Serikali imezungumzia suala la madai ya Wananchi wa Kijiji cha Imalamate katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu kulalamikia changamoto ya Mgodi wa Dhahabu wa EMJ kwamba unamwaga maji...
1 Reactions
0 Replies
359 Views
ANAYESEMA MWANAUME HANA NGUVU ZA KIUME LAZIMA AWE/ALIKUWA MALAYA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Kusema kuna ongezeko la wanaume kukosa nguvu za kiume ni kuutangazia Umma kuwa wewe ni malaya au...
20 Reactions
117 Replies
15K Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Japan zimetia Saini Hati za Mkataba wa Yen za Japan bilioni 22.742 sawa na takribani shilingi bilioni 354.45 za kitanzania kwa ajili ya...
0 Reactions
1 Replies
177 Views
"Niliwasikia wakiongea na Simu na Boss wao ndipo nami nikawauliza kumbe mna Boss wenu na wakaanza Kuogopa na kuhisi kuwa najua Mipango yao"amesema Mtekwaji wa Dharula nchini Kenya Maria Sarungi...
24 Reactions
84 Replies
4K Views
KAMPUNI ya Azam Marine inatarajia kuzindua vivuko nane vya expres ambavyo ujenzi wake mpaka sasa umefikia asilimia 95 na vinatarajia kusafirisha abiria wanaovuka kwenda Kigamboni kwa haraka zaidi...
3 Reactions
7 Replies
435 Views
Hapa nilipo hata tsh buku 10 imenipiga chenga mwenye nyumba anadai kodi Watoto wanahitaji ada kwenda shule Ndugu wanaomba niwapige kampani wazazi nao wanataka pesa Nimeenda kopa kwa jamaa nao...
10 Reactions
59 Replies
931 Views
Kuwa Introvert iko personal zaidi ila social anxiety iko mental zaidi. Yani mtu anaweza kuamua kutokuwa na ukaribu pia anaweza aka -develop tabia tangu utoto kwa maana akiwa namna hii hujisikia...
1 Reactions
1 Replies
139 Views
Lori lingine nimefyeka watu 10 Tanga. Recently nilishauri serikali kuanzisha agency ya ukaguzi wa magari. Moja ya sekta ambazo kama nchi tumekwama. Machine zinazotembea barabarani ni kama...
0 Reactions
3 Replies
242 Views
Kutokana na hatua kadhaa zilizoanza kuchukuliwa na BOT, Hawa Branch nao wameanza kusitisha huduma za mikopo kwa wateja wengi haswa Watanzania kwa kisingizio kama Cha Tala, kuwa wanafanyia...
0 Reactions
4 Replies
545 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…