Sheikh Mazinge sahivi huna tena nguvu ya kumpinga Mwamposa, maana nawe unauza mafuta ya upako
Kwani Ustadhi Mazinge wewe ni mtani wa Wanyakyusa?
Maana unawaandama Wanyakyusa pamoja na Mwamposa...
Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Kenani Kihongosi amepamba kwa kuchanaaa mistari, Ni usiku wa mkesha kuelekea sikubya wanawake Duniani Kitaifa inafanyikia Arusha ambapo mkuu wa mkoa wa Arusha Makonda...
Kuna dada wa kazi alienda huko daslam baada ya mwezi akarudi baada ya kupata msiba,siku anarudi ngozi kama mzungu.alikaa kuomboleza kwa wiki mblIi akafubaa tena.
Wenzetuhuko daslam maji yenu ya...
Wakuu hali ni mbaya, joto limeongezeka maradufu , sehemu nilipo niewasha feni ila joto linasoma nyuzi joto 29C hali ni mbaya kunyweni maji mengi sana. Noamba kuwasilisha
"Siku moja mtanikumbuka, na mtanikumbuka kwa mazuri si mabaya"
"Nimetoa maisha yangu kwaajili ya Watanzania, msifikiri mafisadi wanapenda"
https://youtu.be/NaJCiQydU6U?si=i3Ux3On5vuQwMpuw
mimi ni dume rijali, la mbegu, la j.f miaka 35 sijaoa,miezi kama miwili iliyopita nikampata binti baada ya kuongea nae akakubali tuwe wachumba ila muda mwingi sipo nae karibu anaishi kwa wazazi...
Habari zenu
Naomba kuwapa nasaa kidogo vijana wa kiume na kike wanao jitafuta kimaisha. Hapa nitapenda kufikisha ujumbe huu kwa vijana wote wanao jitambua na kuelewa nini wanatakiwa kufanya...
Serikali imekamilisha ujenzi wa mradi wa kituo kikubwa Cha kibiashara na usafirishaji cha Afrika Mashariki kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es salaam.
Akizungumza Leo...
Ndugu zanguni
Ni muda sasa sijapost humu kwani nimekua bize sana na kazi
Nimekua nikiona na kusikia vijana wakilalamika sana kuhusu ajira. Napenda kuwajuza tu kua moja ya ajira ambazo huhitaji...
Mwanasiasa mkongwe na waziri wa zamani Profesa Sarungi amefariki dunia
Habari hii imethibitishwa pia na mwanaye Maria sarungi pamoja na msemaji wa familia, Martin Leonard Obwago Sarungi.
Prof...
Habarini wanajf wenzangu hope mko gud kabisa.
Direct niende kwenye topic imekua kama culture kwa vijana wanaomaliza na waliomaliza vyuo vikuu na vya kati kwa asilimia kubwa unakuta ni walevi...
Je wajua ya kwamba ndoto zaweza kuwa kweli? Wazungu wanasema dreams can come true...
Fanya yote maishani.. Pambana sana lakini usiache kumwomba Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema zote akujaalie...
Habari ya uzima wakubwa kwa wadogo, natumaini uzima upo lakini wale ambao Wana shida ya Afya basi Mwenyezi Mungu awajalie uzima.
Niende kwenye shida yangu, mm ni kijana nina Miaka 20, shida yangu...
Sitosahau siku nilipotaka kufa pale kiwandani
Ilikua mapema tar. 1/June 2022 nilipitia kipindi kigumu sana baada ya kuyumba kiuchumi na degree yangu mkononi ikanilazimu kujizima data na kutafuta...
Bwana Yesu asifiwe! Nimeanzisha huu uzi maalumu na mahususi kwa wapenzi wa nyimbo za injili. Hapa tutakuwa tunabadilishana nyimbo mbalimbali za injili za sasa na zamani. Huenda kuna mtu anautafuta...
Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye Sheria inayoruhusu Adhabu ya Viboko kwa Wanafunzi Shuleni licha ya adhabu hiyo kutajwa na kupigwa marufuku kwenye takriban Mataifa 51 ikielezwa kuwa ni ya...
Jeshi la Polisi Wilaya ya Kibondo Mkoa wa Kigoma linamshikilia Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Wilayani humo Irving Mutegeki kwa tuhuma za kukutwa na meno ya Tembo.
Mutegeki Bagasheki...