Katikati ya Ureno, kuna muundo wa miamba ambao unakinzana na matarajio yote ya kisayansi..
Upinde wake wa kustaajabisha na usio na dosari unazua swali—ni nini hasa kinaendelea hapa? Je, hii...
Dar nilipaona pazuri sana.
Ila baada ya kuhamia huku mkoani aisee nimetokea kupachukia sana dar.
Dar unakuwa na hela ila matumizi mengi na ya ajabu.
Vurugu nyingi. Mfano mimi kulala dar ilikuwa...
Japo ndio kiumbe mwenye akili kuliko wenzake hapa Duniani.
Ila kwa maisha yake yote anagharamia.
Lazima, alipie maji, nyumba, umeme, mavazi, chakula, usafiri, matibabu , mapenzi n.k.
Yaani...
Wadau wa JamiiForums, Habari Zenu!
Hivi umeshawahi kusikia msemo "Mafanikio yako yanategemea mawazo yako"? Au labda "Acha kulala, fanya kazi kwa bidii, tajiri mkubwa analala saa 3 usiku na...
Hivi karibuni tatizo la kukatika kwa umeme mkoa wa Mtwara limekuwa kubwa na kero kwa wananchi.
Mkoa wenye gas asilia na makaa ya mawe lakini tatizo la umeme limekithiri. Najiuliza wakazi wa...
Watu wengi wanamsikia Shetani, na wanaamini yupo, lakini hawajui yeye ni nani, alitoka wapi, anafanya nini na malengo yake ni nini. Ifuatayo ni “CV” yake. Imeandikwa kwa Kiingereza. Ukiona lugha...
Serikali imetangaza kuwa uwekezaji katika Reli ya Standard Gauge (SGR) umeanza kulioa, huku takriban Sh15.7 bilioni zikizalishwa katika kipindi cha miezi minne tangu kuanzishwa kwa reli hiyo ya...
Hivi hatuezi kuacha kurushiana Risasi?
Tukae chini tushikamane tuimbe nyimbo za amani.
Wenye njaa wasaidiwe, wasio na mavazi wavishwe, ambao hawana makazi wapate Makazi?
Kwani ni lazima vita...
Yaani Haya Maisha Bwna.
Yanaweza kuwa yamekupiga Chenga ila bado ukawa unaamini umeyapata.
Hasa hasa kama una ishi Dar kuna kaimani kanakujia kichwani kwamba huko Mbeya hakuna kitu, kuna kasumba...
Imagine mzazi analipishwa ada milioni 3.
Mzazi huyo ni mteja wa hiyo shule anaepeleka faida ya mamilioni ya hela kwenye shule. Lakini mwanae anateseka hapo shuleni ila mzazi anakuja kulia lia na...
Maisha ya kijijini.. Mandhari za kuvutia sana.. Changamoto kiduchu.. Wote mnafamiana.. Hakuna gesti za wageni au ni chache na hizo chache hazina shorttime na hazina vibao vya vyumba vimejaa😀
Utafiti wa Kisayansi Wathibitisha: Wakristo ni Watu Wenye Furaha Zaidi
Utafiti wa kisayansi unaoendelea unathibitisha kuwa Wakristo mara kwa mara huripoti viwango vya juu vya furaha na kuridhika...
"Nadharia ya Farasi Aliyekufa" ni sitiari ya dhihaka inayoonyesha jinsi baadhi ya watu, taasisi, au mataifa hushughulikia matatizo ya wazi yasiyoweza kutatuliwa. Badala ya kukubali ukweli...
Leo nimetembela kijijini kama ilivyoada kwa sisi tunaoishi kijamaa basi hupata muda wa kukagua maendeleo ya watoto tunaowakuta hapo nyumbani.
Nimeshangaa sana kuzikuta mada za mtoto wa darasa la...
Wakuu,
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa utabiri wa mvua kubwa katika Mikoa ya Kigoma, Katavi, Tabora, Singida, Dodoma, Simiyu, Mara, Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Kagera, Geita...
Shura ya Maimamu Tanzania
KUTOKA MAHAKAMA KUU LEO TAREHE 4/3/2025
MASHEIKH 12, WATOKA GEREZANI. WATANO NI FAMILIA MOJA YA ULATULE.
MASHEIKH 12, walio kaa gerezani miaka 10, (2015-2025), kwa...
Kuna kitu mie kinanitatiza sana jamani hivi kwenye utawala wa magufuli iwe ni Busisi au Kamanga, kwa kupitia vivuko hivi hivi tunavyoambiwa havitoshi sasa hivi mbona tulikuwa hatukalishwi kiasi...
Wadau wa Jamiiforums, tuzungumze kwa ukweli mchungu!
Leo naomba tusahau unafiki na tuweke uzalendo kando kwa dakika chache. Tukubali tusikubali, Watanzania wengi wana IQ ndogo! Na hili si tusi, si...