Can hupa ya maji ya plastiki yenye kifuniko cha bluu. Ina lebo yenye maandishi yanayosema "RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA" na "Hongera Mh. Rais." Inaonekana kuwa ni bidhaa maalum...
Ndugu zangu, kuanzia Mbezi mwisho kwenda Goba na mitaa yake (Kwa Robert, Muhimbili, Mageti n.k) maji ni changamoto karibia wiki ya pili sasa.
Na hili joto tunaishia kuoga jasho tu, mamlaka husika...
Mbona kwenye ile nchi ya Colombia utapeli na kutojali ni kama vile sehemu ya maisha karibu kila nyanja?
Kwa mfano, mtu ametoka jimbo moja kwenda jimbo lingine kutazama mechi ya dabi, amekata...
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala ametoa wito kwa viongozi kuhakikisha wanawasaidia vikundi mbalimbali ili wajue namna bora ya kutimiza vigezo vya kupata mkopo wa aslimia 10 unaotolewa...
Hebu mtazame mama huyu kutoka kitongoji cha Luami, wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro.
Tangu anazaliwa mpaka anakua mtu mzima anashuhudia wanawake kama yeye wakitembea umbali wa kilomita 5...
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa rai juu umuhimu wa nchi za Afrika kushirikiana na kuibua Wagunduzi wake ili kuzalisha teknolojia yake badala ya kuendelea kuwa tegemezi.
Dkt...
Ni muhimu kuthibitisha kila picha unazokutana nazo mtandaoni zikihusishwa na matukio tofautitofauti ili kupata uhalisia kabla ya kuendelea kuwasambazia wengine.
Kumbuka unapofanya uhakiki wa...
Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, ametoa kiasi cha fedha shilingi milioni 10 kusaidia kukamilisha ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Majengo, Kata ya Ilenza, ambayo ujenzi wake...
Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Mhe Juma Chikoka amezindua utoaji wa Huduma za Afya kwenye Kituo kipya cha Afya cha Kata ya Makojo (vijiji vya Chimati, Chitare na Makojo)
Jimbo la Musoma Vijijini...
Huyu mwenzenu ameshasema "Count me out", amesema yeye kubeba zege, kulima bado sana, hayo tuachiwe wanaume.
Kumbuka kauli mbiu ya mwaka huu ni “Kwa Wanawake na Wasichana Wote. Usawa. Haki na...
1. Tumesikia na kushuhudia timu za Simba naa Yanga zikipigwa fainj na TFF kwa wachezaji wake kuingia uwanjani kwa kuruka ukuta eti kwa kisingizio chaa kuukwepa uchawi.
Pia viongozi na mashabiki...
Wakuu,
Akiwa kwenye maashimisho ya kitaifa ya siku ya wanawake, Rais Samia amesema kuwa pamoja na harakati za usawa baina ya mwanamke na mwanaume zinazoendelea lakini huwa kuna mambo hayana usawa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amekipongeza Chuo cha Uhasibu Arusha pamoja na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma...
Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Mheshimiwa Ummy Mwalimu, amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi bilioni 10 kwa ajili ya...
Katika miaka ya hivi karibuni, ugonjwa wa misplaced priorities umekuwa janga sugu miongoni mwa Watanzania. Tunaishi kama watu waliopoteza dira—tukisherehekea anasa na matumizi ya kipuuzi huku...
Uongozi wa CHASO yaani Chadema students Organization umeshuhudia uvunjifu wa Sheria unaoenda kufanyika katika chuo cha Mwalimu Nyerere baada ya kufatilia ilo uongozi uliandika barua kwenda kwa...
Ni masaa kadhaa tangu shirikisho la mpira wa miguu Tanzania, TFF kutoa taarifa rasmi ya kuahirishwa kwa mchezo na 178 wa ligi kuu Tanzania bara huku mashabiki na wadau wa soka nchini wakiachwa...
Hili tatizo la hawa watoto waliokosa malezi bora kwenye familia zao (Panya Road) linazidi kuwa kubwa siku hadi siku. Sababu kubwa wahusika wanadili na matawi, badala ya kuchimbua mizizi ili shina...