Imekuwa ni kama fashini sasa
Mtoto mdogo kabisa mwenye miaka 9 au 12 anakuletea barua kutoka shuleni inasomeka mtoto aanze kwenda boarding kwasababu masomo yanaanza saa kumi na mbili asubuhi...
Kumekuwa na wimbi kubwa la ufugaji wa samaki Kanda ya Ziwa na hasa Jiji la Mwanza. Masoko mengi jijini Mwanza yamejaa hawa samaki wanaofugwa na ndiyo wanauzika kwa wingi.
Ninaomba kuelemishwa...
Zab 103:10 SUV
[10] Hakututenda sawasawa na hatia zetu, Wala hakutulipa kwa kadiri ya maovu yetu.
Kupitia mstari huu tunaona kitu kikubwa sana kwa Mungu anachokifanya kwetu, inaonyesha wazi vile...
Katika mifungo hii ya kwaresima na mwezi wa Ramadhani kitimoto hauziki wakuu. kuna sehemu moja hapa kitaa ilikuwa hailali wala kutoboa hadi saa7 usiku bado ipo labda kama wamechinja nguruwe...
Zab 101:6 SUV
[6] Macho yangu yatawaelekea waaminifu katika nchi, Hao wakae nami. Yeye aendaye katika njia kamilifu, ndiye atakayenitumikia.
Kupitia andiko hili tunapata mtazamo wa Mungu juu ya...
Kundi la nchi za BRICS linaendelea kupanuka, na likiwa sasa limeongeza nchi washirika mwezi Januari mwaka huu wa 2025, baada ya kuingiza wanachama wapya mwaka jana. Sasa kundi hili lina takriban...
Ujenzi wa majengo mapya katika Hospitali ya Mji wa Babati umefikia asilimia 98 kutokana na ufuatiliaji wa karibu wa Halmashauri ya Mji wa Babati.
Haya yamebainishwa na Mkurugenzi wa Halmashauri...
MWANAMKE TEGEMEZI ASIYE NA KAZI HUWEZI SEMA ANAKUHESHIMU AU KUKUTII. HESHIMA INATOKA KWA MTU ANAYEJITEGEMEA NJE YA HAPO TEGEMEA UNAFIKI
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kwa Sisi tusiopenda...
Jumla ya watu 16003 wakazi wa vijiji 30 wilayani Rufiji mkoani Pwani wamenufaika na msaada wa kisheria bila malipo kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria wa Mama Samia.
Hayo yamebainishwa na...
Mkurugenzi wa Boston Consulting Group,Edward Lupasa ambao wanajihusisha na ushauri wa masuala ya kibiashara hususani kodi na kufanya uchechemuzi kwa vijana na Wanawake katika nyanja ya maendeleo...
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kushirikiana na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wameanzisha kituo cha umahiri (Centre of Excellence) cha usalama barabarani, hatua...
Afrika imegeuzwa kuwa ghala la mataifa ya nje. Madini yanachimbwa, misitu inakatwa, wanyama wanauzwa kama burudani kwa watalii, mito na maziwa yanavuliwa mpaka hakuna cha kuvua tena, lakini...
Habari wanajamvi wote wa Jamii Forums,
Naomba kushea nao maumivu waliyonayo baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wa Mamlaka ya BAndari Tanzania (TPA) ambao walikutwa na kadhia ya kusimamishwa kazi kwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe limepiga marufuku wananchi kuandamana baada ya uwepo wa taarifa ya kuhamasisha maandamano inayotajwa kutolewa na Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA)...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema mwanamke ni mbegu, tunu, chachu, faraja, dira, mbunifu na shujaa katika familia na katika kuongoza taifa kwa ujumla endapo akipewa nafasi...
Wadau wa Jamiiforums, Salamu Zenu!
Kama kuna kitu kipo wazi kama jua la mchana ni kwamba mafogo (matajiri) wanafikiria tofauti na sie wa kawaida. Kuna watu wanasema eti "tajiri akisema ni mchana...