Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kama kichwa cha habari kinavyosema hizi ni sababu zangu 100 zitakazonifanya nimchague Rais Samia katika uchaguzi mkuu wa 2025, zingatia kuwa hizi ni sababu zangu binafsi na siyo sababu zako. 1...
2 Reactions
73 Replies
1K Views
Kila nikimtazama mh Rais naona hafurahishwi na mambo ya ovyo yanayoyofanywa na watendaji wake. Nadhani anakwepa mgawanyiko katika Chama chake maana anataka ajenge umoja kuelekea uchaguzi mkuu ili...
2 Reactions
18 Replies
518 Views
Na Thabit Madai, Zanzibar Zanzibar ya sasa inashuhudia mabadiliko makubwa katika ushiriki wa wanawake katika uongozi, ikilinganishwa na enzi za zamani. Kwa mara ya kwanza tangu mapinduzi ya...
1 Reactions
0 Replies
176 Views
Hakuna ubishi kuwa trending ya matokeo ya hivi karibuni inaonesha CCM inashinda kwa kishindo kikubwa,kwa mwenendo huu inawezekana kwenye uchaguzi mkuu wa mwakani hali ikaendelea hivi hivi lakini...
0 Reactions
2 Replies
232 Views
Manispaa ya Temeke wamekata posho ya waandikishaji wa orodha ya wapiga kura licha ya wengi wao Leo kukosa chai Rais Samia anahujumiwa. Habari ndio hiyo Rais Samia ana hujumiwa na watendaji wake wa...
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Wakuu salam, Hivi karibuni internet imekuwa changamoto kweli, wakati mwingine unakuwa huwezi kufanya chochote zaidi ya kucheza game. Kadri siku zinavyoenda hali inazidi kuwa mbaya Na hii ni...
4 Reactions
37 Replies
938 Views
"Niliishiwa na nguvu, baada ya kutolewa katika chumba cha kupigia kura, wakati Mimi nilikuwa ni mgombea halali wa uwakikishi Jimbo la Malindi Mwaka 2020," anasema Khadija. Wakati wa Uchaguzi Mkuu...
0 Reactions
0 Replies
291 Views
Habari za siku mbili tatu wakuu na wananzengo hapa jukwaani? Hi video ni ile ya uchaguzi Mkuu 2020 nimeitumia hapa kutaka kusema kitu kuhusu hizi chaguzi Unajua kwa kawaida kabisa ni wazi...
0 Reactions
1 Replies
235 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kagera, Mhe. Oliver Semuguruka amefanya Kitendo cha Utu, huruma na mfano mzuri wa kuigwa baada ya kuamua kumlipia deni mkazi mmoja wa Mkoa wa Iringa aliyekumbiwa na...
2 Reactions
11 Replies
558 Views
Muda wa uchaguzi ni kipindi cha kipekee katika mchakato wa kisiasa, ambapo wagombea na vyama vya siasa hutumia kila mbinu kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda kura. Katika mazingira ya...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Mbunge wa Ukonga ambaye pia ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amegawa majiko ya gesi ya kupikia kwa mama lishe jimboni kwake, ikiwa ni sehemu ya kampeni ya...
0 Reactions
1 Replies
397 Views
1. Ficheni mipango yenu ya Kisiasa 2. Acheni kuwaamini 100% Wake zenu na hasa Madereva wenu 3. Kuweni makini na Vinywaji mnavyokunywa hasa maeneo ya Mapumziko 4. Kataa kuwa na Chawa kwani Mafia...
13 Reactions
17 Replies
793 Views
Zanzibar: Asha Bakar (40) mtoto wa mwisho kati ya watatu wa familia ya Bakari Juma, Asha ambaye pia ni mama wa Watoto watatu, anayeishi na mume wake kisiwani Unguja, anasimulia safari yake ya...
0 Reactions
0 Replies
359 Views
Na -Nishan Khamis Zanzibar: Mitandao ya kijamii imeleta mapinduzi makubwa katika mawasiliano ya kisasa, ikitoa fursa za kipekee kwa viongozi, wakiwemo wanawake, kujitangaza, kujenga majukwaa ya...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Hii ni kutokana na utegemezi wao mkubwa kwa rasilimali za asili, kama vile maji na ardhi kwa ajili ya kilimo, ambazo huathirika moja kwa moja na mabadiliko ya hali ya hewa. Ukame, mafuriko, na...
1 Reactions
2 Replies
384 Views
Vyombo vya habari vina wajibu mkubwa wa kuripoti kwa umakini na usahihi habari mbalimbali hasa zinazohusu uchaguzi ili kuipa jamii kile ambacho inachostahili. Wakati wa kampeni waandishi wa...
0 Reactions
0 Replies
271 Views
KUSITISHWA KWA MUDA LESENI ZA HUDUMA ZA MAUDHUI MTANDAONI ZILIZOTOLEWA KWA MWANANCHI COMMUNICATIONS LIMITED Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ni Taasisi ya Serikali iliyoanzishwa kwa Sheria...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
Rushwa ya ngono ni matumizi mbaya ya madaraka ili kujinufaisha kingono visivyohalali au pasipokuwa na makubaliano ya pande zote mbili. Kwa mujibu sheria ya kuzuia Rushwa na Uhujumi Uchumi...
1 Reactions
2 Replies
327 Views
Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Joseph Kasongwa Mwaiswelo, amesema utafiti wa taasisi hiyo uliofanyika mwaka 2020 umebaini kuwa asilimia 23 ya...
1 Reactions
6 Replies
335 Views
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua umuhimu wa kukuza usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa Wanawake. Uwepo wa sera ya Maendeleo ya Wanawake na Jinsia ya mwaka 2000 na Mkakati wa...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Back
Top Bottom