Habarini,
Yaani unampigia mtu simu kuongea labda maswala ya kazi amapokea simu huku akiwa anakula na kuendelea kuongea huku likitafuna chakula ni tabia ambayo inakera na siyo ustarabu.
Kwani...
Wadau wa JamiiForums,
Habari za wakati huu. Natumaini mnaendelea vyema katika shughuli zenu za kila siku. Leo ningependa tujadili mada yenye umuhimu mkubwa katika maisha yetu: "Ndoto 20...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema mwaka huu wanawake wameitika kwa kushiriki katika makongamano ya wanawake yaliyofanyika sehemu...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema mpango wa kuwa na bima ya afya kwa wote ni mzito na si mwepesi kutokana na umuhimu wake.
Pia, kuhusu suala hilo amelishukuru Bunge kwa kulipitisha huku akisema...
Leo ikiwa siku ya wanawake duniani Rais atakuwepo Arusha hivyo taifa linapaswa kumsikia. Hivyo nahisi kwa sense yangu ya Sita ambayo ni "intuition"
Hivyo tukio lilipangwa kimkakati kabisa.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametania kuwa nyama choma ya Arusha haina uhusiano wowote na mafundisho ya Dkt. Janabi kuhusu masuala ya afya.
"Mhe. Rais, sherehe zetu zilihitimishwa jana...
Wadau wa Jamiiforums, tujadiliane kwa uchungu!
Ndugu zangu, Afrika inalia, Tanzania inahenyesha! Tumepata uhuru wa bendera, lakini je, tunamiliki ardhi yetu? Je, tunafaidika na rasilimali zetu...
Ni muda muafaka sasa wa kuachana na soka la bongo na kurejea kwenye soka la Ulaya ( EPL, La Liga etc)
Miaka ya tisini soka la bongo lilikuwa on fire.
Mechi ya Simba na Yanga ilikuwa Simba na...
USARE; MBINU YA KUTAWALA NCHI NA DUNIA.
Na, Robert Heriel
Kwa maana nguvu ya utawala, mafanikio, mamlaka na ushindi waijuayo ni wachache. Hao ndio wenye kuheshimika, kutukuzwa na hata kuabudiwa...
Kuna sumu kali sana baina ya mwanamke na mwanamme kwenye jamii ambayo inahitajika kuondolewa kwa faida ya vizazi vijavyo.
Angalia matukio ya kikatili yanayofanyika. Kule Mwanza jamaa kampiga...
Wanabodi, Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye akili, uwezo, na utajiri. Je wanawake kumi ambao ni matajiri wakubwa Tanzania ni...
Wanabodi,
Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu katika taasisi...
Kuna taarifa zinazozunguka kwenye mitandao kuwa mechi kati ya Yanga na Simba haitakuwepo kwa sababu Simba wamesusia mechi hii kwa sababu wananazozijua wao wenyewe.
Swali langu. Kama mechi...
Ukiwa mpiganaji na upo Frontline utagundua kwenye majibizano ya risasi Huwa ni kama mchezo Fulani wa kutoana wazimu yaani watu wanafyatua risasi ovyo kuelekea kwa adui sio kila risasi eti lazima...
Iko hivi kwa mujibu wa kanuni za mpira TFF
Mwenye mamlaka ya kufuta mchezo ni Meneja wa uwanja pamoja meneja wa mchezo kanuni zinaeleza.
Mnamo tarehe 7 jioni hawa wote hawakuwa na taarifa...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane!
Ikiwa Leo ni Kilele Cha siku pendwa kabisa duniani,siku ya mwanamke,Napenda kuchukua fursa hii kumtakia heri Mjomba wangu GENTAMYCINE popote pale alipo...
Katika uzi huu tupia dondoo mbalimbali za kiusalama za kuzingatia katika mazingira ya nyumbani.
- Usilale na mitungi ya gesi ndani, tafuta sehemu nje ya nyumba uweke huko.
-Usiache nyaya za...
Mwili wa mwanamuziki mkongwe, Bi. Tabia Shabani Mwanjelwa, aliyefariki dunia Januari 25, 2025, huko Saarbrücken, Ujerumani, anakoishi na familia yake, unatarajiwa kuwasili nchini siku ya Jumatatu...