Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza nyumba ya familia ya Bibi Maria Kaudidi Mkazi wa Kijiji cha Urauri Kata ya Rea Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro nakuicha familia hiyo bila...
Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Rashal Energies, Farhiya Warsame, inayojenga Bomba la Gesi kutoka...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Rashal Energies, Farhiya Warsame, inayojenga Bomba la Gesi kutoka...
Naibu Waziri wa Viwanda na biashara na Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Exaud Kigahe,ameitaka kampuni ya Mwenga Hydro power kuboresha huduma zake ili kufikisha nishati ya umeme kwa Wananchi wa...
Kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu mkoani Arusha, Juma Hokororo, amemtaja Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kama chachu ya maendeleo kwa...
Kuna tatizo kubwa kwa upande wa biashara ya mafuta, mfano leo 4 March 2025 (kila Jumanne mwanzo wa mwezi, wiki ya kwanza, kabla bei ya mafuta haijatajwa kama itashuka au itapanda), makampuni mengi...
Dar es Salaam, 6 Machi 2025 – Benki ya Exim Tanzania imeandaa futari maalum jijini Dar es Salaam, ikikusanya pamoja Wateja wake, viongozi wa dini, na wadau wakuu kwa jioni ya shukrani, mshikamano...
(HISTORY OF THE ASH RITUAL)
1. ASILI YA MAJIVU KATIKA BIBLIA
(ORIGIN OF ASHES IN THE BIBLE)
Majivu yametumika tangu nyakati za Agano la Kale kama ishara ya toba, huzuni, na unyenyekevu mbele ya...
Nimekutana na Mabinti wengi ambao Wana akili na mtazamo wa aina hii kuwa wakiwa kwenye mahusiano na mtu na wakafanikiwa kuzaa basi wataolewa.
Mmoja akaniambia kuwa amepata mwanaume mzuri...
Katika dunia inayojaa changamoto zisizokwisha—mahusiano yaliyovunjika, matatizo ya kiuchumi, ndoto zilizokwama—watu hutafuta suluhisho kwa njia mbalimbali. Wapo wanaotumia akili zao kutafuta njia...
Uchakavu wa Choo cha wanafunzi katika Shule ya Msingi Kiselu iliyopo Kata ya Machame Uroki Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro uliyokuwa ukihatarisha usalama wa wananfunzi katika shule hiyo kutokana...
Akizungumza katika maadhimisho ya miaka 50 ya kuanzishwa kwa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Kauli mbiu ya 'Kitabu Kimoja Mwanafunzi Mmoja' itasaidia...
Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu mkoani Shinyanga, imetenga fedha kiasi cha Sh.bilioni 1.3 kwa ajili ya kuwapatia wajasiriamali mikopo isiyokuwa na riba ili kukuza mitaji yao na kuondokana na...
Hii ni moja ya mada inayozungumzwa sana baina ya watu, na ina maoni tofauti kutokana na mtazamo wa mtu na mtu.
Tunafahamu kuwa ni wazi suala la malezi ya watoto katika kipindi hiki yamebakia kwa...
Kulingana na Biblia kuna vitu viwili huondoa akili ya mtu navyo ni 1. Pombe na 2. Uzinzi.
Wakati huu ni wakati wa mwisho au dakika za nyongeza, watu kama wangetumia vizuri akili walizopewa na...
Ngono salama sio kuvaa condom tu. Kumbuka condom itaulinda mwili wako lakini kamwe haiwezi kuilinda roho yako dhidi ya roho na nyota mnazobadilishana mnapofanya ngono.
Kabla hujafanya ngono ni...
1. Kwenye elimu anapewa kipaombele mwanamke, hili liko wazi kabisa hata kwenye mifumo ya chuo ya admission.
2. Kwenye ajira ni sera yao kabisa kua mwanamke anapewa kipaombele, hili sio la kuficha...
Habari wadau
Kuna familia imepata msiba wa mama yao. Mama huyo amefariki kwa mateso makali ya kuugua kwa zaidi ya miaka 10. Mama huyo alikuwa na cancer na Stroke pia.
Familia imeuza mali zao...
Habari wakuu,
Natumai wote mko salama. Leo nimekuja na mada nzito, yenye kuibua maswali mazito kichwani. Wengi wetu tunaamini kuwa kifo ni mwisho wa kila kitu, lakini je, ubongo wako unazimika...