Wenye akili ambao hawazitumii akili zao km watu wengine walivyotarajiwa.
Wanaitwa Washamba.
Wanadharauliwa.
Wanaonekana hawafai kwenye jamii wanayoishi.
Hawasikilizwi hata kwenye kikao cha...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia Maliasili Kamishna wa Polisi Benedict Wakulyamba akiwa njiani kuelekea Hifadhi ya Taifa Serengeti amefanya ziara ya kushtukiza...
Wakuu kwema, wajuzi wa mambo ya umeme msaada tafadhali. Kimsingi nyumba ninayoishi haijafikiwa na umeme wa tanesco na sababu ni mtaa ninaoishi umepitiwa na mradi wa Rea na mimi sikuwa mnufaika...
2023, alijenga visima vya maji Kenya, Zimbabwe, Uganda, Somalia na Cameroon, na kusaidia watu 500,000 kupata maji safi.
How come mwamba hakuwa celebrated na viongozi hawa? Hakuwa granted kama...
Licha ya sisi Wananchi kulalamika kila mara lakini ni kama Mamlaka zinazohusika zimeziba masikio, kwa kuwa haitusikii, wanatatuaje kilio chetu.
Kwenye kata yetu ya Kijombe, Wilaya ya Wanging'ombe...
Napata ujumbe huu
"error initializing transfer request "
Niliomba maombi ya uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi , mwenzangu aka accept ombi then maombi yakatumwa kwa mkurugenzi na kuwa...
Wiki ya pili sasa kuna foleni kubwa sana, MWAUWASA mabomba yamepasuka na baadhi ya mitaa maji hakuna. Daraja halina njia ya watembea kwa miguu.
Njia za michepuko za Mabatini ni mbovu na zina...
Kila mmoja anashuhudia jua lilivyo kali, mvua zimechelewa kwa mikoa ya pwani, maeneo mengine ya nchi mvua ni chache, jua kali mazao yanakauka.
Kuna kila dalili ya upungufu wa chakula/njaa...
Tupe uzoefu wa mwaka 2025 kwa siku hizi siku 64 za mwanzo.
Toka january mpaka leo, vitu gani vya manufaa au tabia gani mpya zimekusaidia / zimebadili maisha yako.
Binafsi ni ku prioritize afya...
Tanzania imeshika namba 5 Kwa Utalii Afrika mwaka 2024 kutoka namba 7 mwaka 2023.
Mafanikio haya yametokana na juhudi za Serikali ya Samia kutangaza Utalii Kwa njia mbalimbali lakini njia...
Habari muda wadau bila shaka mko salama na wenye udhaifu Mungu awape wepesi
Leo nawaletea mkasa ambao uliniumiza Sana Moyo .
Miaka kadhaa iliopita nilikuepo mkoani Mbeya
Shughuli zangu...
Huku mtaani kuna kundi la watu wengi hawana ajira na wamekuwa wakipambana juu chini kutafuta ajira wakiwemo Vijana.
Wakati huohuo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma...
Mikoa yote miwili, Geita na Njombe, inalingana kiumri. Ilianzishwa mwaka 2012.
Kila mkoa una rasilimali ya kipekee tofauti na mkoa "mwenzake". Njombe kumeshamiri kwa kilimo, hasa miti ya mbao na...
Huyu mshana ni kichwa sana mwisho wa mwaka akija kupewa tuzo ya content bora za ubunifu msije kuona kapendelewa tusimnyanyase tumpe maua yake aiseee.
Kitambo sana sijapost kwa mwezi wote wa pili...
Elon Musk ameachia Moja kati ya Project yake mpya inaitwa Tesla solar roofs.
Ni aina ya MABATI ambayo yametengenezwa Kwa Solar, badala ya kuhangaika na Umeme wa Solar, unanunua tu MABATI haya...
Wiki hii, serikali ya Trump ilitangaza tena kuongeza ushuru wa 10% kwa bidhaa za China zinazouzwa Marekani kwa kisingizio cha suala la Fentanyl na mengineyo, huku pia ikiongeza ushuru wa 25% kwa...