Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mbunge mstaafu wa Iringa mjini mchungaji Msigwa amesema Kimsingi yeye " HAJAIKIMBIA" Chadema ila Chadema ndio imemkimbia yeye Soma Pia: Mchungaji Peter Msigwa Awatupia CHADEMA Vijembe vya Moto...
0 Reactions
0 Replies
193 Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesifu ujasiri na uzalendo alionao Mwanassiasa Mkongwe Mzee Baraka Mohamed Shamte kwa kuweza kukwepa ghiliba na hadaa za upinzani na kuendelea kuunga mkono CCM. Pia...
1 Reactions
0 Replies
252 Views
Wakuu habari zenu, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ame-share picha hizi akiombewa mbele ya Madhabahu na Pastor Tony Kapola katika ibada maalum. Pastor Kapola alimwombea Makonda hekima na...
1 Reactions
6 Replies
492 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan yuko tayari kuendelea kushirikiana na viongozi wa dini kwa...
1 Reactions
15 Replies
790 Views
Wanaume wanaweza kuwa na mchango mkubwa sana katika kuwaunga mkono wanawake wanaotaka kujihusisha na siasa. Kwa mfano, wanaweza kuanza kwa kuwatia moyo na kuwa na mtazamo chanya kuhusu uwezo wao...
0 Reactions
0 Replies
208 Views
Katika nchi yetu ya Tanzania, kama ilivyo katika nchi nyingi nyingine, michezo, hasa mpira wa miguu, ina nguvu kubwa katika kuvutia na kuunganisha watu. Timu za mpira wa miguu kama Simba na Yanga...
2 Reactions
4 Replies
388 Views
Kwa muda mrefu wamekuwepo watu wanaoamini uongozi unahitaji nguvu za misuli na kutokana na misuli ya mwanamke kuwa dhaifu kuliko ya mwanamume sio busara kukabidhi uongozi kwa mwanamke. Watu hawa...
1 Reactions
12 Replies
447 Views
Hivi karibuni Mbunge wetu wa Iramba Magharibi na Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Lameck Nchemba alikuja kujiandikisha kwenye Daftari la Kupiga Kura kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa Serikali za Mitaa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna suala linalonitatiza na kuleta kero kwa wananchi kama mimi, nalo ni wimbi la mabango yanayoendelea kuwekwa kila kona yakimsifu Rais, kiongozi wa chama tawala, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni...
0 Reactions
1 Replies
250 Views
Katika ukanda wa Afrika Mashariki, Tanzania inaongoza katika kuimarisha ushiriki wa wanawake kwenye uongozi. Wanawake wanaochukua nafasi za uongozi wanatoa mfano bora kwa wenzao, wakionesha kuwa...
2 Reactions
3 Replies
580 Views
Wakuu habari zenu, i hope mko ok wote. Huwa najaribu sana kutozungumzia habari za siasa, cas nina marafiki wengi na watu wa karibu ni wanasiasa, tena wa ccm[emoji30] ndo sababu huniwia vigumu...
3 Reactions
27 Replies
872 Views
Kamishina wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Awadhi Haji amesema kuwa mtazamo wa kudhani kwamba Jeshi la Polisi linakandamiza baadhi ya vyama vya siasa sio wakweli. "Wakati...
0 Reactions
8 Replies
622 Views
Ushiriki wa wanawake katika uongozi si tu suala la haki na usawa bali pia huboresha ubora wa utawala wenyewe kwa kuimarisha utofauti, kukuza usawa, na kushughulikia mahitaji ya raia wote...
1 Reactions
22 Replies
724 Views
Wanaume watoe ruhusa kwa wanawake kuingia katika uongozi Na Thuwaiba habibu Sheha wa michamvi Khadija hassani haji amewaomba wanaume watoe ruhusa kwa wanawake kushiriki katika uongozi...
0 Reactions
0 Replies
107 Views
Kuna wimbi kubwa sana la watanzania ambao wameupuuza huu uchaguzi wa serikali za mitaa na Mimi nikiwepo. Niwapongeze kwa kuchukua maamuzi yao kikatiba na kibinafsi kufanya maamuzi bila bugudha...
2 Reactions
10 Replies
291 Views
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia Kamati yake ya Maudhui imefungua mashitaka dhidi ya Jambo Online TV, ikidai kuwa kituo hicho cha habari kimekiuka Kanuni za Mawasiliano ya...
14 Reactions
142 Replies
5K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha shilingi milioni 50, katika harambee ya ujenzi wa shule ya msingi na uchangiaji wa majengo ya zahanati unamilikiwa...
1 Reactions
0 Replies
254 Views
Aliyejitambulisha kuwa ni Mchungaji wa Kanisa la Uamsho na Matengenezo ya Kiroho Ulimwenguni, Mwalimu Augustine Tengwa akiambata na wenzake wamevishauri vyombo vya ulinzi na usalama kusimama vema...
1 Reactions
0 Replies
226 Views
Naomba kujuzwa wakuu kuna Ofisi nimeenda Ofisi ya Mkuu wa Mkoa muda wa kazi watumishi wa Ofisi husiku wote hawapo, hii imekaaje? Nimeondoka bila kupata huduma yoyote nimepoteza muda na pesa...
0 Reactions
7 Replies
503 Views
Mbunge wa Jimbo la Busokelo, Mhe. Atupele Fredy Mwakibete leo Tarehe 10/10/2024 ameunga mkono jitihada za Wazazi na Wananchi katika Ujenzi wa Nyumba ya Mwalimu shule ya Sekondari ya Wavulana...
0 Reactions
5 Replies
285 Views
Back
Top Bottom