Uchaguzi wa serikali za mitaa upo jirani sana, Wagombea kutokea vyama mbalimbali wameanza kujipanga ili waweze kupata ridhaa ya vyama vyao.
Sambamba na hilo pia uchaguzi mkuu ni hapo mwakani tu...
Mhashamu Stephano Musomba OSA Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, amesema ya kuwa tukumbuke nafasi zetu katika jamii na sio kupenda kusifia hovyo kwani kufanya hivyo ni kuumiza wengine...
Tanzania ina historia ya kuwa na wanasiasa wa kike wenye ushawishi mkubwa katika ujenzi wa taifa na kuleta mabadiliko chanya.
Wanawake hawa wamekuwa mstari wa mbele katika kukuza siasa, kuongoza...
Huu mfumo hauko sawa na wizi wa kura utaendelea kwa mtindo huu, sijui huu mfumo wameutenegeneza vipi vitambulisho vinatoka na namba ni tofauti.
Kwa hali hii uchaguzi unaokuja utazidi kuwa wa...
Inaonekana trend mpya mjini ni kugalagala kwani baada ya Jenista Mhagama kugalagala juzi mkoani Ruvuma, mtangazaji na mwanamitandao maarufu Mwijaku nae ameunga tela!
Kuna video inasambaa...
Wanabodi,
Mwandishi wa EATV ambaye jana alikamatwa kwenye maandamano ya CHADEMA siku ya jana, amezungumza kwenye kipindi cha The Drive ambapo alisehoji kuhusu kukamatwa kwake na jinsi ambavyo...
Waandishi wa Habari Wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) na mmoja wa EATV wamekamatwa na Jeshi la Polisi walipokuwa wakiripoti katika #Maandamano ya Amani yaliyoitishwa na...
Ni wazi kwamba Rais nchi imemshinda. Ile hotuba yake ya kwamba amejigeuza chura kiziwi sasa naanza kuielewa.
Ni kwamba hatokaa asikilize kelele za aina yoyote. Kama kiongozi ukiziba masikio...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000...
Wale ambao tukiajiriwa au kupata hela kidogo tu tunatafuta wadada wa kazi.
Wale tusiojua kupika, kuna la kujifunza hapa.
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea...
Waganga wa Tiba asili waomba kutohusishwa na matukio ya ukatili yanayotokea kwenye jamii kwani wao hawahusiki na kuwatuma watu wafanye ukatili badala yake wameomba kupewa thamani kama ambavyo...
Akiwa anaongea siku ya jana kwenye tukio la Faraja Ya Tasnia Steve Nyerere alinukuliwa akisema:
Wote hapa mnajua mnatambua, taifa la Tanzania katika Afrika ndio taifa lenye uhakika wa amani...
Hawa wenzetu wanajionaga wapo tofauti na sisi au? Yani wao wana ulimwengu wao wa kuishi ni kama wametutenga Ila sisi jamii ndo tunajipendekeza kwao.
Kwasababu wao wakiumwa hutaskia Samia wala...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amevitaka Vyombo vya Usalama vilivyopo chini ya Wizara hiyo kujiandaa na chaguzi zinazokuja ikiwemo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
Nawauliza tu, nataka idadi ifike ngapi? Maana kazi kulalamika tu baada ya siku mbili mnaletewa connection ya gigy money, mnasahau!
Mnataka wafe wangapi?
CHADEMA badala ya kuandamana na mambo ya...
Wakati vyama na wadau wakianza kujiweka mguu sawa na uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika baadaye mwaka huu, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kina hakika wa kupata ushindi wa kishindo...
Nilikuwa najiuliza kwanini watu wengi husema kuwa kama usipomalizia Kibanda chako au usipojenga Kipindi cha Uchaguzi Mkuu (hasa katika Nchi za Afrika) basi sahau tena kujeng.
Kwani Kipindi hicho...
NB: Video hii ni kumbukizi wakati wa Kampeni za Uchaguzi mwaka 2020
Huyu kiongozi ana mkashifu Mwenyezi Mungu, oky sikiliza mpaka mwisho.👇
"…sikiliza ana mpango gani na tawi lake halafu...
Na Mwandishi wetu.
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Mara, Simiyu na baadhi ya halmashauri za mkoa wa Manyara utafanyika kwa siku saba kuanzia kesho tarehe 04 hadi 10...
BASHUNGWA ATOA WITO KWA WATANZANIA KUJITOKEZA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa watanzania wenye sifa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.