Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Salaam na heshima kwako mheshimiwa Boniface Jacobo Mayor mstaafu na Mwenyekiti wa Kanda ya pwani chama Cha demokrasia na maendeleo CHADEMA. Kiongozi kabla ya kusema niliyowiwa kuyasema naomba...
9 Reactions
71 Replies
2K Views
Zaidi ya shilingi bilioni 1.1 zimetolewa kwa vikundi 92 vya wanawake,Vijana na walemavu katika Halmashauri ya wilaya ya Njombe ili zikawasaidie kuendesha miradi mbalimbali Fedha ambazo hutolewa...
0 Reactions
5 Replies
125 Views
Mbunge wa Jimbo la Madaba Mkoani Ruvuma, Dkt.Joseph Kizito Mhagama, ametembelea kata ya Mkongotema kwa lengo la kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika eneo hilo. Ziara hiyo...
0 Reactions
0 Replies
61 Views
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi akimueleza Meneja wa Tanroad Mkoa wa Simiyu Kusimamia Mradi na ukamilike kwa muda na kuzingatia Viwango na Ubora wa Mradi huo. Pia Mkuu wa Mkoa wa Simiyu...
0 Reactions
1 Replies
100 Views
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amekabidhi mitungi ya gesi 650 iliyotolewa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), ikiwa ni uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi nchini. Dkt. Mpango ni...
0 Reactions
2 Replies
71 Views
Ipo siku mtakumbuka huu Uzi Ila nawaambia vijana wa 2000 ndo wataleta mabadiliko ya kweli katika hili Taifa. Hiki ndo kizazi kimezaliwa katika nyakati ngumu sana, kizazi ambacho mtu anasoma...
5 Reactions
25 Replies
436 Views
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amelishauri Shirika la Reli Tanzania (TRC) kushughulikia changamoto zilizojitokeza katika ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam–Dodoma ili zisijirudie...
1 Reactions
0 Replies
143 Views
Serikali kupitia uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imechukua hatua za kuboresha miundombinu ya barabara kwa kuhakikisha ujenzi wa barabara ya Esso -...
0 Reactions
1 Replies
97 Views
Wakazi wa Bongi, wilayani Handeni mkoani Tanga, ambao walikumbwa na changamoto ya uhaba wa maji na kulazimika kutembea umbali wa kilomita 3 hadi 4 kutafuta huduma hiyo, sasa wanapata maji karibu...
0 Reactions
3 Replies
185 Views
Ziara ya kusikiliza na kutatua changamoto za walimu nchini (Samia Teachers Mobile Clinic) inayoratibiwa na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kushirikiana na serikali inatarajia kuwasili mkoani Geita...
0 Reactions
1 Replies
191 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema chama hicho kimefanya mabadiliko ya kuongeza wajumbe katika Mikutano Mikuu ya Kata na Mikutano Mikuu ya Wilaya ili kupunguza...
0 Reactions
5 Replies
391 Views
  • Redirect
Wenyeviti wa Serikali za Mitaa katika Wilaya ya Temeke wamepongeza na kuridhishwa na uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali kwa Wizara ya Maji kupitia Mamlaka ya majisafi na Usafi wa Mazingira...
0 Reactions
Replies
Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira DAWASA inatekeleza ujenzi wa vituo nane(8) vya kisasa vya kuchakata majitaka/takatope vyenye thamani ya Bilioni 16 katika jiji la Dar Es Salaam ambavyo...
0 Reactions
4 Replies
198 Views
Kufatia kuwepo kwa mahitaji makubwa ya uwanja mkubwa wa Ndege, mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwassa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameridhia kutoa fedha za ujenzi wa uwanja...
0 Reactions
1 Replies
326 Views
Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza limefanikiwa kudhibiti maandamano ya wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA yaliyokuwa yamepangwa kufanyika siku ya leo katika maeneo mbalimbali ya...
0 Reactions
1 Replies
332 Views
Kamati ya ulinzi na usalama mkoani Mwanza imekanusha tuhuma za kuhusika katika kutoweka kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) Mkoa wa Mwanza, Amani Manengelo ambaye inadaiwa...
0 Reactions
1 Replies
291 Views
Serikali imeipatia hospital ya Dkt Samia Suluhu Hassan iliyopo wilayani Muheza kiasi cha sh. 2,570,164,000 fedha kuendeleza ujenzi wa hospitali hiyo pamoja na ununuzi wa vifaa tiba. Akikabidhi...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imedhamiria kumaliza matatizo ya kiafya wanayokabiliana nayo Wananchi wanaoishi katika Visiwa...
1 Reactions
1 Replies
75 Views
Katika tukio la kihistoria, wazee wa Kata ya Ivany, Jimbo la Siha, walikusanyika katika shule ya Oshara kwa lengo la kumuombea Mbunge wao, Dr. Mollel. Kikao hicho kilijawa na shukrani na maombi...
0 Reactions
0 Replies
104 Views
Wakazi wa Kijiji cha Bushimani kata ya Chambo Wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameiomba Serikali kukamilisha ujenzi wa Boma la Zahanati walilolijenga kwa nguvu zao mwaka 2012 ili kuwaondolea adha...
1 Reactions
0 Replies
86 Views
Back
Top Bottom