Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wanafunzi katika Shule ya Sekondari Nyang’hwale iliyopo wilayani humo Mkoani Geita wamekabidhiwa Runinga pamoja na Kisimbuzi kwa ajili ya kufatilia maendeleo ya Miradi inayotekelezwa na Serikali...
2 Reactions
5 Replies
150 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara kimetangaza msimamo wake wa kutoshiriki uchaguzi hadi pale masuala kadhaa yahusuyo haki na usawa wa uchaguzi yatakapotatuliwa. Akizungumza...
0 Reactions
3 Replies
162 Views
  • Redirect
IMETOSHA! WANANCHI WA BUMBULI TUNAKATAA JINA LA JANUARY MAKAMBA Kwa miaka 15 sasa, wananchi wa Jimbo la Bumbuli tumekuwa tukihadaiwa na ahadi zisizotekelezeka. Tumeshuhudia mbunge wa msimu...
0 Reactions
Replies
Views
Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro kupitia Katibu wake, Ndugu Mercy Mollel amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Dkt. Haji Mnasi kwa kusimamia miradi ya maendeleo huku...
0 Reactions
2 Replies
87 Views
Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe, Askofu Benson Bagonza achukizwa na kamata kamatwa inayofanywa na Jeshi la Polisi kwa Viongozi wa Walimu wasio na ajira ambao wamejitokeza kuikumbusha...
0 Reactions
1 Replies
156 Views
“Walimu semeni shida zenu na wakati wote msijione duni, oneni namna Serikali inavyoweza kutatua changamoto zenu. Nataka niwakumbushe Watanzania kuwa ninyi ni nguzo ya taifa letu, zoezi hili...
0 Reactions
2 Replies
118 Views
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala ya Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Advera Mwijage amesema kuwa Mkoa wa Tanga unatekeleza miradi minne ya kusambaza umeme katika vijiji, miji, vituo vya afya, pampu...
0 Reactions
0 Replies
83 Views
Wakuu asalaam aleykum! Nguvu ya taifa lolote huwa ni vijana, katika rika hili wanaweza kufanya mambo mengi kwa usahihi na nguvu; kuanzia kufikiria kibunifu, kutekeleza mipango, nk. Mfano enzi ya...
5 Reactions
40 Replies
631 Views
Wakuu, Kwenye kipindi cha One on One Ally Mohamed Keissy aliyekua Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini (2010 - 2020), ametoa mtazamo wake kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo mvutano wa sheria mpya ya...
0 Reactions
33 Replies
785 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amesema hatua ya Halmashauri ya Tunduma kutoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 4.6 kwa vikundi...
2 Reactions
0 Replies
105 Views
Naibu Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, Geoffrey Pinda, amewataka watumishi wa ardhi nchini kuacha kuyumbishwa na misimamo ya kisiasa, badala yake wanapaswa kutekeleza majukumu yao...
0 Reactions
1 Replies
84 Views
Mkuu wa wilaya ya Hai, Hassan Bomboko ameagiza kuondolewa kwa mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa Mabweni, Vyoo na Nyumba ya mwalimu katika shule ya Sekondari Saashisha kwa kile...
0 Reactions
3 Replies
108 Views
WANANCHI PWANI WAHAMASISHWA KUSHIRIKI KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA Mbunge wa Viti Maalum, Dkt. Alice Karungi Kaijage, amewataka wakazi wa Pwani kushiriki kikamilifu Kampeni ya...
0 Reactions
1 Replies
83 Views
Huu ni wito wangu kwa wadau wote wa JF na waTanzania wenzangu wote. Uchaguzi mkuu wa Tanzania utafanyika mwaka huu October 2025. Uchaguzi huu ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya Tanzania...
0 Reactions
7 Replies
159 Views
SERIKALI ya Awamu ya Sita ,kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imesaini Mkataba Wa kukarabati skimu zilizopo katika bonde la Mto wa Mbu Wilayani Monduli, kwa gharama ya shilingi bilioni...
0 Reactions
1 Replies
90 Views
Baada ya miaka 16 ya kutembea kilomita 40 kutafuta huduma za afya, wananchi wa vijiji vitatu wilayani Tandahimba mkoani Mtwara hatimaye wamepata suluhisho. Kituo cha Afya cha Maheha...
0 Reactions
1 Replies
114 Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Taifa Ndg. Fadhil Maganya, amedai kutoridhishwa na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mbeya, inayogharimu zaidi ya...
0 Reactions
1 Replies
82 Views
Wananchi kutoka Vijiji 112 katika Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga wanatarajia kuanza kunufaika na Mradi wa Maji kutoka Ziwa Viktoria ambao kwa sasa utekelezaji wake unaendelea kwa Awamu ya...
0 Reactions
2 Replies
104 Views
Wakati Serikali ikiendelea kuboresha miundo mbinu ya sekta ya elimu, uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe iliyopo mkoani Songwe, katika kuunga mkono jitihada hizo umetoa zawadi mbalimbali...
0 Reactions
1 Replies
110 Views
Serikali kupitia Wizara ya Afya imejipanga kuanza ujenzi na ukarabati wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo) kwa kuanzia na jengo la wodi ya mama na mtoto kabla ya mwezi Mei mwaka huu, ili...
1 Reactions
1 Replies
81 Views
Back
Top Bottom