Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Walimu acheni tamaa. Hizi fursa za muda mfupi achieni majobless, mbaya zaidi kwakua assessment inafanywa na watu kutoka halmashauri basi mwajiri wao anawadaka ili walimu tu maana watumish wengine...
14 Reactions
50 Replies
2K Views
Kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa Itapendeza kama tutachagua viongozi wa vijiji, mitaa nk kwa kufuata elimu walau kidato cha nne Nimeona wenye viti wa...
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Kufuatia Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kudaiwa kuviondoa kwenye orodha vituo vya kupigia kura vilivyokuwa kwenye Tarafa ya Ngorongoro na kupelekea hali ya sintofahamu kwa wakazi wa maeneo...
0 Reactions
4 Replies
467 Views
Kama utapata muda wa kupitia bandiko hili toa miwani yako ili usome kwa kutumia macho yako. Nimeona kuna watu wameanza kutupwa mtoni potelea mbali kama mbwai iwe mbwai. Kibaya zaidi naona ugomvi...
10 Reactions
18 Replies
934 Views
Viongozi wa Tanzania wana kalba ya kutamka maneno ya kuudhi na kutweza wananchi, Huyo alietamka hivyo sijui alikua kalewa au kavimbiwa, yaani eti kiongozi unajisifu Kwa kuiba kura dunia ya leo...
2 Reactions
17 Replies
638 Views
Watumiaji wengi wa TikTok hawana maadili. Badala ya kumfungia mtu mmoja mmoja, ni afadhali wakafungia mtandao, hadi pale elimu itakapotolewa kuhusu matumizi ya mtandao huo. Binafsi sina account...
7 Reactions
66 Replies
2K Views
Kadi ya kupigia kura inafanywa kidigitali sana na mpaka inajulikana zipo kadi ngapi za wapiga kura. Ila ikifika swala upigaji kura tunaanza kuangaika na makaratasi ambayo mifumo yake inaonesha si...
2 Reactions
3 Replies
280 Views
Senior DP Members USA wamethubutu Kukataa Biden asigombee kwa kuona hana Uwezo, je, na Senior MCC Members in AZT nao wataweza Kumkataa Mtu 2025? Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa...
2 Reactions
4 Replies
343 Views
Mchungaji Msigwa Ukihitaji salamu subiri kwanza Utopolo wamkung'ute, Kolo 5 - 1 hiyo tarehe 8, tofauti na hapo utaula wa chuya! Bado nashangazwa sana na Siasa anayoifanya mtu mzima Peter Msigwa...
2 Reactions
6 Replies
477 Views
Ukweli ufichwi mtaficha nyie hapa JF ila kumbuka hupo sehemu hata jf uwezi kuwepo. PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Nape asilaumiwe, hata Rais Samia aliwahi kunena kauli inayoendana na yake
4 Reactions
7 Replies
419 Views
Kwa wale Matomaso (Wabishi wa Kuelewa daima) mkitaka kuliona hili tafadhali tafuteni Clip ya Msigwa alipokuwa akijiunga rasmi na CCM pale Ikulu/CCM Lumumba na zile Hafla mbili za nyuma za Wanawake...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Uchaguzi utafanyika katika Mitaa yote 564 ya Jiji la Dar ikiwa na Mgawanyo wa Wilaya ya Ilala Mitaa 159, Kinondoni Mitaa 106, Temeke Mitaa 142, Kigamboni Mitaa 67, Ubungo Mitaa 90. Hatua...
0 Reactions
1 Replies
366 Views
Kampeni ya mwaka huu itakuwa ngumu kwa sababu vyama pinzani vitakuwa na uelekeo wa kuungana mfano ACT itaungana na Chadema, CUF itajitegemea tuna vyama vingi tunatarajia watakuwa na mfumo wa chama...
0 Reactions
4 Replies
285 Views
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema yeye binafsi atabeba gharama zote za matibabu ya Kijana Edgar Mwakabela (27) maarufu Sativa, kuanzia sasa mpaka atakapopona kabisa pamoja na...
3 Reactions
90 Replies
3K Views
Habari . Ebu tuambie Mbunge yupi unatamani asirudi bungeni na utaje sababu? Gwajima Hakuna alichofanya kawe. Babu tale siasa 2020 ilimbeba sasa ni muda wa kusimamia majukumu ya kimziki. Ummy...
0 Reactions
10 Replies
691 Views
Taifa linamsikiliza Waziri wa Fedha akiwasilisha bajeti yeye anatumia dakika karibia 10 kumpiga vijembe Tundu Lissu na Muungano. Au mimi ndio sielewi? Lissu anahusiana nini na Bajeti Kuu ya...
3 Reactions
16 Replies
632 Views
Kwanza nianze Kusema by 2025 zaidi ya watu milioni 10(watanganyika) na watu laki mbili wazanzibar kulinganisha na 2020 watakuwa wamefikisha Umri wa angalau miaka 18, na Hawa wengi ni vijana...
5 Reactions
37 Replies
948 Views
Tunaweza kujifunza mambo kadhaa kutokana na uchaguzi uliofanyika Afrika Kusini na India: Afrika Kusini: 1. Mchakato wa Demokrasia: Uchaguzi wa Afrika Kusini unaonyesha umuhimu wa mchakato wa...
1 Reactions
1 Replies
194 Views
SHEMSA MOHAMMED AMBAYE NI MLEZI WA TAMADUNI NA WAGANGA WA TIBA ASILIA NA MLEZI SUNGUSUNGU KANDA YA ZIWA WAGAWA ZAWADI KIASI CHA PESA MILION NANE ( 8,000,000/=) MBINA YA THELATHINI Mwenyekiti wa...
0 Reactions
1 Replies
277 Views
Chama cha Mapinduzi (CCM)mkoa wa Kilimanjaro, kimejibu mashambulizi yaliyoelekezwa kwa chama hicho na serikali kutoka kwa viongozi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Mwenyekiti...
0 Reactions
2 Replies
384 Views
Back
Top Bottom