Baada ya ukimya wa muda mrefu, hatimaye Edigar Mwakabela maarufu kama Sativa ameweka ujumbe unaotoa dokezo kuwa Jeshi la Polisi ndilo lilihusika kumteka wakiwa na lengo la kumuua.
Amesema ujumbe...
Na Thuwaiba Habibu, Zanzibar.
"Wanawake wamekuwa wakilalamika wakichukua fomu wanaanza kufatwa kwamba wao' si mna viti vyenu Maalumu ' tuachieni sisi huko ( jimbo), ndio maana tuna sema kuna...
Na Thuwaiba Habibu, Zanzibar.
Sensa ya watu na makaazi ya
mwaka 2022 inaonesha Zanzibar ina watu 1,889,773 kati ya hao wanaume ni 915 ,492 huku wanawake ni 974 ,281 hii ikimanisha wanawake ni...
Wakishapewa mikopo na bahasha wanaongea tu none stop.
Kila mtanzania anaepata nafasi ya ulaji anabadilika moja kwa moja.
Kila mmoja anaangalia tumbo lake hata kama litakost wengine.
Pesa ya...
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Ndugu Faris Buruhani, ameongoza BONANZA la mpira wa miguu kati ya timu za mashabiki wa Simba na mashabiki wa Yanga iliyochezwa katika uwanja wa shule ya Msingi...
Kuelekea kuadhimisha siku ya Kuzaliwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan Wananchi wa kijiji cha Kizimkazi wameungana pamoja katika Dua maalum ya Kumuombea kheri ya...
🇹🇿 CHADEMA ni chachu ya mabadiliko tunayoyahitaji! Ni muda wa kujiunga na harakati kwa vitendo. Jiunge sasa kupitia kadi za wanachama zenye hadhi tofauti: Tanzanite, Diamond, Platinum, Gold...
Wakuu nimejaribu kutafakari kidogo kwa haraka, pamoja na uwepo wa Mheshimiwa Doto Biteko kama msaidizi wa waziri mkuu wa sasa Mheshimiwa Kassim Majaliwa.
Naona bado kuna namna Mheshimiwa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amesema sherehe ya harusi yoyote itakayokuwa inafanyika Mkoani Arusha na kuhusisha wasiokuwa Wakazi wa Mkoa wa Arusha, Serikali ya Mkoa chini yake...
Huwa sio mpenzi wa siasa tangu mwaka 2010 niliachana na siasa kabisa kwa sababu kadhaa wa kadhaa.
Ni warudishe nyumba kidogo mwaka 2020 Lissu alipokuwa akichuana na JPM kwa watu wa kanda ya ziwa...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemkabidhi tuzo na zawadi ya Tsh. milioni 5, Mkazi wa Tegeta Jijini Dar es salaaam, John Malole ambaye aliwaokoa Watumishi wa TRA walioshambuliwa Tegeta...
Nilifuatilia mkutano mkuu wa CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio, nikajua hapa tayari
Wale waliokua wanakusudia kuchukua form na kupambana na mama itabidi warudishe mikia yao tumboni...
Inasemekana kuwa Ilikupooza mpasuko ndani ya CHADEMA, Lisu katulizwa kuwa hata kama akishidwa atapewa nafasi ya kugombea Uraisi kupitia Chadema.
Ila nafasi ya uenyekiti ibaki kwa Mhe. Mbowe.
TAARIFA KWA UMMA
UPATIKANAJI WA HUDUMA YA UMEME KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM
Jumanne, 21 Januari 2025
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautaarifu umma kwamba hali ya upatikanaji wa huduma...
"Inaonekana hali ya kisiasa itakuwa ngumu na huenda hali hiyo ikasababisha Wanawake kutokugombea kwa hiyo lazima kuwajengea uwezo."
Hayo yalizungumzwa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria (OUT)...
Wakili na mwanaharakati Tito Magoti amewataka wahitimu kuacha kutumika kusambaza hashtags na badala yake watafute kazi za kufanya za kuwaingizia kipato wasitumike kama TP.
Kupata taarifa na...
Leo tarehe 16 Januari 2025 muda huu tuko road kuelekea makaburini kumzika dogo mmoja mtoto wa dada ambaye alikufa kwa ajali ya pikipiki almaarufu bodaboda.
Huyu kijana alikuwa bodaboda, jana...
Katikati ya mahojiano yaliyofanywa na kituo cha televisheni cha Clouds mapema leo na Tundu Lissu ambaye ameonekana akimkosoa mwandishi wa kituo hicho Kijakazi Yunus ambaye katika uulizaji wake wa...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akizungumza na wanahabari leo Januari 15 Makao Makuu ya chama hicho Magomeni Dar Es Salaam amesema “Wakitokea watu wanataka kujiunga ACT Wazalendo kutokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.