Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama mkoani Singida imekabidhi mikopo ya Sh. milioni 395 kwa vikundi vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo,Asia...
Serikali imeshauriwa kuwatumia wataalamu wa sekta ya afya waliokuwa wanatumika katika hospitali za umma lakini sasa hawatoi huduma zao kwa sababu ya ajira zao kusitishwa na Shirika la Kimataifa la...
Mkuu wa Wilaya ya Momba, Elias Mwandobo, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake za kutoa fedha nyingi za miradi, hasa katika sekta ya elimu...
Kwa mara ya kwanza Tanzania inaenda kushuhudia uchaguzi mgumu sana wa kumpata raisi wa kuongoza taifa la Tanzania hapo 2025.
Kwa dhati kabisa najua CCM watashinda ila utakuwa uchaguzi mgumu sana...
Brigedia Jenerali, Fransic Mndolwa alipofanya mahojiano na kituo cha Televisheni cha ITV kwenye kipindi cha dakika 45 Februari 10, 2025 alisema Wananchi kuongozwa haimaanishi hawana akili, kwani...
Halmashauri ya Wilaya ya Geita imetoa mkopo wa asilimia 10 wenye thamani ya shilingi milioni 689 kwa vikundi 39 vinavyoundwa na wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu. Mkopo huo unalenga...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amekabidhi hundi ya shilingi Milioni 730 kwa Vikundi 74 vya Vijana, Wanawake na Watu wenye...
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhishwa na ujenzi wa mradi wa maktaba ya Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) ambao umefikia asilimia 99 na unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi...
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas,amemsifu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Dk Damas Ndumbaro kwa utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo katika...
Wakuu naona huu ndiyo ule mwaka wa kupokea, kila mtu anajitia kuchangia hiki mara kile ilmradi tu aonekane atajwe tajwe ili kujiwekea mazingira mazuri.
Mjumbe wa Mkutano Mkuu UWT Taifa Wilaya ya...
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhidhwa na ujenzi wa mradi wa maktaba ya Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) ambao umefikia asilimia 99 na unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi...
Kwa utafiti hafifu Mji wa Morogoro una shindwa kupiga hatua kwasababu za KIUONGOZI WA JIMBO!
Matatizo makubwa ya Mii huu haya semewi na kusimamiwa ipasavyo na Mbunge na Madiwani sababu hawana...
Nadhani ni jambo lisilopingika na la wazi kitamaduni na kiuhalisia pia sidhani kuna kutoelewa umuhimu wenu kwenye majukumu mliopaswa kuyatumikia na kuyafanya kila siku cha ajabu zaidi elimu ya...
Is it real? Yaani CCM inabebwa na sura za wasanii akina mwijaku, Dotto toyo, kiredio na mburura wengine, are we serious with our CCM? Shameful strategy, have we become so cheap to this level...
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo ya Mafia Ndg.Vulfrida John Msele akiwaapisha maafisa waandikishaji wasaidizi ngazi ya Kata, Kiapo cha Kutunza Siri na Kujitoa Uanachama wa chama cha siasa...
Wajasiriamali zaidi ya 200 wanaouza Chakula katika Soko la Mandela Wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa wamekabidhiwa majiko ya gesi yatakayowawezesha kufanya shughuli zao kwa urahisi.
Majiko hayo...
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Nyakia Chirukile, amesema Serikali imetoa fedha kiasi cha shilingi billioni 1.2 kwa ajli ya ujenzi wa Mahakama Mpya za Mwanzo, katika Wilaya ya Sumbawanga, Nkasi na...
Wakati akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya sheria nchini rais wa chama cha wanasheria Tanganyika Boniface Mwabukusi amesema kuwa;
"Tunaposhirikiana na Serikali hatulambi asali, tunapata...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mheshimiwa Dr. Dorothy Gwajima amesema kuwa kutakuwa na Sare ya Kitaifa tarehe 8 Machi 2025, kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.