OSHA ni Wakala wa Serikali chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu , Idara ya Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu. Wajibu wake ni kuwalinda wafanyakazi dhidi ya vihatarishi vilivyopo au vinavyojitokeza...
Wasalaam
Ndugu zetu waislamu wameanza mwezi mtukufu tangu tar 2...wanatimiza moja kati ya nguzo muhimu katika imani yao
Chanda chema huvishwa Pete...tangu wenzetu wameanza mwezi mtukufu,mwamko...
Msaada tafadhali.
Mwenye maiki ya kurekodia maudhui ya Youtube naomba anisaidie, nilinunua maiki ya K9 lakini haina sauti nzuri kabisa.
Kama kuna mtu ana maiki naomba anisaidie.
SINA HELA ZAIDI...
Wazazi na walezi katika Manispaa ya Mtwara Mikindani Mkoani Mtwara wamehamasika kujitolea kuchimba msingi katika ujenzi wa uzio shule ya sekondari chuno ili kudhibiti wanafunzi kuingia na kutoka...
Zaidi ya fedha Bilioni 2.4 zinatolewa kwa Kaya 435 za Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi kwa ajili ya kupisha ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami yenye urefu wa Kilometa 112 kutoka Kijiji cha...
Najua hii mada itawashtua wengi na wengine watapanda munkari ila embu tuelewane kwanza kabla haujajibu kwa jazba.
Kwa tathmini yangu ya muda mrefu ni kuwa mji wa Dar es Salaam umejaa watu wasio...
JIJI linaitwa Dar es Salaam. Rapa wa Kimasai, marehemu Abel loshilaa Motika ‘Mr Ebo’ anaita Saridalama. Wenye mikogo wanatamka Das’lam. Watu na vifupisho, kuokoa nguvu na muda wanaita Dar.
Jiji...
Mwenye taarifa yoyote aiweke humu nasikia hiki chama cha walimu kimeshinda rufaa yake na kimeruhusiwa kufanya kazi zake kama hapo awali.
Ni chama ambacho kilianzishwa kama mbadala wa CWT chama...
Simkubali kutokana na Uchawa wake na Kofia aliyoivaa ikiwa na Herufi Kero fulani fulani Kwangu ila nimemsikiliza Kiingereza alichokiongea na niseme tu amejitahidi na kaeleweka. Halafu huwa...
Naomba kujuzwa wanasayansi na watafiti waboɓezi.
Mfano: Sato, sangara na yule mwingine mrefu kama nyoka (mumy) wanapatikana ziwa Victoria tuu,
Hivi kweli lake nyasa na lake Tanganyika...
Kuna ukame ambao unatishia maisha ya watu na mali zao.
Akina Mwamposa and Co. Ltd wamejinasibu na kufanya miujiza kurekebisha mambo kama magonjwa, bahati kuondoa mikosi , kuleta utajiri etc etc...
Kwa mwanaume makini na halisi hawezi kukataa mimba kwa mwanamke aliyelala nae na kufanya nae tendo la ndoa hakika hawezi kuikataa.
Iko hivi mwanaume mwenye akili timamu ambae anaweza kuikataa...
Habari,
Kuna watumishi wa umma ambao walifukuzwa kazi baada ya kubambikiwa kesi na kupelekekwa magerezani, mara baada ya kufutwa kwa kesi hizo nini hatma yao ya kiutumishi? Msaada kwa wajuao.
Sasa udokta Tanzania umekuwa kama uuguzi au ualimu wa shule ya msingi. Unatolewa kama UPE. By the way how can you strike for your rights if literally you were unqualified to study medicine...
Wanawake wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga wametakiwa kuchangamkia fursa mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na halmashauri bila riba na kuachana na mikopo umiza.
Rai hiyo nimetolewa na Katibu...