Kauli ya aliyekua mkuu wa wilaya ya Loliondo mkoa wa Arusha Marco Ng’umbi kua serikali iliwezesha ushindi wa madiwani na baadhi ya wabunge nchini katika uchaguzi uliopita, imetibua kidonda cha...
Najiuliza swali kubwa Sana. Hivi inteligensia ya Polisi wa Tanzania ni Kwa CHADEMA tu?. Yani CHADEMA ndio pekee wanaomulikwa na polisi?
Binti anabakwa na vijana Sita na polisi hawajui mpaka Video...
TUFANYE KWAMBA WOTE WALIKUBALI WATASHIRIKI MDAHALO HUU.
SWALI
Je kulikuwa na makubaliano yoyote kwamba kama hatoshiriki Dr nchimbi basi waliobaki wote wasishiriki ?
mjadala huu haukuwekwa...
TAARIFA KWA UMMA
Agosti 28, 2024 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilitoa maamuzi yakekuhusiana na_ shauri lililowasilishwa mbele yake ambapo miongoni mwamaamuzi iliyotoa ni pamoja na kutoa...
Wananchi mkoani Manyara wameaswa kujitokeza kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwakuwa hiyo ni haki yao kisheria.
Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa...
Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akizungumza wakati akifungua mkutano wa siku moja wa Tume na Wadau wa Uchaguzi uliofanyika leo Agosti 25...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema, CCM ITABAKI MILELE madarakani sababu ni moja tu wanaowaongoza ni wananchi masikini sana.
Huwa nashangaa mfano mbunge anakuja watu wanamchekeachekea tu...
Wakuu, heshima kwenu!
Moja kwa moja kwenye hoja yangu.
Hivi karibuni 'Tume huru ya Taifa ya uchaguzi', ilitangaza kuanza kuandikisha/kuboresha/kurekebisha daftari la kudumu la wapiga kura, kwa...
Kwamba, kwa kuwa Dr. Sulle kagundua kuwa Wamasai walioandamana Ngorongoro si Watanzania bali ni Wakenya wenye nia mbaya dhidi ya Tanganyika, inaonesha ya kwamba yeye yupo makini zaidi kuzidi...
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kikidai kukamatwa na Jeshi la Polisi na kuendelea kushikiliwa kusikojulikana watu watatu wakiwamo viongozi wa wawili wa chama hicho wilayani...
Muda wote akiwa mbunge na waziri wa Ardhi wala hakujisumbua kujishughulisha na maendeleo ya Jimbo lake
Sasa dakika za jioni anagawa TV kwenye vijiwe vya kahawa na bodaboda.
Jimbo la Ilemela Lina...
YAH: TAARIFA KWA UMMA.
Jumuiya ya Wanafunzi wa Sayansi ya Siasa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DUPSA) tumesikitishwa na kulaani matukio na taarifa zifuatazo.
Mosi, Tangazo la Kiongozi wa Chama Cha...
Kwa siku za hivi karibuni kumeibuka hali ya kizungumkuti katika eneo la Tegeta-Wazo kufuatia eneo lililokuwa la uwanja wa mpira Panga ambalo ni la umma kuchimbwa msingi ikidaiwa kuwa Serikali...
Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote.
Moja Kwa moja, mimi sio mwanaharakati na sitaki kujihusisha.
Pamoja na hayo nikipata nafasi ya kuwasikiliza Hawa jamaa ni kama hawana mwelekeo...
Kwanini sijaumia kwa Taarifa nilizosikia sababu ni kwamba hawa hawa wanaolia leo na kulalamika wakiwa Matibabuni Hoi ndiyo walikuwa wakimsema Hayati Magufuli na wa sasa alipoingia wakawa...
Hakuna sababu ya kuzuia political activity. Vijana wanalia, literally,kwa sababu wananyimwa haki zao za kikatiba. Msajili wa vyama badala ya kufacilitate political activity,yeye anataka kuizuia...
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Tanganyika huru. Nilikuwa mapumziko ya likizo ndefu nimerejea tena jukwaani na hii ndio mada yangu ya kwanza.
Kwa sheria na kanuni za Kazi duniani kote kila...
Utasikia kuwa Rais ajaye hawezi kutoka dini fulani kwa sababu Rais aliye madarakani tayari ni wa dini hiyo.
Rais hawezi kutoka kanda fulani kwa sababu hiyo kanda ilishatoa Rais.
Rais hawezi kuwa...
Nimekutana na Clip ya Mheshimiwa Rais ikielekeza watanzania kutii na kuacha miradi ya serikali ipite kwenye maeneo yao na ikishakamilika ndo wadai fidia.
Nimejaribu kujiuliza hivi Rais amewaza...
Nilidhan atakua mtu wa haki na mfata sheria na mkemea maovu ila kawa tofauti sana, ni kama vile hajari kabisa hali za wananchi.
Zile 4R zake madhan ni kwa ajiri ya CCM na CDM na si vinginevyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.