Safari ya uongozi kwa Wanawake kamwe haijawahi kuwa nyepesi, Mwanamke anapita katika njia mbovu, milima na mabonde pia kona hatarishi. Licha ya ugumu huo, wengi wanapambana na mengi hadi...
Wakuu,
Akiwa anatoa "zawadi" ya bodaboda hivi karibuni kwa mchekeshaji Asha Boko, Steve Nyerere amesema kuwa kuna kipindi alikuwa na Rais Samia na kwamba Rais Samia alimuuliza yeye kuhusu wapi...
MARINGO MIA YA MHE. DKT. SAMIA NA MBUNGE WA JIMBO LA BUKOBA MJINI WAKILI STEPHEN BYABATO 2020 - 2025
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato anamshukuru sana Mhe. Dkt. Samia Suluhu...
Tabia yake ya kuzusha na kuongopa mambo mbalimbali dhidi ya serikali sikivu ya CCM, dhidi ya viongozi wa CHADEMA Taifa na dhidi viongozi mbalimbali wa umma, wa vyama vya siasa n watu binafsi...
Naona bwana mkubwa Ulega anaendelea kujitengenezea mazingira ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Yani yupo tayari kusomesha wanafunzi.
Haya tunasubiri tuone itakuwa mwendelezo au ndiyo lambisha...
Wakuu
Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega, akikagua maendeleo ya matengenezo ya barabara za Samora iliyopo Posta, katikati ya jiji la Dar es Salaam usiku huu.
Kupata taarifa, matukio na...
Lissu alidai kuwa moja ya upigaji wa fedha za chama yalifanyika kwenye kivuli cha malipo ya kukodi chopa wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu, kwakuwa mwenyekiti ndiye alikuwa anadai malipo ya...
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Mkoani Tanga, Timotheo Mnzava, amemwagiza Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo kuchukua hatua kali dhidi ya watumishi wa Kituo cha Afya Magoma wanaodaiwa kuwalipisha...
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura (Elimu) Dkt. Rose Likangaga akifunga mafunzo hayo kwa niaba ya Mjumbe wa Tume, Dkt. Zakia Mohamed Abubakar.
Mkurugenzi Msaidizi wa...
Abdul aliona mama yake anakosolewa vikali na upinzani ameamua naye kuingia kwenye michezo michafu mbaya Sana zaidi hata ya Hayati Magufuli kuipasua CHADEMA
Hadi sasa amefanikiwa kuivuruga chadema...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Ashatu Kijaji amegawa pikipiki 700 na vishkwambi 4,500 kwa ajili ya matumizi ya maafisa ugani wa sekta ya mifugo mkoani Morogoro.
Dkt. Kijaji amesema hatua hiyo...
BUSOKELO: Kanisa la TAG Latoa Tuzo kwa Mbunge Mwakibete Kutambua Kazi Inayofanyika Jimboni Busokelo
KANISA LATAMBUA KAZI ZA MBUNGE MWAKIBETE, AKABIDHIWA TUZO IBADA YA MWAKA MPYA 2025
Katika...
Ndugu wana Jamvi !
Mimi nimevuka salama kabisa
Please wale wafuasi wa Lissu na kama Lisu upo himu mwenyewe
Jibu hilo swalii.
Kwanini kila siku umekuwa unalalama kuhusu uchaguzi unayogombea...
Dkt. Damas Ndumbaro ambaye ni Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini amegawa Majiko ya Gesi 150 ya kupikia pamoja na Viambata vyake kwa Wanawake wa Kata 21 za Jimbo la...
USHAURI: (Mbowe & Lissu) na Wenje wajitoe kugombea uenyekiti na makamu uenyekiti mtawalia, ili kuinusuru CHADEMA, wagombee watu wengine kama akina Lema, Heche nk ambao hawana makundi ndani ya chama.
Hizi chaguzi zina raha yake jamani, huku Mbeya karibia kila Mtaa utakaopita unakutana na Magreda yakiendelea na kazi ya kurekebisha Barabara.
Hii huwa inatokea kila tuingiapo kwenye kipindi cha...
Najua wengi mtakuja kufukua hii thread ninayoiandika leo huku chama kinaenda kushinda urais kupitia mgombea wake ambaye atakuwa Tundu Lissu huu ni asilmia 100% upinzani unaenda kuchukua nchi...
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amewakabidhi Bodaboda wa Jiji la Arusha kiasi cha Shilingi 1,200,000 kwa ajili ya kutengeneza mfumo wa kuwezesha kusajili Bodaboda za Jiji la Arusha na...
MKUU wa Wilaya ya Ileje, mkoani Songwe, Farida Mgomi, amepongeza Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama ya Samia (Samia Legal Aid) kwani katika mikoa ambayo imefikiwa na kampeni hiyo imeonesha...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameahidi kuwahudumia kimahitaji watoto wawili wa marehemu, Amani Kamguna Simbayao, aliyekuwa mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), aliyefariki Dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.